Amani iwe kwenu wana ukumbi:
Mkuu wa chama cha ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema hawana mpango wa kujiunga na ukawa kwa kuwa chama chake kina sera tofauti.
Ameyasema hayo leo ndani ya kikao chao cha ndani na kusisitiza kuwa azimio lao la Tabora linamtaka kila mtu kutangaza mali na madeni yake ndo ajiunge naye.
Chanzo ITV taarifa ya habari ya saa 2 usiku.
namkubali zito kwa msimamo wake. I believe one day atakuwa great leader wa tz act ndo chama chenye ilani nzuri kuliko vyama vyote tz. go & google mtanielewa kuwa act ni chama cha wasomi