ACT ikipata wabunge 4 kwenye uchaguzi mkuu 2015 mi ntatembea na chupi tumbo wazi kutoka mbezi mpaka posta kwa miguu
Zitto katoa kauli rasmi na sio kuchukua kauli za facebook ambazo mnahack. Zitto katoa msimamo rasmi wa chama chake hivyo tuchukue huo. Wanaomponda tumewazoea wala hatushangai.
Mkuu tangazane kwanza mgombea wenu UKAWA.
ACT ikipata wabunge 4 kwenye uchaguzi mkuu 2015 mi ntatembea na chupi tumbo wazi kutoka mbezi mpaka posta kwa miguu
Jamaa in Mnafiki na Opportunist wa Hatari kuwahi kutokeaKiongozi mkuu wa chama cha ACT wazalendo Zitto Zubeir Kabwe amesema chama chake hakitajiunga na vyama vya siasa vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi (UKAWA)kutokana na miiko ya vyama hivyo kukinzana na ile ya ACT maendeleo.
INAMAANA KIPINDIKILE ANAADIKA BARUA KUOMBA KUJIUNGA KUKAWA ALIKUWA HALIFAHAMU HILO?.
NA JE? ANGEKUWA AMEKUBALIWA KUJIUNGA UKAWA KWA KIPINDI HIKI AMBACHO UKAWA WANAUMIZA VYICHWA KUPATA MGOMBEA NA NI KIPINDI AMBACHO KUNA MANENO MENGI KUWA UKAWA IMEVUNJIKA YEYE ANGEKUJA NA KUHOJA HIKI INGEKUWAJE?
ITV
Kuna mchungaji alisema kuwa Lowassa asipokuwa raisi tumuue! Sijui anawaza nini saa hii. Angalia sana ndugu mambo ya kujiapisha haya!???ACT ikipata wabunge 4 kwenye uchaguzi mkuu 2015 mi ntatembea na chupi tumbo wazi kutoka mbezi mpaka posta kwa miguu
Yani mnamtaka lowassa zitto hamumtaki!Kwani nani alikuwa anamtaka huyo msaliti wenu?