Zitto Kabwe: ACT- Wazalendo, hatutajiunga na UKAWA

Zitto Kabwe: ACT- Wazalendo, hatutajiunga na UKAWA

Hivi nani anaikumbuka michango ya Chiku abwao bungeni ambayo kwa level yake tuilinganishe na Kibajaji!? Bulaya, Lembeli ni wachezaji hatari kila mtu anaikumbuka operation tokomeza ilivyonipotezea mawazir! Dah poor ACT VIVA UKAWA
 
Kama ni kweli hawajajibiwa wana uhalali ya kufanya yao. Huenda pia ukawa ikavunjika lakini jiondoe katik kufikiria sababu ni nini na ni nani (kwa sababu ulishasema mwanzo hawakujibiwa - sijui umetoa wapi "nani" ni kikwazo).

Ni vema ungetambua pia kuwa UKAWA una wanajumuia kama NCCR, CUF na NLD pia. Je hao walikuwa tayari kushirikiana na ACT?? Katika mambo yapi na kwa ukubwa gani? Kuna tatizo kubwa na la msingi kati ya CDM na ACT na haitakuwa vema kukubali kuwa kuna tatizo au kuona ni rahisi tu kumaliza tatizo hilo. Vyama hivo havisikilizani na haviaminiani.

Mkuu, vyama vingine vilikubali kushirikiana na ACT, lakini tatizo likaonekana kwa CHADEMA, nafikiri viongozi wa CHADEMA hasa Mbowe na Slaa bado wana chuki na Zitto, hawako tayari kufanya kazi na Zitto.
 
Last edited by a moderator:
Zitto, mnafiki sana, opportunist, and why last two days alisema Historia mpya ya siasa ya nchi yetu inaenda kuandikwa...!? Hii inaonyesha, alikuwa aungane na UKAWA..akaleta ujinga na upuuzi wake ukawa i hope, na masharti yake sijui ya Tabora sijui nn, sijui taja mali, blafaken, blalful, hili jamaa jinga kweli...

Sasa asumamishe utumbo wake sasa kama atapata kitu, badala akubali kuunganisha nguvu, analeta masharti ya police UKAWA... akwendeeeee kuleeeeee, tupa Zitto kuleeeeee, akafie mbali sisi tunataka Ukombozi, full stop...!!
 
Zitto ameweka msimamo wake kuwa hawez jiunga na ukawa na kwamba anawashangaa wanatafuta mgombea humo ndani hadi leo kwani anatoka mbinguni! Kaka yuko vizuri hajabadili msimamo wake tangu atoke bungeni. Zitto katika ubora wake. Go go brother....

zitto hajabadili msimamo wake? au na wewe kichwa cha panzi,,nyie watu wasahaulifu, hivi ni nani aliefikia kuandika barua?
 
Ni Zitto huyu huyu aliyewahi kusema "Usimuamini mwanasiasa yeyote, awe chama tawala au cha upinzani". amethibitisha maneno yake.

Kwani kuna mtu amemuomba aende UKAWA na yeye? Au basi kujitia jeuri eti hawawezi kwenda UKAWA, wakati UKAWA wenyewe hawawataki ACT!

Zitto katoa taarifa ile kwa lengo zuri ili kuondoa propaganda zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa watajiunga na UKAWA, kwasababu kujiunga na UKAWA ni ngumu hilo liko wazi kwasababu mwanzo waliomba kujiunga na UKAWA, lakini wakakataliwa.
 
ubongo wako bado una safar ndefu ili kuweza kukua vizur-kwahiyo UKAWA kumpata Lowassa ndio mafanikio? ZZK ana haki ya kuondoka UKAWA iwapo akili zenu zinawaza kumsafisha mtuhumiwa wenu mpk afae kuongoza nchi-mnaonesha ninyi kama ninyi mna ombwe kubwa la watu wanao wakubali-poleni, Mh ZZK ana haki ya kujiondoa na kusimamia mising ya ACT -sio double standard za CDM, Lowassa wa CCM ni fisadi ila akija CDM ametubu

Katika ukristu tunaamini kutubu na kuacha dhambi na mwisho kusamehewa inawezekana.
 
Zitto katoa kauli rasmi na sio kuchukua kauli za facebook ambazo mnahack. Zitto katoa msimamo rasmi wa chama chake hivyo tuchukue huo. Wanaomponda tumewazoea wala hatushangai.
 
hadema hawana lolote hao hao Wanasema hawamtaki UKAWA hao hao Wanasema m binafsi nyie msifikiri kelele zenu huku jf zitaiathiri ACT sahauni nyie pigeni story mridhishane then mkalale mngoje ajenda nyingine ya kesho Zitto hamtamuweza cause yeye peke yake ni zaidi ya wabunge wote wa UKAWA bottom line
 
Nimemuelewa zito , ame base maamizi yake kwenye taratibu sahihi kabisa, pia alichonifurahisha ni pale aliposema mgombea uraisi atatokana na maamuzi ya kidemokrasia ya chamaukawa wanapaswa kufuata utsratibu wa kidemokrasia kumpata mgombea mmoja na sio kuteuliwa nje ya taratibu za demokrasi ya kumteua mtu kwa kigezo kuwa ndio anafaa
 
Zitto mpaka anaboa na hilo azimio lake la Tabora. Kila mahali yeye analitaja tu. Kwani mtu akishataja mali na madeni yake automatically anakuwa kabatizwa na kuachana na ufisadi wake!?

Na yeye Zitto alieleza zote hata zile alizokuwa anagawa kupitia mpesa??
 
Amechoka kweli asee ameshindwa hata kunyoa ndevu? Midevu kibao imemjaa pyee

Dah wabongo bana. Mbona Profesa safari na Baregu na Maalim Seif nao wana ndevu,nao wamechoka? Ha ha ha
 
Zitto, mnafiki sana, opportunist, and why last two days alisema Historia mpya ya siasa ya nchi yetu inaenda kuandikwa...!? Hii inaonyesha, alikuwa aungane na UKAWA..akaleta ujinga na upuuzi wake ukawa i hope, na masharti yake sijui ya Tabora sijui nn, sijui taja mali, blafaken, blalful, hili jamaa jinga kweli...

Sasa asumamishe utumbo wake sasa kama atapata kitu, badala akubali kuunganisha nguvu, analeta masharti ya police UKAWA... akwendeeeee kuleeeeee, tupa Zitto kuleeeeee, akafie mbali sisi tunataka Ukombozi, full stop...!!

Uwezo wako wa kujenga hoja ni mdogo sana, sijui nikupe kanga uvae maana unaiweza mipasho!
 
Azimo la Tabora liliambata na hotuba yake ya hatari kwa usalama na umoja wa Taifa la Tanzania, Channel 10 walioonyesha kidogo hotuba ya S.L. Kutokana na hatari iliyokuwemo humo, huwezi kupata hotuba hiyo yote kwenye mtandao wa kijamii. Sana sana utapata vipande vipande visivyokamilika vya hotuba hiyo....!
 
Zito kabweyoti kaka wa damu wa yuda eskarioti...huyu jamaa namtabilia miaka mitano inayo kuja asipoenda kufundisha kama alivyozoea kujinadi basi anaweza kuwa mtengeneza mawese mazuri tu pale mwisho wa reli..
 
Act hatutashirikiana na mafisadi wala ukiwa kwenye uchaguzi kwa kuwa tumegundua mafisadi yamewahonga ukawa sasa na ukawa kazi yao imebakia kuyasafisha.
 
Kiongozi mkuu wa chama cha ACT wazalendo Zitto Zubeir Kabwe amesema chama chake hakitajiunga na vyama vya siasa vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi (UKAWA)kutokana na miiko ya vyama hivyo kukinzana na ile ya ACT maendeleo.

INAMAANA KIPINDIKILE ANAADIKA BARUA KUOMBA KUJIUNGA KUKAWA ALIKUWA HALIFAHAMU HILO?.

NA JE? ANGEKUWA AMEKUBALIWA KUJIUNGA UKAWA KWA KIPINDI HIKI AMBACHO UKAWA WANAUMIZA VYICHWA KUPATA MGOMBEA
NA NI KIPINDI AMBACHO KUNA MANENO MENGI KUWA UKAWA IMEVUNJIKA
YEYE ANGEKUJA NA KUHOJA HIKI INGEKUWAJE?



ITV
 
Ziti anajijua mwenyewe, na kamwe huwezi kumuelewa zito kama una kumbukumbu
 
watu walifikiria mbali kumfungasha virago huyu dogo, lilikuwa ni jambo la busara sana
kuna mwanachama wake leo katangaza nia kugombea urais sababu eti ana miaka 42, na hii ndio sampuli ya watu aina zitto anapenda sana kuwaongoza
 
Back
Top Bottom