Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,200
Ok Kama Z ametoa hilo toka moyoni mwake mie na wengine tuko pamoja naye, Mvutano ni sumu ya maendeleo. I take your your word sir!kumekuwa na habari kwenye magazeti kitambo sasa zenye kuonyesha mgogoro ndani ya CHADEMA. Napenda kuwajulisha marafiki zangu kuwa hakuna mgogoro wowote. Sihami wala sifukuzwi CHADEMA. Tuna kazi moja tu, nayo ni kuimarisha chama kuelekea 2015 wakati tukipigania mabadiliko ya Katiba. Tusiyumbishwe!
Source: Zitto Kabwe Facebook Status, Twitter
Ndiyo hii hapa uliyoianzisha!
Ndiyo hii hapa uliyoianzisha!
Ushamwaga mboga...................... TUNAKUSAMEHE...HATUMWAGI UGALISafi sana wana-JF.
Naona sasa mumeanza kukomaa.
Discuss issues, not pipo.