Zitto Kabwe: ACT- Wazalendo, hatutajiunga na UKAWA

Wakuu JF,

Amani iwe Nanyi.
Ninajaribu kuoanisha kauli za Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Zitto Kabwe za Juzi na Leo.

Juzi alikaririwa kwenye Mitandao ya Kijamii akibashiri Mapinduzi Makubwa katika Siasa za Upinzani Tanzania,alienda Mbali zaidi na Ku refer Kilichotokea Kenya,2002 Pale Chama cha KANU kili0ong'olewa na Muungano wa Vyama vya Upinzani chini ya Mwai Kibaki.

Leo baada tu ya Mkutano wa UKAWA kuahirishwa the same Zitto anakuja kutoa tamko kuwa ACT itasimama kama yenyewe na haitajiunga na UKAWA.

Maswali

1. Kauli ya juzi kuwa tutashuhudia Mabadiliko Makubwa kwenye Siasa za Upinzani Kesho Jumatatu 27/7/2015 na kufananisha na Kenya 2002 ilikuwa na Maana gani hasa ?

2. Ni nani hasa aliyeihitaji ACT UKAWA Mpaka leo Kiongozi wao aseme hawana Mpango wa kwenda UKAWA.

2. Ni lini ameanza kuwa Msemaji wa Vyama vya Upinzani ?

3. He,tukisema kuwa ni Opportunist aliyekuwa ana expect leo Lowasa Kutangaza kuhamia upinzani/UKAWA na yeye kualikwa UKAWA tutakuwa tumekosea ?,Kuwa ameona Opportunity imeota Mbawa ?

ubongo wako bado una safar ndefu ili kuweza kukua vizur-kwahiyo UKAWA kumpata Lowassa ndio mafanikio? ZZK ana haki ya kuondoka UKAWA iwapo akili zenu zinawaza kumsafisha mtuhumiwa wenu mpk afae kuongoza nchi-mnaonesha ninyi kama ninyi mna ombwe kubwa la watu wanao wakubali-poleni, Mh ZZK ana haki ya kujiondoa na kusimamia mising ya ACT -sio double standard za CDM, Lowassa wa CCM ni fisadi ila akija CDM ametubu
 
Ni ITV habari leo alipokuwa akiongea na watiania wa nafasi mbalimbali wa chama chake.Aliwahi sema pia ACT iko tayari.So?
 
Hatutajiunga kamwe na wapiga dili hawa wa UKAWA, wameshauza vyama vyao kwa mafisadi kuna nini tena huko, tutabaki na ACT yetu
 
Jamaa kachanganyikiwa katengeneza kundi la wafuasi hajui pa kuwapeleka. UKAWA tunasema mtu atakayesimama kati yetu na CCM ni halali yetu NI ADUI YETU PIA tutamshughulikia kama tutakavyomshughulikia CCM.
 
ubongo wako bado una safar ndefu ili kuweza kukua vizur-kwahiyo UKAWA kumpata Lowassa ndio mafanikio? ZZK ana haki ya kuondoka UKAWA iwapo akili zenu zinawaza kumsafisha mtuhumiwa wenu mpk afae kuongoza nchi-mnaonesha ninyi kama ninyi mna ombwe kubwa la watu wanao wakubali-poleni, Mh ZZK ana haki ya kujiondoa na kusimamia mising ya ACT -sio double standard za CDM, Lowassa wa CCM ni fisadi ila akija CDM ametubu

Naona unamsemea ZZK

Hehehe

ID nyingi sana
 
Dogo anachanganya raia,mara yuko tayari lengo ni kuingo'a ccm,mara tumeandika barua UKAWA blablaaa tatizo ni nini.
 
Amani iwe kwenu wana ukumbi:

Mkuu wa chama cha ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema hawana mpango wa kujiunga na ukawa kwa kuwa chama chake kina sera tofauti.

Ameyasema hayo leo ndani ya kikao chao cha ndani na kusisitiza kuwa azimio lao la Tabora linamtaka kila mtu kutangaza mali na madeni yake ndo ajiunge naye.

Chanzo ITV taarifa ya habari ya saa 2 usiku.

mbona ACT waliandika barua kwenda kwa vyama vinavyounda ukawa wakitaka kujiunga lakini walikataliwa, leo eti huyu kinyonga anasema hawataki kujiunga ukawa. AIBU ZAO BAADA YA KUPIGWA STOP.

KAMA KUNA MTU ANAMWAMINI ZITTO KABWE HUYO LAZIMA AATAKUWA NA MATATIZO YA AKILI
 
Sielewi nini hasa mantiki yako mkuu,.siamini kama ni kweli umekaa na kutafakari kwa mda mpaka kufikia kuandika uzi huu au kwa sababu ya chuki zako tu umeamua kuandka. Kaka mimi sio shabiki wa Zitto bali mimi naamini katika umuhimu wa upinzani katika maendeleo ya nchi. Alichosema Zitto juzi ilikua UPINZANI kuwa na nguvu na kuondoa mfumo dhalimu wa chama tawala, UKAWA wamekaa wakasema hawamkaribishi Zitto kwao, ACT bado ni wapinzani, UKAWA bado ni wapinzani, Alichosema Zitto leo ni kuwa pamoja na kutokukaribishwa UKAWA bado chama chake kitaendelea kusimama kama miongoni mwa vyama vya upinzani. Sasa hapo kakosa nini? Jamani MNYONGE MNYONGENI, HAKI YAKE MPENI, Kuna wakati chuki zetu binafsi zinatufanya kutokuangalia katika ukweli na haki.
 
Wakuu JF,

Amani iwe Nanyi.
Ninajaribu kuoanisha kauli za Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Zitto Kabwe za Juzi na Leo.

Juzi alikaririwa kwenye Mitandao ya Kijamii akibashiri Mapinduzi Makubwa katika Siasa za Upinzani Tanzania,alienda Mbali zaidi na Ku refer Kilichotokea Kenya,2002 Pale Chama cha KANU kili0ong'olewa na Muungano wa Vyama vya Upinzani chini ya Mwai Kibaki.

Leo baada tu ya Mkutano wa UKAWA kuahirishwa the same Zitto anakuja kutoa tamko kuwa ACT itasimama kama yenyewe na haitajiunga na UKAWA.

Maswali

1. Kauli ya juzi kuwa tutashuhudia Mabadiliko Makubwa kwenye Siasa za Upinzani Kesho Jumatatu 27/7/2015 na kufananisha na Kenya 2002 ilikuwa na Maana gani hasa ?

2. Ni nani hasa aliyeihitaji ACT UKAWA Mpaka leo Kiongozi wao aseme hawana Mpango wa kwenda UKAWA.

2. Ni lini ameanza kuwa Msemaji wa Vyama vya Upinzani ?

3. He,tukisema kuwa ni Opportunist aliyekuwa ana expect leo Lowasa Kutangaza kuhamia upinzani/UKAWA na yeye kualikwa UKAWA tutakuwa tumekosea ?,Kuwa ameona Opportunity imeota Mbawa ?

Anaishi kwa kufanya siasa za kuvizia vizia, hana mvuto kabisa yani nimemuonea huruma sana.
 
Zitto ameweka msimamo wake kuwa hawez jiunga na ukawa na kwamba anawashangaa wanatafuta mgombea humo ndani hadi leo kwani anatoka mbinguni! Kaka yuko vizuri hajabadili msimamo wake tangu atoke bungeni. Zitto katika ubora wake. Go go brother....
 
Eti leo amesema ACT hawawezi kujiunga na UKAWA kwasababu itikadi za ACT ni tofauti na byama vingine vinavyounda ukawa swali ni kwanini aliandikaakiandikia UKAWA barua ya maombi ya kujiunga na UKAWA? kama si unafiki huo.
 
Nguvu za ACT wamehamishia sana kuikosoa CHADEMA kuliko CCM, adui wa ACT ni CHADEMA si CCM, chama tawala kwa ACT ni CHADEMA wala si CCM
 
Sasa nani katangaza kumtaka? Abwage afanye Yake ajenge chama yuko na safari ndefu bado miaka 19 ifikie 20 kama Chadema kilivyo jijenga mpaka Leo kinataka kushika dola
 
Nguvu za ACT wamehamishia sana kuikosoa CHADEMA kuliko CCM, adui wa ACT ni CHADEMA si CCM, chama tawala kwa ACT ni CHADEMA wala si CCM

Kwasasa aduiyetu ni chadema maana wamekubali kununuliwa na ccm-mafisadi! Shame on you Mbowe
 
Baada ya kuakataliwa kuingia ukawa kwa sababu ya undumila kuwili wake leo anajishembendua
 
Zitto ameweka msimamo wake kuwa hawez jiunga na ukawa na kwamba anawashangaa wanatafuta mgombea humo ndani hadi leo kwani anatoka mbinguni! Kaka yuko vizuri hajabadili msimamo wake tangu atoke bungeni. Zitto katika ubora wake. Go go brother....
Kwani wenyewe wamepata?
 
utakuwa unamchora Zitto ww. Yeye kamtangaza mgombea wake wa urais ama wakwake ndo anatoka mbinguni? Halafu inaonekana ww ni bonge la mshamba uliyerukia siasa.
 
Back
Top Bottom