Zitto Kabwe: ACT- Wazalendo, hatutajiunga na UKAWA

Zitto Kabwe: ACT- Wazalendo, hatutajiunga na UKAWA

Zitto Kabwe
# ACTWazalendo Tutaingia kwenye uchaguzi
wenyewe. We will go it alone as a party to defend
our principles. Mkutano Mkuu wa Chama wa
Kidemokrasia ( National Convention) utafanyika
tarehe 10 Agosti 2015

Hiyo ni post aliyoiweka kwenye mitandao ya kijamii Twitter na Facebook.

Ofcose kwani wao walitaka kusimama na nani?
 
Zitto Kabwe
# ACTWazalendo Tutaingia kwenye uchaguzi
wenyewe. We will go it alone as a party to defend
our principles. Mkutano Mkuu wa Chama wa
Kidemokrasia ( National Convention) utafanyika
tarehe 10 Agosti 2015

Hiyo ni post aliyoiweka kwenye mitandao ya kijamii Twitter na Facebook.

Huyu kijana amekula maharage gani na ya wapi? Kwani mwanzoni inamaana ACT ilipanga kusimama na chama gani kwenye uchaguzi? Au walipanga kusimama na ccm baada ya kumchagua Magufuli wakagoma nini?
 
Act walituma barua ukawa kutaka kujiunga hadi leo haijajibiwa unafikiri watafanyaje zaidi ya kujipanga upya kivyao.
Wa kulaumiwa ni chadema ambao ni wabinafisi wanaofikiri wanaweza kuingia ikulu bila kushirikiana na vyama vingine.
Usishangae hata huu ukawa ukavunjika.

Kama ni kweli hawajajibiwa wana uhalali ya kufanya yao. Huenda pia ukawa ikavunjika lakini jiondoe katik kufikiria sababu ni nini na ni nani (kwa sababu ulishasema mwanzo hawakujibiwa - sijui umetoa wapi "nani" ni kikwazo).

Ni vema ungetambua pia kuwa UKAWA una wanajumuia kama NCCR, CUF na NLD pia. Je hao walikuwa tayari kushirikiana na ACT?? Katika mambo yapi na kwa ukubwa gani? Kuna tatizo kubwa na la msingi kati ya CDM na ACT na haitakuwa vema kukubali kuwa kuna tatizo au kuona ni rahisi tu kumaliza tatizo hilo. Vyama hivo havisikilizani na haviaminiani.
 
Pesa ya kuivuruga upinzani imeisha.
Anasubiri mabosi wake wampe nyingine.
 
Safi sana Zitto, kwenye siasa hakuna adui wa kudumu ss kuna watu wanashindwa kabsa kuficha chuki zao dhidi yake ila kuna siku watayasahau aya na kumsifia, as long as atarudi bungeni mtakuja kumkubali tu kwa mara nyengine km alivyowavutia vijana wengi kuipenda siasa
 
Miguu waliokuwa wanategemea kusimamia itakuwa imekatika.
 
Baada ya kushindwa kuwashawishi cuf na nccr mageuzi kuondoka ukawa na kujiunga na act ili wamshawishi Laigwanan kujiunga nao sasa hivi ndiyo analeta unafiki wa kujidai kusimama wenyewe.
 
Kuna taarifa ya kwamba muombe urais kumpitia Act atakuwa ni Prof Kitila Mkumbo.Tafadhali sana mwenye taarifa kamili atujulishe.
 
We will go it alone as a party to defend
our principles.

Oooh, unajua mimi ni msomi sana...

"Thus why am so wonders..."

Hahaah bongo land, tunajua kila kitu mkuu.
 
Umeandika kama unafukuzwa,tulia kisha uandike vizuri,BTW hongera kwa kuwa wa kwanza kuripoti kama ni kweli Prof Kitila Mkumbo anagombea ukikwete!
 
Zitto Kabwe
# ACTWazalendo Tutaingia kwenye uchaguzi
wenyewe. We will go it alone as a party to defend
our principles. Mkutano Mkuu wa Chama wa
Kidemokrasia ( National Convention) utafanyika
tarehe 10 Agosti 2015

Hiyo ni post aliyoiweka kwenye mitandao ya kijamii Twitter na Facebook.

Kwani baba yenu amewatupa hata msimame peke yenu?
 
Huu uzi umeandikwa na mtu aliye Score Division 5 O Level
 
Kuna taarifa ya kwamba muombe urais kumpitia Act atakuwa ni Prof Kitila Mkumbo.Tafadhali sana mwenye taarifa kamili atujulishe.

Huyu mtu alihojiwa BBC ishu ya ushoga Uganda saa 3 usiku nakumbuka startv alijibu kuwa viongoz wa afrika wanatabia ya kujhami wakat hawawez mambo hvo rais wa uganda asijifanye anapnga mswaada anatakiwa kuukubali kwan hvo vitu vilikuwepo toka zaman.
huyu jamaa nilimchukia toka siku.
 
Back
Top Bottom