Solomon David
JF-Expert Member
- Mar 1, 2009
- 1,148
- 16
Zitto wa dowans kwa usanii bwana utamuweza?
This guy needs to go away for a little while..
Anapenda spotlight huyu sidhani kama ataenda kokote. Yaani akisoma polls zinamwonyesha kuwa ni "mwanasiasa maarufu" kuliko wote basi anajiona kama mungu vile.
Waungane kwa misingi ipi ? Unajua kwamba kuungana kumesha jaribiwa kukashindikana ama wewe ni maneo tu hapa JF kila kukicha ? Huyo Zitto na Chadema wamejaribu ikawa shida . Huwezi kuungana na mtu kama UD ana CUF wakiwa na mtizamo toafuti na Tanzania kwanza . Mnawapa sana lawama wapinzani lakini eti nyie mnaishi kama si part ya Watanzania ambao wanaweza kuungana mkono wanayo yafanya wapinzani. Nakataa siasa za makaratasai na hasa JF nenda kweney ground fanya kweli na si ushabiki pekee .
Haaaaa haaaaa haaaa! U maji leo!Zitto siku hizi ananishangaza sana. Anawezaje kutangaza kuwa NCCR ina nguvu kuliko CHADEMA Kigoma Kusini wakati ambapo Uchaguzi wa mitaa 2009 CHADEMA ilipata viti vingi kuliko NCCR? Halafu anaji-contradict, kama kweli NCCR ina nguvu kama alivyosema, na kwamba anataka CHADEMA iachie NCCR ili NCCR ishinde; vipi siku zote amekuwa akisema hapa kwamba anataka Kafulila ashinde jimbo hilo kupitia CHADEMA? Sasa kwa kuwa tu Kafulila kahamia NCCR basi ndio amebadili msimamo sasa anataka NCCR ishinde?
Halafu si Zitto huyo huyo aliandika hapa JF kuwa NCCR imefadhaliwa mwaka 2005 na bado inaendelea kufadhiliwa kwa fedha za EPA? Sasa leo Zitto anatangaza kuunga mkono chama ambacho amekitangaza kuwa kinaendeshwa na fedha za ufisadi na wagombea wake wanafadhiliwa na mafisadi?
Zitto huyu huyu alimnadi Muslim Hassanal kupitia CHADEMA mwaka 2005, Muslim ambaye ni mjumbe wa baraza la wadhamini mpaka sasa kupitia CHADEMA? Je, Zitto anamaanisha kuwa kiongozi wake huyu wa CHADEMA hafai anayefaa ni Kafulila wa NCCR? Labda Zitto atueleze bayana mapungufu ya Muslim na CHADEMA mpaka atangaze live kumuunga mkono Kafulila na NCCR.
Asha
Zitto siku hizi ananishangaza sana. Anawezaje kutangaza kuwa NCCR ina nguvu kuliko CHADEMA Kigoma Kusini wakati ambapo Uchaguzi wa mitaa 2009 CHADEMA ilipata viti vingi kuliko NCCR? Halafu anaji-contradict, kama kweli NCCR ina nguvu kama alivyosema, na kwamba anataka CHADEMA iachie NCCR ili NCCR ishinde; vipi siku zote amekuwa akisema hapa kwamba anataka Kafulila ashinde jimbo hilo kupitia CHADEMA? Sasa kwa kuwa tu Kafulila kahamia NCCR basi ndio amebadili msimamo sasa anataka NCCR ishinde?
Halafu si Zitto huyo huyo aliandika hapa JF kuwa NCCR imefadhaliwa mwaka 2005 na bado inaendelea kufadhiliwa kwa fedha za EPA? Sasa leo Zitto anatangaza kuunga mkono chama ambacho amekitangaza kuwa kinaendeshwa na fedha za ufisadi na wagombea wake wanafadhiliwa na mafisadi?
Zitto huyu huyu alimnadi Muslim Hassanal kupitia CHADEMA mwaka 2005, Muslim ambaye ni mjumbe wa baraza la wadhamini mpaka sasa kupitia CHADEMA? Je, Zitto anamaanisha kuwa kiongozi wake huyu wa CHADEMA hafai anayefaa ni Kafulila wa NCCR? Labda Zitto atueleze bayana mapungufu ya Muslim na CHADEMA mpaka atangaze live kumuunga mkono Kafulila na NCCR.
Asha
Baada ya kuzisoma hoja zako na za Asha nimeamua kubadili msimamo na naungana nanyi maana hoja zenu zina nguvu.Bado nina kumbukumbu za kampeni za Ubunge Tarime na NCCR, pamoja na kujua hawana nafasi, walijiunga na vyama vingine kuhakikisha Chadema haishindi - lakini Mungu si athumani ! Hata hivyo watanzania wataendelea kunishangaza sana - hebu fikiria uhasama uliotokea kati yangu na rafiki zangu mwaka 2005 eti kuhusu umaarufu wa JK !. Leo hii anatokea mtu hana tatitzo na uamuzi wa Zitto wa kumwunga mkono Kafulila at the expense ya chama chake Chadema kwa lame excuse eti kuimarisha upinzani. Jamani ni upinzani ndio unajengwa hapa au Chadema ndio inapigwa vita - kweli yahitaji degree ili kuliona hili ? Katu huwezi kukata tawi ulokalia, period - vinginevyo ni wenda wazimu. Naungana na wote wanaoitakia mema Chadema kukaa macho na hizi mbinu za kukidhoofisha chama kwa kisingizio cha kujaribu kufufua vilivyopoteza uhai siku nyingi.
Sishangai zitto kumpigia kifua Kafulila:
Eti b'se ni chama kinginine jamani plz eleweni kwamba he's doing that for the benefit of opposition side, rather than that, tukubali kuwa CCM itachukua tena hilo jimbo na ikumbukwe kuwa lilikosekana kizembe tuu (kutokuwa na umoja ndani ya upinzani) ni kwanini tusiachiane majimbo, kwanini tusipeane support na kwanini tusiwe na sauti moja?..
QUOTE]
Nakubaliana na wewe katika hilo of course we dont want CCM to win, ni bora awe mpinzani yeyote kuliko CCM.
Ila Zitto amebadilika; something somewhere happened , soon or later tutajua tu kuna kitu gani kiliendelea kati ya Zitto na CCM. Nahisi kama amekaa kaa kuvuruga Chadema, especially baada ya kutoa maamuzi yale ya kukubali kuishauri serikali inunue Dowans. From there on sikumuelewa mpaka leo. Japo wazo lake la hapo juu make sense.
Zitto angetulia, angekuwa mbali sana kisiasa. Kwa sasa anaendelea kuchuja siku hadi siku. Makosa yake ni pamoja na:
-Kufanya kile anachofikiria bila kutafakari(ubinafsi)
-Kuamini kwamba anapendwa saaaaana!
-n.k
inawezekanaIt is just the matter of time, sasa hivi anaogopa kutoka atapoteza ubunge na pension zote. Ukweli ni tofauti na anachotamka. Wajasiriamali wa chadema waliopeleka mabinti na wakwe zao viti maalum bungeni wamembana na hawamtaki.
Veritas vos liberos faciet-the truth shall set you free!