Heri ya mchawi kuliko muongo, Zitto ni 'double agent' ni mtu hatari sana katika maendeleo yeyote.Yani mnamtaka lowassa zitto hamumtaki!
Jamaa in Mnafiki na Opportunist wa Hatari kuwahi kutokea
Tangu mchungaji atamke hadi sasa nani kachaguliwa kuwa rais?Kuna mchungaji alisema kuwa Lowassa asipokuwa raisi tumuue! Sijui anawaza nini saa hii. Angalia sana ndugu mambo ya kujiapisha haya!???
Kiongozi mkuu wa chama cha ACT wazalendo Zitto Zubeir Kabwe amesema chama chake hakitajiunga na vyama vya siasa vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi (UKAWA)kutokana na miiko ya vyama hivyo kukinzana na ile ya ACT maendeleo.
INAMAANA KIPINDIKILE ANAADIKA BARUA KUOMBA KUJIUNGA KUKAWA ALIKUWA HALIFAHAMU HILO?.
NA JE? ANGEKUWA AMEKUBALIWA KUJIUNGA UKAWA KWA KIPINDI HIKI AMBACHO UKAWA WANAUMIZA VYICHWA KUPATA MGOMBEA NA NI KIPINDI AMBACHO KUNA MANENO MENGI KUWA UKAWA IMEVUNJIKA YEYE ANGEKUJA NA KUHOJA HIKI INGEKUWAJE?
ITV
Act fyekeni pori msiwe na shaka wananchi tuko pamoja tutawapigia kura za kutosha za uraisi na ubunge hivyo mjiandae kushika dola........SIZITAKI MBICHI HIZI...BAADA YA KUONA UKAWA HAWANA MPANGO NAO ETI WANAJIFANYA HAWATAJIUNGA PUUUUUUUUUMBAVUUUUUUUUUU
ACT ndio nini!?
SITAWAANGUSHA
Binadamu akizini,akiuwa,akiiba,na kila baya humsingizia shetani we ni typicalHayo yote ni madhara ya safari ya matumaini. Laigwanan Lowasa amewavuruga wengi na bado wengine wengi wanakuja na wataweweseka sana.
Zitto Kabwe
# ACTWazalendo Tutaingia kwenye uchaguzi
wenyewe. We will go it alone as a party to defend
our principles. Mkutano Mkuu wa Chama wa
Kidemokrasia ( National Convention) utafanyika
tarehe 10 Agosti 2015
Hiyo ni post aliyoiweka kwenye mitandao ya kijamii Twitter na Facebook.
Zitto is a great leader of our time. Only critical thinkers can understand this. He is the only leader with vision and who can articulate it to his followers. Big up Zitto
Sielewi nini hasa mantiki yako mkuu,.siamini kama ni kweli umekaa na kutafakari kwa mda mpaka kufikia kuandika uzi huu au kwa sababu ya chuki zako tu umeamua kuandka. Kaka mimi sio shabiki wa Zitto bali mimi naamini katika umuhimu wa upinzani katika maendeleo ya nchi. Alichosema Zitto juzi ilikua UPINZANI kuwa na nguvu na kuondoa mfumo dhalimu wa chama tawala, UKAWA wamekaa wakasema hawamkaribishi Zitto kwao, ACT bado ni wapinzani, UKAWA bado ni wapinzani, Alichosema Zitto leo ni kuwa pamoja na kutokukaribishwa UKAWA bado chama chake kitaendelea kusimama kama miongoni mwa vyama vya upinzani. Sasa hapo kakosa nini? Jamani MNYONGE MNYONGENI, HAKI YAKE MPENI, Kuna wakati chuki zetu binafsi zinatufanya kutokuangalia katika ukweli na haki.
Huna hoja mtoa Mada
Azimo la Tabora liliambata na hotuba yake ya hatari kwa usalama na umoja wa Taifa la Tanzania, Channel 10 walioonyesha kidogo hotuba ya S.L. Kutokana na hatari iliyokuwemo humo, huwezi kupata hotuba hiyo yote kwenye mtandao wa kijamii. Sana sana utapata vipande vipande visivyokamilika vya hotuba hiyo....!
Zitto katoa kauli rasmi na sio kuchukua kauli za facebook ambazo mnahack. Zitto katoa msimamo rasmi wa chama chake hivyo tuchukue huo. Wanaomponda tumewazoea wala hatushangai.