Zitto Kabwe: ACT- Wazalendo, hatutajiunga na UKAWA

Zitto Kabwe: ACT- Wazalendo, hatutajiunga na UKAWA

Jmaa karushiwa mbuchuchu na ccm akaiokota, sasa hajielewi .

Mh. jamaa kituko tupu, ................ Anasikitisha sana.
 
Zitto ameweka msimamo wake kuwa hawez jiunga na ukawa na kwamba anawashangaa wanatafuta mgombea humo ndani hadi leo kwani anatoka mbinguni! Kaka yuko vizuri hajabadili msimamo wake tangu atoke bungeni. Zitto katika ubora wake. Go go brother....

Kuna mtu alimuita/alimtaka aende UKAWA? Kama hadi sasa hawajampata mgombea how is it his concern? Ni msimamo upi huo wa Zitto unaouongelea?

Siasa ya Tanzania bwana, ni vijembe tu!Yaani bila vijembe wewe "hutoki"!
 
Chadema inrshanunuliwa na ccm-mafisadi..sasa ni rasmi kuwa imevua gwanda na kuvaa gamba! Lazima vyama vyote vya upinzani tuungane kupiga vita chadema!
 
Ndio mjue huyu anayejifanya mdai demokrasia kila siku anaibuka na matamko FB hadi unajiuliza anajadiliana na wenzake saa ngapi..... huyu kazoea kufanyia kazi Twita na FB....
 
Ni ITV habari leo alipokuwa akiongea na watiania wa nafasi mbalimbali wa chama chake.Aliwahi sema pia ACT iko tayari.So?

Ni Zitto huyu huyu aliyewahi kusema "Usimuamini mwanasiasa yeyote, awe chama tawala au cha upinzani". amethibitisha maneno yake.

Kwani kuna mtu amemuomba aende UKAWA na yeye? Au basi kujitia jeuri eti hawawezi kwenda UKAWA, wakati UKAWA wenyewe hawawataki ACT!
 
Sielewi nini hasa mantiki yako mkuu,.siamini kama ni kweli umekaa na kutafakari kwa mda mpaka kufikia kuandika uzi huu au kwa sababu ya chuki zako tu umeamua kuandka. Kaka mimi sio shabiki wa Zitto bali mimi naamini katika umuhimu wa upinzani katika maendeleo ya nchi. Alichosema Zitto juzi ilikua UPINZANI kuwa na nguvu na kuondoa mfumo dhalimu wa chama tawala, UKAWA wamekaa wakasema hawamkaribishi Zitto kwao, ACT bado ni wapinzani, UKAWA bado ni wapinzani, Alichosema Zitto leo ni kuwa pamoja na kutokukaribishwa UKAWA bado chama chake kitaendelea kusimama kama miongoni mwa vyama vya upinzani. Sasa hapo kakosa nini? Jamani MNYONGE MNYONGENI, HAKI YAKE MPENI, Kuna wakati chuki zetu binafsi zinatufanya kutokuangalia katika ukweli na haki.

Mkuu memsikiliza vizuri Zitto kwa masikio yako leo au umehadithiwa?hakuna anayemchukia zitto bali tunajaribu kumpima kwa kauli zake,alichosema Zitto leo ni kwamba ACT haiwezi kujiunga na UKAWA.
Swali langu ni kwanini hapo awali ZZK aliomba ACT kujiunga na umoja wa UKAWA lakini CHADEMA kupitia UKAWA walikataa Ombi lake hilo?au ndiyo "SIZITAKI MBICHI HIZI".

Tafakari! Chukua Hatua...ZITTO HAHAMINIKI.
 
Huyu msomi uwa hajitambui!sijui ni unafiki au nini!kauli zake zinakinzana kila siku!ifike muda awe na kumbukumbu na awe na aibu
 
ACT hoyeeeee....!!!!!...Team Bavicha mtasema yote mwaka huu.
 
viva Zitto, the greatest politician of this time.

Amani iwe kwenu wana ukumbi:

Mkuu wa chama cha ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema hawana mpango wa kujiunga na ukawa kwa kuwa chama chake kina sera tofauti.

Ameyasema hayo leo ndani ya kikao chao cha ndani na kusisitiza kuwa azimio lao la Tabora linamtaka kila mtu kutangaza mali na madeni yake ndo ajiunge naye.

Chanzo ITV taarifa ya habari ya saa 2 usiku.
 
mbona ACT waliandika barua kwenda kwa vyama vinavyounda ukawa wakitaka kujiunga lakini walikataliwa, leo eti huyu kinyonga anasema hawataki kujiunga ukawa. AIBU ZAO BAADA YA KUPIGWA STOP.

KAMA KUNA MTU ANAMWAMINI ZITTO KABWE HUYO LAZIMA AATAKUWA NA MATATIZO YA AKILI

Sasa ndo watanzania watamjua zitto kabwe. Pongezi nyingi zimwendee Tundu Lissu kumkata Zitto juu kwa juu baada ya mahakama kumtema, huyu jamaa ataumbuka sana mwaka huu.
 
Back
Top Bottom