Zitto Kabwe: ACT- Wazalendo, hatutajiunga na UKAWA

Zitto Kabwe: ACT- Wazalendo, hatutajiunga na UKAWA

Hii ni habari nzuri kabisa ya kwanza kuisikia kumhusu huyu mnafiki na kuwadi wa wapiga dili(Zitto Zubery Kabwe),Sasa naisubiri habari nzuri ya pili kumhusu Lowassa kutojiunga na UKAWA.UKAWA will obviously be better off without him.
 
Kama Ukawa wanataka kumuondoa CCM madarakani inabidi wajiweke kando na Zitto. Huyu kashakula nyama ya mtu hawezi kuacha.
 
Amani iwe kwenu wana ukumbi:

Mkuu wa chama cha ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema hawana mpango wa kujiunga na ukawa kwa kuwa chama chake kina sera tofauti.

Ameyasema hayo leo ndani ya kikao chao cha ndani na kusisitiza kuwa azimio lao la Tabora linamtaka kila mtu kutangaza mali na madeni yake ndo ajiunge naye.

Chanzo ITV taarifa ya habari ya saa 2 usiku.

Huyu mshkaji mpaka natamani kumtukana.

Wenyewewe waliandika barua kuomba kujiunga na UKAWA leo anasema hawako tayari kujiunga.

Zitto nani alikualika UKAWA?

Ndo safari yako imefika mwisho. Kwa taarifa yako, wNgekuruhusu uingie UKAWA mimi nonge withdraw my support to CHADEMA na UKAWA kwa ujumla maana sikuamini mpk siku naingia kaburini
 
BAVICHA/TEAM LOWASA kazini mnaongea taarabu kama mzee Yusuph kulinda mafiisadi
 
Hakiongea na wanachama wenzake wa ACT-Wazalendo,kiongozi mkuu wa huyo Bw.ZZK amedai kwamba ACT haiwezi kujiunga na UKAWA kutokana na tofauti za kifalsafa baina ya ACT na UKAWA,pia akinukuu azimio la Tabora ambalo linamtaka mwanachama wa ACT kutamka Mali,Madeni na Maslahi binafsi kitu ambacho amedai UKAWA akipo.

Swali: Hivi ni nani alianza kumkataa mwezake asijiunge naye?ni ACT au UKAWA?
Au ndiyo kale kamsemo ka wahenga kanachosema "SIZITAKI MBICHI HIZI" kanajidhihirisha kwenye kauli hiyo ya ZZK?

Source: ITV Habari!

Zzk laana ya usaliti inamtafuna,na ataendelea kujionyesha kwa watanzania tabia zake zilivyo chafu
 
Hakuna dhambi ndogo au kubwa wala dhambi mbaya na nzuri lakini usaliti ni dhambi mbaya zaidi ya kula nyama ya mtu!
 
Sielewi nini hasa mantiki yako mkuu,.siamini kama ni kweli umekaa na kutafakari kwa mda mpaka kufikia kuandika uzi huu au kwa sababu ya chuki zako tu umeamua kuandka. Kaka mimi sio shabiki wa Zitto bali mimi naamini katika umuhimu wa upinzani katika maendeleo ya nchi. Alichosema Zitto juzi ilikua UPINZANI kuwa na nguvu na kuondoa mfumo dhalimu wa chama tawala, UKAWA wamekaa wakasema hawamkaribishi Zitto kwao, ACT bado ni wapinzani, UKAWA bado ni wapinzani, Alichosema Zitto leo ni kuwa pamoja na kutokukaribishwa UKAWA bado chama chake kitaendelea kusimama kama miongoni mwa vyama vya upinzani. Sasa hapo kakosa nini? Jamani MNYONGE MNYONGENI, HAKI YAKE MPENI, Kuna wakati chuki zetu binafsi zinatufanya kutokuangalia katika ukweli na haki.

Hawa watu wana chuki kila anachokifanya Zitto kwao ni kibaya. Waache waendelee kumpaisha Zitto. Waache waendelee kujitoa ufahamu!
 
Yani huyu jamaa kaishiwa sera kabisa nafsi yake inamsuta. Ninachokifahamu mimi ni kwamba Ukawa hawawezi kumkaribisha Zitto kutokana na uhaini alio ufanya Chadema.

Huo ndio ukweli na yeye analijua hilo,eti azimio la tabora
 
Zitto mpaka anaboa na hilo azimio lake la Tabora. Kila mahali yeye analitaja tu. Kwani mtu akishataja mali na madeni yake automatically anakuwa kabatizwa na kuachana na ufisadi wake!?

Atwambiekwanza kinaga ubaga zile fedha za nssf,zilikuwa za nini na zilitumikaje
 
Huo ndio ukweli na yeye analijua hilo,eti azimio la tabora

Kamanda upo! Leo nimeamini Chadema ni chama makini! Hata hivyo Chadema ni wavumilivu sana huyu Zitto alitakiwa akatwe mapema sana lakini busara za viongozi ziliendelea kumbeba. Hafai hafai zitto ni muongo sana.
 
asije huyo yuda na hatumtaki abaki n failed act yke
 
Hawa watu wana chuki kila anachokifanya Zitto kwao ni kibaya. Waache waendelee kumpaisha Zitto. Waache waendelee kujitoa ufahamu!

Hakuna mtu ana chuki na zitto hapa tunasema ukweli mchungu bila chenga; ila pole sana, umma umejua Chadema walifanya maamuzi sahihi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom