Amina kiongoziMungu ibariki Chadema
Wa kitu gani?
Chama cha CHADEMA kimeelemewa kwa salaam za Pongezi kutoka sehemu mbalimbali ndani na nje ya nchi kutokana na uchaguzi mkuu wa kihistoria uliyomrejesha madarakani Freeman Mbowe.
Salaam za Karibuni ni kutoka kwa Chama cha ACT Wazalendo mshirika wa Chadema katika upinzani.
Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amempongeza Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kwa kuchaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa chama hicho kwa kura nyingi.
Zitto Kabwe amepongeza pia viongozi wengine waliochaguliwa na jinsi uchaguzi ulivyoendeshwa kwa njia ya kidemokrasia.
"Nakupongeza ndg. Freeman Mbowe kwa kuchaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Nawapongeza wana CHADEMA kwa kumaliza Mkutano Mkuu wa Chama chenu na kuchagua safu ya Uongozi kwa miaka mitano ijayo. Tushirikiane kuweka mikakati ya pamoja kuhami demokrasia yetu" - Zitto Kabwe
View attachment 1297240
Siasa siyo uadui bwashee!Mmh ila sina imani na Zitto siku zote.. Daima hamaanishi anachoongea na anaongea asichomaanisha
Jr
Mungu ibariki Chadema
Mkuu Tusameheane kwa maslahi ya upinzani nchiniBaada ya kumuita Mbowe Ni mshamba leo Anampongeza.. jinga Sana hili jitu linaloitwa li Zitto Kabwe..
Zitto Wewe Ni Mnafiki Sana Pongezi zako lazima tuzipime kabla ya kuzipokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kumuita Mbowe Ni mshamba leo Anampongeza.. jinga Sana hili jitu linaloitwa li Zitto Kabwe..
Zitto Wewe Ni Mnafiki Sana Pongezi zako lazima tuzipime kabla ya kuzipokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mambo mengine kama vichekesho tu!Anayejua kazi za mwenyekiti wa ACT WAZALENDO ni nini atuambie hapa
maana yake kila tamko hutolewa na mkuu wa chama zitto kabwe badala ya mwenyekiti.
View attachment 1297286
Chama cha Demokrasia na maendeleo kimekuwa kibovu kupita maelezoChama cha CHADEMA kimeelemewa kwa salaam za Pongezi kutoka sehemu mbalimbali ndani na nje ya nchi kutokana na uchaguzi mkuu wa kihistoria uliyomrejesha madarakani Freeman Mbowe.