Zitto Kabwe amuomba Rais Samia amuachie Mbowe

Zitto Kabwe amuomba Rais Samia amuachie Mbowe

Zitto ni mjinga kama wajinga wengine,anashiriki uchaguzi huku akijua wazi sheria na kanuni za uchaguzi ni mbovu.

Sijawahi kumwamini Zitto hata siku moja ni mwanasiasa wa hovyo na ni hasara kubwa taifa kuendelea kuwa na aina hii ya wanasiasa.
UCHAGA UNAKUSUMBUA, MNAPENDA SANA KUSUJUDIWA WAKIWA HAMNA KITU KICHWANI.
 
Aende popote awepo popote,asitafute vyeo kwa jina la Mbowe au chadema.
Apambane tu na hali yake.. ya Chadema hayamuhusu na wewe pia hayakuhusu.
Wewe zaidi ya kuwa nyuma ya keyboard umefanya nini kumsaidia Mbowe? Huenda hata mahakamani hujawahi kukanyaga lakini uko hapa unajikuta mwanaharakati.
 
Anaomba rais amuachie mbowe kama yeye rais ndio aliyefungua mashitaka zidi yake.

Hiki ndio kinaleta taswira kua mahakama haiko huru
 
Mkuu huyu ni 'opportunist ' tu.. Kwani nani kamtuma? Anataka isemekane kuwa yeye ndiyo kashawishi Mbowe aachiwe..
 
Mwenye Chuki ni Hangaya na serikali yake wanaotesa wengine kisiasa kwa kesi za michongo. au ulitaka nifurahi mwenyekiti wangu kutekwa Mwanza na kuhukumiwa na Samia BBC.?!
Msichopenda nyie msitufanyie, vininevyo tuishi tu.. hatuogopi chochote na hatumugopi yeyote yule.
Kwa hiyo huamini kuwa mahakama ndizo zenye haki ya kutafsiri sheria?!!!!

Unaposema katekwa Unamaanisha nini ?!!!!

Ulitaka akakamatwe na IGP Simon Sirro ili uuite ukamataji HURU NA WA HAKI?!!!!
 
Akina Shibuda, Mrema, John Cheyo ambao kwako unaona "wanajitambua" wameleta mabadiliko gani? Chama gani cha siasa chenye akili kitaona yaliyofanyika Oktoba 2020 ni sawa tu????
Bora hata Zitto kaenda na kasema hyo issue ya mbowe hao Susa Susa hawajitambui kabisa
 
Mkuu huyu ni 'opportunist ' tu.. Kwani nani kamtuma? Anataka isemekane kuwa yeye ndiyo kashawishi Mbowe aachiwe..
Mbona unakimbilia matokeo ?!!!

Mbatia naye amelalamikia Hilo....

Kosa linakuwa kwa Zitto Kabwe tu ?!! Si ndio ee?!!🤣
 
Wewe zaidi ya kuwa nyuma ya keyboard umefanya nini kumsaidia Mbowe? Huenda hata mahakamani hujawahi kukanyaga lakini uko hapa unajikuta mwanaharakati.
Mimi ni mwana Chadema kujua nakisaidia vipi chama changu na viongozi ili uniteke sio. ?!
Acheni kuwashwa washwa na ya CHADEMA
Si mna Chama maiti na zambarau al-maarufu CCM B vinawatosha
 
Akina Shibuda, Mrema, John Cheyo ambao kwako unaona "wanajitambua" wameleta mabadiliko gani? Chama gani cha siasa chenye akili kitaona yaliyofanyika Oktoba 2020 ni sawa tu????
Akili zake hazina akili kiroboto huyo, mpuuze.
 
Nyie mmeshinda uchaguzi upi? Acheni uspecial shirikianeni na watu.
Hawana uchaguzi walioshinda......

Watanzania wanapenda amani na utulivu zaidi ya VURUGU ZAO.....

Kiufupi watanzania walio wengi HAWAWAAMINI.......japo wenyewe wanalipinga hili......🤣🤣
 
Mimi ni mwana Chadema kujua nakisaidia vipi chama changu na viongozi ili uniteke sio. ?!
Acheni kuwashwa washwa na ya CHADEMA
Si mna Chama maiti na zambarau al-maarufu CCM B vinawatosha
Yani kumbe unaogopa hata kivuli... Mimi nikuteke kwani mimi jambazi au mwanausalama? Nikuteke kwani mimi ni nani mpaka nikuteke. Shida ni pale unapofikiri kila mwenye mawazo tofauti na wewe basi ni CCM.
Mbowe ni afadhali atoke aje aendeleze chama. Akifungwa mtamsahau maana alipokamatwa hata yeye alidhani kitanuka lakini hakuna kilichoendelea. Sasa akifungqa si ndo mtamsahau kabisa.
 
Zito ni mpumbavu tu kama wapumbavu wengine, mkutano huo ameshiriki kwa maslai ya tumbo lake Wala siyo kwa ajili ya mbowe Wala hatukumtuma
 
Wa kupongeza wako wengi - Askofu Mwamakula, Shoo, James Mbatia, Mnyika na CHADEMA wengine, wote wamekuwa wakisema Mbowe si gaidi, aachiwe huru. Sioni jipya. Labda kama haukuwepo Tanzania, umerudi hivi karibuni tu.
Pongezi kwako Zitto Kabwe.
 
Kwa hiyo huamini kuwa mahakama ndizo zenye haki ya kutafsiri sheria?!!!!

Unaposema katekwa Unamaanisha nini ?!!!!

Ulitaka akakamatwe na IGP Simon Sirro ili uuite ukamataji HURU NA WA HAKI?!!!!
Na ndio unataka HESHIMA ,, yaani nyinyi nyani wa pwani ya hindi hamjuhi hata maana ya heshima.
Mnabana na sauti kabisa kuwa kuna kujadiliana
 
Yani kumbe unaogopa hata kivuli... Mimi nikuteke kwani mimi jambazi au mwanausalama? Nikuteke kwani mimi ni nani mpaka nikuteke. Shida ni pale unapofikiri kila mwenye mawazo tofauti na wewe basi ni CCM.
Mbowe ni afadhali atoke aje aendeleze chama. Akifungwa mtamsahau maana alipokamatwa hata yeye alidhani kitanuka lakini hakuna kilichoendelea. Sasa akifungqa si ndo mtamsahau kabisa.
Akuna anaewagopa nyinyi watekaji, watesaji na wauaji wakubwa.
Mlimteka mzee Mbowe Mwanza sasa mnatia ulimi puani na kujifanya hukumbuki.
MAHAYAWANI wakubwa.
 
Back
Top Bottom