Zitto aongea na Power Breakfast ya Clouds FM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto aongea na Power Breakfast ya Clouds FM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ThinkPad, Dec 14, 2009.

 1. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Katika kipindi cha power breakfast Zitto alonga live nakusema hato ondoka chadema wala atarajii kuondoka Chadema.
   
 2. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2009
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  Nina hints za maongezi ya Zitto na Gerald Hando wa Clouds Fm

  1. Sijaondoka CHADEMA, sitarajii Kuondoka na nilijiunga chadema nikiwa na miaka 16 kwahiyo nusu ya maisha yangu ni CHADEMA

  2. CHADEMA ni zaidi ya chama cha siasa, katika vuguvugu hilo wengi wameumia.....

  3. Kugombea uenyekiti halikuwa tatizo na nilipoondoa jina langu nilitangaza kuvunja makundi yote....sikuwa na kundi, nililivunja

  4.Kuhusu Kfulila...Maamuzi hayakuwa sahihi...kwa sababu haukuwa muda muafaka wa kufanya maamuzi kama yale, CCM wanangombana na sisi tugombane?

  5.Kafulila hakufanya kosa lolote

  6.Matatizo kwenye vyama vya siasa ni jambo la kawaida

  7. Kuhusu kumsapoti Kafulila...

  CHADEMA imekuwa ikiharibu matokeo Kigoma kaskazini na sitakubali tupoteze tena. Lengo letu ni kupunguza idadi ya wabunge wa CCM bungeni. Chadema ilikuwa ya tatu na NCCR mageuzi ilikuwa ya pili kwaiyo kura za CHADEMA ukichanganya na za NCCR zinazidi za CCM. Sio Kafulila tu hata wengine kwenye majimbo mengine nitakuwa tayari kutoa muda wangu kuwasapoti

  8. Kuhusu kutoa magari matatu....Sina hayo magari..nitayatoa wapi magari yote hayo nadhani ni maneno tu yamekuzwa

  9.Siamini kama chadema wataweka mgombea Kigoma Kaskazini na hata wakiweka siamini kama tutashinda sana sana tutagawakura

  10. Tarehe 11 Januari nitakuja kwenye vikao vya kamati za Bunge nitaongea na wanachama wa tawi langu la Mwandiga ili tukubaliane kama nigombee tena ubunge au nisigombee kwa sababu malengo yangu mwaka 2006 ilikuwa niwe mbunge kwa term moja tu.

  11. Mara ya mwisho kuongea na Mbowe:........Tunaongea mara kwa mara
   
 3. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  EEH!
  politiksi ngumu sana
   
 4. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2009
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Zitto msanii tu
   
 5. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #5
  Dec 14, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mzee umehama siku hizi?
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  Dec 14, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  tupo sambamba!
  nilikuwa nashangaa ii thredi!
  unajua thread za zitto ni kama series fulani inayoonyeshwa kila siku
   
 7. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #7
  Dec 14, 2009
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,526
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Inawezekananaje amsurpot mwanahama wa chama kingine ashinde uchaguzi? Hiyo itakuwa kwa maslahi ya chama au binafsi?

  Hili la Kafulila alijikanyaga. Halina mashiko. aseme tu anataka kumfuata huko NCCR.
   
 8. Y

  Yetu Macho JF-Expert Member

  #8
  Dec 14, 2009
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 223
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kuendelea kusisitiza Kafulila hakua na makosa nadhani ameteleza kidogo.Kama viongozi wenzake waliona anamakosa na kumvua uongozi, si sahihi kusema hana makosa.
   
 9. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #9
  Dec 14, 2009
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Teh teh mpwaaaa ni kwasababu watu wana majungu na fitna, unafiki na kupenda kukuza mambo na ndio maana zime kaaa kama series.

   
 10. Absolute

  Absolute JF-Expert Member

  #10
  Dec 14, 2009
  Joined: Jan 19, 2007
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mie nampa big up sana Zitto, huyu jamaa ana vision ya kipekee na laiti opposition leaders wengine wangefata model yake then tungekuwa mbali kama taifa..

  Sishangai zitto kumpigia kifua Kafulila:
  Eti b'se ni chama kinginine jamani plz eleweni kwamba he's doing that for the benefit of opposition side, rather than that, tukubali kuwa CCM itachukua tena hilo jimbo na ikumbukwe kuwa lilikosekana kizembe tuu (kutokuwa na umoja ndani ya upinzani) ni kwanini tusiachiane majimbo, kwanini tusipeane support na kwanini tusiwe na sauti moja?..

  BIG UP "Zitto"!!
   
 11. Mwana va Mutwa

  Mwana va Mutwa JF-Expert Member

  #11
  Dec 14, 2009
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 429
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  itakuwa ni kwa maslahi ya upinzani
   
 12. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #12
  Dec 14, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  mi sioni ubaya wowote iwapo lengo ni kuhakikisha ccm haitoboi. wacha amsapoti ili upinzani uongezeke bungeni.
   
 13. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #13
  Dec 14, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Nyerere, JK pamoja na kuwa mwanzilishi na mwasisi wa CCM alishawahi kumsupport na kumpigia kampeni mgombea wa NCCR mageuzi 1995, baada ya kuona mgombea wa CCM alikuwa ni tapeli na pia alikuwa na kahistoria ka ujambazi. Hili sio geni.
   
 14. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #14
  Dec 14, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kwa nini Chadema waweke mgombea mwingine kwenye jimbo la Zitto?
   
 15. w

  wakumbuli Senior Member

  #15
  Dec 14, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tafakari
   
 16. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #16
  Dec 14, 2009
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  anatia shaka sana katika fikra zake na uadilifu wake, hakika CHADEMA haitamfukuza na wamegundua janja yake ya kutaka kukivuruga chama kwa maana yakutaka kupata umaarufu kupitia kufukuzwa kwake.
  wamemstukia .
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Dec 14, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  If wishes were horses, beggars could ride.... endelea ku-write your own script!!!  ...or, were you just thinking aloud?
   
 18. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #18
  Dec 14, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Zitto zidi kuwa na msimamo hivyo hivyo kwani ndio utakaokupelekea kuwa mwanasiasa mahiri.
   
 19. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #19
  Dec 14, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,606
  Likes Received: 3,906
  Trophy Points: 280
  To be honest , Zito kusema nakipenda Chadema na hatahama, na pia kusema kuhusu Kafulila Chadema walikosea, this only place him far above many politicians. Huwa anasema anachoamini, na hapa kueleweka pia kunakuwa kazi sana
   
 20. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #20
  Dec 14, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Ni kweli viongozi wenzie wamekwishamstukia na kugundua kuwa jamaa anapenda mshiko; he is in Chadema to destabilize the party. The leadership in Chadema will slowly kill him politically by sidelining him so that he does not have access to sensitive Chadema information and ultimately mwenyewe atakimbia!!!!
   
Loading...