Mathias Lyamunda
JF-Expert Member
- Apr 4, 2013
- 1,369
- 559
hahahahaha wale wabunge 50 wameenda wapi tena hadi muende wenyewe hahahaaa
Zitto mpaka anaboa na hilo azimio lake la Tabora. Kila mahali yeye analitaja tu. Kwani mtu akishataja mali na madeni yake automatically anakuwa kabatizwa na kuachana na ufisadi wake!?
Yani huyu jamaa kaishiwa sera kabisa nafsi yake inamsuta. Ninachokifahamu mimi ni kwamba Ukawa hawawezi kumkaribisha Zitto kutokana na uhaini alio ufanya Chadema.
hahahahaha wale wabunge 50 wameenda wapi tena hadi muende wenyewe hahahaaa
Anakaribia kuwa chizi. Wabunge 50 aliotegemea wamepima upepo wakaona hamna namna ya wao kujiunga nae. Kaambulia wanne tu, ambao hata hivyo hawatishi.