Zitto aongea na Power Breakfast ya Clouds FM

Zitto aongea na Power Breakfast ya Clouds FM

ukiwa unatoa mifanao jaribu kuweka like for like
wakati collin powell anayasema hayo hakuwepo kwenye frontline politics za republican.
angekuwa kwenye frontline politics za republican angesema hayo, angetakiwa kujiuzulu.
Zito yuko kwenye frontline politics za chadema.
Ni chadema kama chama ndio kinatakiwa kiseme kitamuunga mkuno kafulila.
kama chadema wakisimamisha mgombea wao na wakamtuma zitto akamfanyie kampeni, zitto akikataa what next???

Hayo ndio maneno. Aidha, Zitto anaweza kumuunga mkono yeyote ampendaye hata kama angekuwa CCM lakini kutokana na nafasi yake ndani ya CHADEMA hawezi kutangaza msimamo wa aina hiyo hadharani; inabidi ubaki moyoni na autekeleze kwa kificho (covertly). Akitaka kwenda hadharani na msimamo huo basi ajivue (ajiuzulu) kwanza uzito alio nao ndani ya CHADEMA.

Mimi naamini kabisa kwamba hata ndani ya CCM wapo makada wanaofurahishwa na miondoko ya baadhi ya wapinzani na wangependa kuwaona wakifanikiwa katika harakati zao dhidi ya wana-CCM wengine lakini hawautangazi mtazamo huo; unabakia ndani.

Zitto ama amechoka au ameshindwa siasa za vyama; hivyo, aamue kuangalia nyanja nyingine kama vile kuwa mchambuzi wa mambo kama tulivyo hapa JF. Lakini nadhani anafaa zaidi kuwa mwanaharakati.
 
Hoja za Powell kwa Obama zinakosa nguvu kutokana na ukweli kuwa Powell alilinganisha sera za Obama na zile za McCain akapata chaguo. Zitto kasema anasukumwa na ushirikiano wa vyama ili wawe na nguvu ya kupambana na CCM. So far, chama chake na hata hivyo vingine anavyotaka kushirikiana navyo havijasema vitamsimamisha nani kwenye jimbo la Kafulila. Ni vema angesuburi muda ukafika na wagombea wote huko wakajulikana ndipo akasema namuunga mkono huyu kwa sababu hizi na hizi na huyu mwingine namkataa kwa sababu hizi na hizi.
Hata hili la kuipigia debe NCCR kwa kuwa mara zote imekuwa namba 2 nyuma ya CCM halina nguvu. Kabla ya uchaguzi mdogo Busanda, CUF waliomba waachiwe na wapinzani wengine kwa kuwa ndio walikuwa namba 2 nyuma ya CCM. CHADEMA walikataa na baada ya uchaguzi CHADEMA wakapata kura nyingi sana kuliko CUF, hali inaweza kuwa hiyo hata Kigoma kusini. Let's face the truth. Msimamo huu wa Zitto hautakuwa na manufaa yoyote kwa Kafulila wala kwa chama chake cha NCCR, sana sana itakuwa wote CHADEMA na NCCR kukosa na CCM kupeta kilaini!
 
kunatofauti kubwa kati ya kuunga mkono mgombea fulani na kumfanyia kampeni mgombea. wote tunafahamu kwamba mgombea anajinadi na kunadi sera za chama chake. kama sera za vyama viwili tofauti zinashabihiana hakutakuwa na mushkiri iwapo kiongozi wa kimoja anaweza kumfanyia kampeni mgombea wa chama kingine.

naamini hili suala lingekuwa rahisi iwapo kungekuwa na mgombea binafsi.
nakubaliana na wewe kuna tofauti kubwa kati ya campaign na endorsement

mushkiri upo
kwa ajili kunadi sera za chama kingine hata kama sera zenu zinafana ni kunadi chama kingine. kama swala ni kufanana kwa sera basi anaweza akazinadi hizo sera kupitia chama chake
 
Hoja za Powell kwa Obama zinakosa nguvu kutokana na ukweli kuwa Powell alilinganisha sera za Obama na zile za McCain akapata chaguo. Zitto kasema anasukumwa na ushirikiano wa vyama ili wawe na nguvu ya kupambana na CCM. So far, chama chake na hata hivyo vingine anavyotaka kushirikiana navyo havijasema vitamsimamisha nani kwenye jimbo la Kafulila. Ni vema angesuburi muda ukafika na wagombea wote huko wakajulikana ndipo akasema namuunga mkono huyu kwa sababu hizi na hizi na huyu mwingine namkataa kwa sababu hizi na hizi.
Hata hili la kuipigia debe NCCR kwa kuwa mara zote imekuwa namba 2 nyuma ya CCM halina nguvu. Kabla ya uchaguzi mdogo Busanda, CUF waliomba waachiwe na wapinzani wengine kwa kuwa ndio walikuwa namba 2 nyuma ya CCM. CHADEMA walikataa na baada ya uchaguzi CHADEMA wakapata kura nyingi sana kuliko CUF, hali inaweza kuwa hiyo hata Kigoma kusini. Let's face the truth. Msimamo huu wa Zitto hautakuwa na manufaa yoyote kwa Kafulila wala kwa chama chake cha NCCR, sana sana itakuwa wote CHADEMA na NCCR kukosa na CCM kupeta kilaini!

wel said
 
Kuna mkanganyiko na huyu mwandishi anayezidi kupotosha umma kwa makusudi . Kwanza nianze kwa kusema Zitto kumuunga mkono Kafulila si jambo la ajabu na wala Chadema wasiumie maana kama kuna nafasi ya NCCR kushinda huko nia bado ni kuwapata wapinzani wengi hivyo isiwe issue ya kutuchukulia muda .Msimamo wa Zitto ni kama Zitto na si kama Katibu wa Chadema shida iko wapi mtu na rafiki yake ?

Upotoshwaji ni huu
Madai kwamba Kafulila alifukuzwa Chadema na mwenzake . Jamani sote tunajua kwamba walivuliwa madaraka yao na si kufukuzwa uanachama .Wamejiondoa wenyewe kwenye uanachama na nafasi zao za kika zikachukuliwa na wengine ni kawaida .Sasa tusipotoshwe hapa .

Lipumba kasema vyema na Zitto alisema na anasema eneo hilo NCCR wanakubalika na Kafulila yeye hadi apate Ubunge ndipo neno mpinzani kwake litakamilika sasa tumuombee heri na tuwe focused na si kupotoshana hapa kila mara na habari za waandishi hawa .

It seems still hujaona point hapo..
Zitto anakwenda kinyume na maamuzi ya chama chake ambacho yeye anakiongoza..kama angekuwa ameiva katika democrasia,angejiuzulu maana angekuwa na sababu ya msingi tu..kwamba hakubaliani na maamuzi ya viongozi wenzake ambao wako juu yake,the only solution angetakiwa ajiuzulu from the begining,sio kujichanganya changanya kama navyofanya,kimsingi hatuchangany wananchi,anajichanganya mwenyewe tu,,kama kuna mtu anachanganywa na mauza uza ya Zitto,basi huyo mtu anauwezo mdogo sana kichwani mwake,kwa mtu ambaye ni intelectual,hawezi kujiuliza mara 2 2 kupata jibu kuwa Zitto ni mamluki wa kisiasa (mwenyewe amekiri saisa sio chaguo lake la kwanza)..anachofanya ni kutaka kuvuruga upinzani (Chama makini kama chadema),,mbona hajiuzulu kama haridhishwi na maamuzi ya viongozi wenzake??anasubiri bunge livunjwe apate mafao yake ndo ajidai kujiuzulu!!!!
Binafsi namuona ni mamluki kama si mganga njaa
 
Zitto Kumuunga Mkono Kafulila kigoma Kusini Si vibaya! Yes Nakubali Je CHADEMA kusimisha mgombea Kigoma kusini Ni Vibaya?
 
sawa sawa kabisa:
Halafu msisitizo: Powell ENDORSED OBAMA "not" SUPPORTED OBAMA
en⋅dorse⋅ment  /ɛnˈdɔrs
thinsp.png
mənt/ -dawrs-muh
thinsp.png
nt]

Use endorsement in a SenteNCE

–noun 1.approval or sanction: The program for supporting the arts won the government's endorsement.

INGAWA WOTE NI WADANGANYIKA, HII NI KWA MTOA MADA YA MAANA YA MANENO HAYO, WENYE LUGHA WANASEMA YANA MAANA SAWA PANDE ZOTE UNASEMAJE KWA HILO

SEMhttp://dictionary.reference.com/browse/endorsement
 
kwa nini hawamfukuzi Zitto ndugu yangu?

Unajua Chadema kimeshajifia siku nyingi! unapoteza muda kutetea chama

je umeangalia madhaifu ya chadema katika hii ishu?

wewe ndiye uliyekwisha kufa na ukimwi unaokutesa na siyo chadema
 
wewe ndiye uliyekwisha kufa na ukimwi unaokutesa na siyo chadema

Mzee unaonekana haujui kabisa kujibu hoja, ona sasa unavyoongea vitu vya ajabu, soma post zangu za nyuma nimetoa sababu ya maneno yangu. Ukimwi sina, bado naishi, sitaupata, na octobar nitawapa kura chadema wakijirekebisha. una ugonjwa wa kupofuka macho kutokana na ushabiki na hii itakufanya kila siku ukose raha humu. tunaoisema chadema sio tunaichukia, tunataka waimarike, wawe wanademokrasia na waende mbali zaidi ya sasa walivyo. uchaguzi na kupata kura haviji kwa kubishana na mimi humu, wananchi ndio waamuzi na wananchi hao ndio wapiga kura.Any cloudy situation will make Chadema loose.

ushabiki upofusha, jibu hoja au uliza swali, hata mimi ni chadema kwa taarifa yako, uliza
 
ushabiki upofusha, hata mimi ni chadema kwa taarifa yako

Waberoya, sasa hapa upi ushabiki unaouongelea - ushabiki kwa Chadema ama ushabiki kwa Zitto, ni swali tu.
 
Waberoya, sasa hapa upi ushabiki unaouongelea - ushabiki kwa Chadema ama ushabiki kwa Zitto, ni swali tu.

wote mashabiki wa zito na wa chadema, umesoma ile thread ; Tanzania's missing opposition? na umesoma report ya redet.

Analysis should be more than one dimension;

Utagundua yes we do love these parties , but we have a long way to go; tusipende kitu kisichokuwepo.Just imagine mag3 na post zako zote za kuipenda chadema kesho tunapata kura 2! but if we will criticaly construct chadema tukapata kura 100, kwangu mimi ina faida.Lisikuumize swala la Zito, huwa wanamsema sana Zito na huwa napenda kuangalia upande wa chama zaidi, na hii imetafsiriwa labda namtetea. Wote tukiangalia upande mmoja hamna dicussion humu! I like to challenge ideas, to challenge people kuona kama wanachoamini ndio wanachoandika, believe me Mag. Sasa mtu anakasirika na kutoa matusi kwenye forum yenye member 8000, na sio wote wanaozipitia hizi thread. The ver same member kesho unamtuma aende Kigoma akakipigie kampeni chadema, ukifika field watu wanauliza nasty questions, na kupata kura ni function how people will be convinced by your argument na sio matusi.

Hili sio kwenye mijadala ya chadema na zito tu, ni tatizo letu sehemu nyingi; sijajua ni elimu yetu, malezi, au ...culture, wakati makanisani tunaambiwa mkiwapenda jirani na kuwaonyesha mifano mizuri, watavutika kuja kanisani! I do hope in these parties this technique applies. Chama chenye wanachama wenye matusi, hasira n.k. Kupata kura sio rahisi, kuwabadilisha watu inabidi uwe kweli una ujuzi wa kupanga hoja na mapoint na sio matusi

In short Zito hayumo chadema, if we real believe that love start form the heart! kumwekea zengwe la uchaguzi na kumpa pipi ya uongozi, havijasaidia lolote.My worry ni kuwa kesho asitokee tena mtu kama yeye akalalamika the same thing ambacho walioondoka na kufariki walilalamika!

kasome zile paper Mag, tukutane huko

My dream ni kuwa kiongozi au mwanachama mwaminifu ndani ya chama, lakini sitaweza kuingia kama I can not fullfill my dream.Naota kuwa waziri wa ujenzi kupitia chadema ikishika nchi! can my dream be real?, think! thats what I am fighting for. Mpaka leo hakuna aliyenipa sababu ya Zito kutokugombea uongozi, mpaka leo sijajua kwa nini Zito yumo Chadema huku anapiga kelele! nikianza analysis zangu za sifa za chama na uongozi, hawa wote hawana sifa za kuwa chama au uongozi! I mean Chadema and Zito. Na hapa wanaweka matumaini yangu katika rehani! Yes I still love Chadema, ila hakuna anayeniconvince kwa kunipa majibu ili tumain langu lisiyeyuke, maana ukiondoa chadema wengine wote, hamna kitu!

By the way huyo jamaa niliyemjibu hapo juu tangu 2007 mpaka leo yeye anatukana matusi tu, namwandalia thread awe baned! mbona sio mstaarabu kama wengine??

Huwa nawatania chadema angalia Mnyika anavyojibu maswali, muulize any nasty question, Mnyika anaanza taratibu kwa upole na anakuvuta unavutika. Mbowe naye anaweza kujibu maswali bila hasira.

I believe forums is a nice place to analyse things critically in debate-like style.

I can pose a question to seek for an answer, but does not necessarily that I believe in the question I have asked. some we do need points!. However what you wite need to be what uou believe and should apply to all issues.
 
Kijana umekuwa objective sana katika maandishi yako lakini sasani kama unaogopa watu fulani fulani kukupa lebel ya Zitto. Ujue kuna watu humu wana Zittophobia, usiwajali toa hoja zako.

Zitto ni rebel siku zote. Si umeseme ulikuwa naye chuo Kikuu? Migmo mingapi kaanz5sha pale na mingapi kazima akiwa kiongozi? And this is very interesting. Mwanangu ambaye Zitto alimkampeni kuwa Makamu wa Rais wa kwanza wa DARUSO (Msichanganye na Sinare maana wao walikuwa MUWATA na kabla DUSO) alinihadithia kuhusu huyu rafikiye. Kwamba, kabla ya kuwa kiongozi aliongoza migomo yote ya Chuo Kikuu (mgomo mkuu wa mwaka 2000 na mgogmo wa kumtoa mwanafunzi mwenzao aliyeshtakiwa kutishia kuua nimemshahau jina). Alipokiuwa kiongozi hapakauwa na mgomo na alikuwa anawaambia wanafunzi pale Rev Square point blank anachoamini, wakamchukia kweli na kusema arrogant huyu). Alipotoka tu mgomo mwingine ambao wewe Waberoya unaamini alianzisha yeye lakini ukweli ni kuwa hakuwemo ila aliingia ili kuwaokoa vijana wake kina Alberto, Mwita mwikabe na Imma Mvula wasifukuzwe chuo. Alikataa msamaha ili msamaha uwe kwa wote, na hakuna aliyefukuzwa.

U-rebel wake akaupeleka bungeni na kulibadili kabisa Bunge tofauti na miaka ya nyuma. Leo kina Slaa wanaonekana kama walikuwa wabunge kuanzia juzi tu wakati walikuwemo toka mwaka 1995. Kina Mbowe hawana legacy kabisa Bungeni. Kina Slaa ilibidi waendane na kasi yake ili wasiwe irrelevant. Anna Kilango siku moja alisema hatuwezo kumwachia Zitto tu humu Bungeni (nasikia wanaitana mama na mtoto),Chegeni alisema wamechoka huko vijijini kuonekana Zitto ndio Rais wao. Ole Sendeka alikataliw akuongea Mererani mpaka Zitto aliposimama kuwaomaba wananchi wale wamruhusu.

Siasa zake CHADEMA ni pragmatic. Maana yeye mjamaa yupo chama cha mabwanyenye. Alimleta mentor wake Kitila ambaye ni liberal na kumhusisha radical mjamaa pale chuo kikuu anaitwa Bashiru kuandika upya Imani za CHADEMA na kukiweka chama chao mrengo wa kati bila wenye chama kujua maana hawasomi sana.

Uzoefu wake wa siku nyingi unaniamisha kuwa huyu rebel Zitto alikubaliana jambo na Mwenyekiti wake kuhusu kina Kafulila na mtoto wa mjini Mbowe kamzidi spidi na kumwagiza Slaa amfukuze. Sasa ugomvi ni wa Slaa na Zitto kama Mbowe alivyojaribu kuweka katika Kongamano lao jana... nukuu

"Freeman Mbowe akasisitiza kuwa hakuna mgogoro wowote ndani ya chama hicho na kwamba Dk Slaa na Zitto pia hawana mgogoro. "
mwisho wa kunukuu.

Licha ya elimu ndogo, Mbowe ni mjanjaa sana katika siasa za mjini na tayari amehamisha ugomvi ni wa Slaa na Zitto na siyo yeye na Zitto au chama na Zitto.

Jenerali Ulimwengu aliwhai kuwaandikia CHADEMA kuwa hamweli kula keki na kuibakisha. Kibanda naye akasema CHADEMA waukubali umaarufu wa Zitto.

Zitto ninayemjua kupitia kwa wanangu, ni schemer, organiser mzuri na mwenye uwezo mkubwa wa kujieleza (nimemwona Bungeni). Wananchi wa kawaida kabisa kina mama wauza vitumbua Ilala wanamwamini sana na wanahisi anaonewa.
Waberoya, tell the Zitto you know. The fearless, out of box, the rebel. The Organiser, Networker and Pragmatic. Huyu hatoki CHADEMA. Kwake next step in Opposition Alliance towards 2010.
 
Napenda kuwataja kwa majina marafiki walioshiriki ni mimi mwenyewe kama rafiki yake wa karibu kutoka foe miaka hiyo mr tutabananahmhm , miaka hiyo james magendera uliyesoma naye sekondari huko mkoa wa kilimanjaro na martin kiwale uliyesomanaye huko university of zanzibar.

Kama kawaida tukiwa sekondari hatujui baraka zitakazo kujia. Ingawa baada ya madaraka uliyoyapata ni ndoto kupata nafasi ya kuonana na wewe ila tunajivunia sana mafanikio yako. Kama ilivyo ada majicho ya husda yanaelekea kufanikiwa na kuteketeza nyota yetu isiyoteketea. Hii ni taarifa tuu kwa wanaocheza na moto. Dhambi ,nia mbaya na chuki zina adhabu ya mauti. Tunakujulisha sasa utakuwa jiwe kuu la msingi.

(ili usiwe na utatata kama unataka kumkumbuka ndugu tutabananahmhm kutoka foe na kina gasper , waziri selemani na wengine. Huyu ndugu aliweza kukuzawadia cover jipya la sinu yako lililoharibika akakupa lake jipya lililokuwa na uwezo wa kubadili line tatu za simu nokia 3310. Kwa hayo hapa juu tunategemea utakuwa mtu mwenye amani na ushindi.
Ni sisi wanafunzi wenzako.
 
Hapo juu sasa ndiyo umempa ushauri gani yakinifu?
 
Kwa sasa Jimbo la Kigoma kaskazini ni gumu kwa chama chochote. Kilichopo kwa sasa, wananchi wa nyanda za juu (Kalinzi, Matyazo, Mkabogo, Nyarubanda,Mkigo) hawamtaki Zitto, Zitto anakubalika nyanda za chini (Mwandiga kwao). Sababu hasa ni UDINI, nyanda za juu (Wakristo wengi) wanasema, Serikali ya KIKWETE imejaa watu wa dini moja, sasa mgombea wanayemhitaji bila kujali chama awe wa dini yao. Mhe. Zitto, kama anatarajia kugombea alijue hilo. Hii ni kasoro ambayo nimeona haitatufikisha popote pale, badala ya kuangalia mambo ya msingi yanayorudisha maendeleo nyuma ili tupigane nayo watu wamepandikiza mbegu za udini. Bado kazi tunayo
 
Kijana umekuwa objective sana katika maandishi yako lakini sasani kama unaogopa watu fulani fulani kukupa lebel ya Zitto. Ujue kuna watu humu wana Zittophobia, usiwajali toa hoja zako.

Waberoya, tell the Zitto you know. The fearless, out of box, the rebel. The Organiser, Networker and Pragmatic. Huyu hatoki CHADEMA. Kwake next step in Opposition Alliance towards 2010.

Mh!

Mzee unanikumbusha USRC! wakati Zitto katibu wa bunge nami kipindi hicho ni permanent secretary wizara ya afya.

anyway, haimaanishi kama mtu unamfahamu basi usiseme madhaifu au makosa yake pale panapobidi, at least that is fair ground.

Nimefuatilia kwa karibu maendeleo ya chadema na mpka walipo sasa, still it is appealing. Lakini bado hainizuii kusema ukweli kuhusu Chadema

Mambo yote anayopitia zito sasa hivi na kutokutulia kwake kwenye media source ni frustration waliyomletea Chadema. na kwa sababu tumezoea kujadili matokeo na siyo source basi wengi wamesema kila walichosema kuhusu Zitto, wengi wa waliosema hawawezi kuthibitisha maneno yao! still we label them as great thinkers

Kwa uchokozi kabisa nimekaa upande wa Zitto nione walioupande wa chadema au haters wake wana point gani , mpaka leo sijapata point yoyote iliyoniingia akilini ya kunifanya niwe upande wa chadema(Kila lawama inayoelekezwa kwa Zito ina reveal udhaifu na muundo wa chama)!!!. Naogopa kuhukumiwa kesho, I want that hidden agenda, maana kulalamika kwa viongozi wanaoondoka chadema hakujaanza leo! na mimi nimeshtuka nataka nijue kuna nini. Hofu yangu ni kuwa unless wanaoitetea chadema wanipe assurance kuwa kesho hatatokea mwingine atakayelalamika the same way akina Zito wanavyolalamika, nikihakikishiwa hivyo, basi nakuwa upande wa chadema! lakini leo Zito, kesho itakuwa zamu ya mwingine, the story will go on and on! baada ya miaka 30 ijayo tutajikuta bado chadema ina wabunge 5 au wamepungua! they need to grow, ukifuatilia statistics inaonyesha kiko dormant for the past 10 yrs, still leo nipige vigelegee chadema hoyeee!

To the worse kama ulivyosema Zitto ni mtu wa misimamo, I adore that caliber! haiwezekani kabisa kwa namna yoyote wazee wamshauri Zitto asigombee uongozi, halafu tukichekee hiki kitu! wanaoichekea ndio wale wale wanaosema CCM mafisadi! double standard bahati mbaya sio sehemu ya maisha yangu! waliibaka demokrasia, wamekaa kimya, wamefunika kombe, siku ziende, but that is notable and alarming behaviour kwa chama kinachotarajia kuongoza serikali. Hili ata litetewe kwa namna gani, ballot box siku zote linaamua ukweli, watu kama hawampendi wasingemchagua! maamuzi ya watu huwa yanabadilisha kila kitu, Yes Zuma ni mhuni, yet leo ni rais wa S.A kwa sababu yote waliyokuwa nayo wazee waliibaka demokrasia na dhambi hii inawatafuta na kuwatafuna!

Zitto akae mbali na media, siku akiondoka chadema aondoke kimya kimya, that will sound a lot! ikitokea akapiga kelele kama akina Kafulila, then his agenda will too be questionable. wenye akili watajua kwa nini katoka, still upinzani uendelee kukua!

Yet today some great thinker wanasema tugange yajayo, huwa najiuliza watu hufanya makosa makusudi ili tugange yajayo au? , hiyo yajayo Chadema watarudia tena kubaka demokrasia na kusema tugange yajayo!? Yajayo gani hujengwa bila msingi wa ya leo??
 
"1.Hiki kichwa ni kizuri"
Nafikiri huo ni mtazamo wako binafsi lakini siku zote mwanasiasa HATEGEMEKI, na tatizo la msingi ninaloliona kwa Dogo Zito ni UMRI, Bado ajawa na ile hekima ( Uwezo wa kitambua hatari iliyoko mbele na kuchukua taadhari), Amelelewa na CHADEMA, naamini kuna baadhi ya mambo ambayo chadema waliyafanya hayakuwasawa lakini naamini kwakutumia taratibu za kichama walizungumza wao kwa wao wakayamaliza sidhani kama walipayuka kwenye vyombo vya habari (KAMA DOGO ANAVYOFANYA LEO TBC KESHO CLOUDS, KESHO KUTWA MWANANCHI....) na inawezekana kama yalizungumzwa kwenye vyombo vya habari ilikuwa kama Press realize.

Binafsi kwa mtazamo wangu ni vema uwezo, nafsi yake katika chama, ushawishi wake pamoja na kujiamanini kwake angeweza kuongea akaeleza mtazamo wake kwenye vikao vya chama ikishindika kuna wazee wa chama.

Opposition hasa chadema ni chama ambacho kinataka dermokrasia ya nje ya chama lakini hakipo tayari kwa demo ya ndani
 
Back
Top Bottom