Zitto hana chama, chama ni cha Wapemba na wafuasi wa Maalimu Seif

Siku wenye chama chao wakiamua kuondoka na jengo lao chama kitakufa Zitto atabaki na makaratasi ya Msajili wa vyama vya siasa tu. Jifunze kutoka kwa Lipumba na CUF yake.

Najua wafuasi wa Zitto hawapendi kusikia haya lkn, Ukweli ndio huo.

Zitto and others, Keep this short Thread you will thank me later.
Historia fupi ya marehemu.

Alizaliwa akafa.
 
Zito Hana tofauti na halima mdee.hakuna kitu anafanya zaidi ya masirahi yake binafsi.
Hawa ni wamoja wana jambo lao
Screenshot_20201208-061300.jpg
FB_IMG_1652596123320.jpg
 
Yule Amna mtu Yuko Sana Kwa mwezi wa kwanza ,na mipango ilibuma akaingia jembe,Sasa wameludi Tena Kwa mwezi wa kwanza
 
Back
Top Bottom