Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

Status
Not open for further replies.
Ni kwamba, ni CCM wanatafuta namna ya kuiua CHADEMA na sio Zitto, hiyo yote mikakati na sms zinatumwa na watu wa CCM, ila wameamua kumtumia Zitto kwa sababu Zitto naye siku hizi amekua mjinga mjinga, na kutokana na umaarufu wake kwa kweli CCM kwa hili wanaweza kufanikiwa. Hivi wewe unaesoma hapa unakuingia akilini kwamba watu wanaweza kuwasiliana kwa msg kumuua mtu, huku wakijua namba zao zimesajiliwa na zinaonekana? LAKINI NAWAUNGA MKONO CHADEMA KAMA WATAAMUA KUMUUA ZITTO KISIASA KWA KUMFUKUZA KWENYE CHAMA, sababu kwa sasa ZITTO ni mtu muhimu sana kwa CCM kumtumIa kuiua au kuipunguzia CHADEMA nguvu na Zitto kwa sasa he is doing nothing positive kwa Chama, kila akinyanyua tu mdomo kuongea... KAHARIBU.
 
Zitto Kabwe: kumekuwa na
habari kwenye magazeti kitambo
sasa zenye kuonyesha mgogoro
ndani ya CHADEMA. Napenda
kuwajulisha marafiki zangu kuwa
hakuna mgogoro wowote. Sihami
wala sifukuzwi CHADEMA. Tuna
kazi moja tu, nayo ni kuimarisha
chama kuelekea 2015 wakati
tukipigania mabadiliko ya Katiba.
Tusiyumbishwe!

Maneno hayo yangesemwa na Mhe. Dr. Slaa au Mhe. Mbowe (Mb) yangekuwa na maana nzito na yangerejesha imani yetu kwa mhe. Zitto Zuberi Kabwe (Mb)

WanaJF kwanini uongozi wa juu wa CHADEMA unachelea kumsafisha kamanda Zitto?
 
Hivi hakuna mambo mengine ya maana katika jamii kuyajadili zaidi ya Zitto? YATOSHA SASA KUHUSU ZITTO, vingevyo hapa itakuwa MAJUNGU FORUMS.
 
Chichiemu watu wabayachana du!hii mbn kamawatengeneza wao 2!jmn hamtosheki na madaraka?'Kazi kuharibu tu!watu umeme hatuna nyie kazi yenu kushugulikia matumbo yenu tu!
Shame!
 
Ambafu!!! Upuuzi mtupu, huyu kijana ni mafia hii circulation ameianzisha yeye. Paka Kabisa huyu.
 

what is is true?? kaka? YA WANGWE UNAYAJUA WEWE AU UNATAKA TUFUNUE HUMU??


mimi siamini kama kuna huo mpango, ila siamini kama Zitto eti amejiandikia, kwani nikisema ni wewe son of peasant umeandika kwa lengo lako itakuwa vibaya? ulivyowaza ww ndiyo tutalavyowaza na sisi kuwa wewe ndie uliyeandika
 
Aina ya watu wanaosoma UWAZI,tunawafahamu,na ndio waliolengwa kufikiwa na habari hii,coz ni wale wakulima na wafugaji ambao baada ya msimu wa kilimo huwa hawana cha kufanya,hivyo husoma magazeti ya vichochoroni kurefresh na kufanya siku ziende,elimu yao ya chini kiasi cha kusoma the guardian, mwanahalisi,raia mwema nk.Hao ndio wale hutoa kura zao kwa sababu wamepewa vitenge,kofia,kilo ya chumvi au wamenunuliwa chan'gaa pale klabu ya kijiji.Hawana uwezo wa kupembua kilichoandikwa.Yeees! hao ndio wateja wa UWAZI,na ndio waliodhamiriwa na mwandishi.Ni kutoka kwao CCM,hupata ushindi wa kishindo.Nawapongeza waandishi wa UWAZI kwa kuwa wanawajua vyema walio wao na wanajua gazeti litauzwa,na waumini wao wataamini CHADEMA NI CHAMA CHA VITA.After all sioni its not a coincidence sms muhimu kama hiyo,UWAZI ndio wawe wa kwanza kuinusa,The guardian,mwananchi,uhuru wasingeifumbia macho deal hii,ila coz wana akili zao,wamewaachia UWAZI wahangaike nalo.
 



Hii ni kahawa kabisaaaaa!!.... .........ata hivyo kumuua Zitto sio kazi rahisi namna hiyoo weee muuulize muzirhirii wa muzhihirii
 
Kumsafisha ki aje? au hujapa ile SMS waliyokuwa wanatumiana viongozi waandamizi wa CDM?
Viongozi waandamizi kama nani? maana Zitto mwenyewe ni kiongozi mwandamizi si tu ndani ya chadema hata ndani ya Bunge! Mjepu just to remind you, uko katika forum ya great thinkers, so I think it is a high time now you start think like one! don't relay in gossip especially from UWAZI to justify your arguments! Kwa kusema hivi si maanishi kuzuia uhuru wako wa kuamini habari, you have all the right to choose on what you believe and what not to!
 
 

natambua kwamba Zitto ni kiongozi mwandamizi wa chadema na kukutoa wasiwasi hata hiyo sms yeye pia katumiwa, kama bado unaamini hii ni forum ya great thinkers i challenge you to think again and again, hayo ya udaku sielewi ila kama huamini kuna text kama hiyo wasiliana na viongozi wako wa chadema kwani sio siri tena.
 

Mtu wangu umechemka achana na Zitto bwana, Unatamani uwe zitto nini? yeye kashasema hausiki na chochote halafu waleta mambo yako ya ajabu bwana.
 



Crap
 

PELEKA MAJUNGu FORUMS
 
Mod, we've insisted much posts za Zitto km hii to be trashed!
 
Zito waambie viongozi wako, wanachofanya akina Kibanda, Ngurumo na Kubenea ndiyo kinapeleka haya yote!! magazeti ya chadema ndiyo yanakuandika vibaya ulitaka wengine waanzie wapi kama sio kwenda mbali zaidi
Na pia ngoma hiyohiyo ndiyo inayochezwa kwa bidii hata humu jamvini. Kwa sababu wooote tunaona ndiyo habari inayouza zaidi kuliko zote!!!
Imekuwa ni tabia yetu kokote unakowaka moto, lazima tuuongezee kapetroli kidogo ili uwake zaidi na kuonekana kwamba ni moto, kana kwamba kitu hicho ni chema sana kinyume na kutafuta njia za kuuzima. Na tukitoka hapo tunajisifia "si mmeona nilivyoandika eeh?"

TUNATAKA MABADILIKO BILA YA SISI WENYEWE KUBADILIKA....
 


Ni kweli mh. ni muda wa kujenga chama, kama nilivyosema siku zote. YANGU MACHO!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…