Habari hii imekaa kiuchochezi, hata kama what is the big issue kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi.Wakuu habari za punde ni kwamba Zitto Kabwe atahamia NCCR mageuzi, na kwamba atagombea ubunge kigoma kaskazini kwa chama hicho. kwa hiyo basi atakua ametimiza kazi yake ya kuivuruga cdm na mafisadi watashangilia. ila cdm itaendelea kuwepo na kuendelea kufanya kazi uzuri.
Zito ulianza taratiibu.
Mara ukatetea mitambo ya dowans inunuliwe.
Hadi Mwakyembe wa ccm akakushangaa.
Leo unajifanya wewe ndio wewe chadema hawana sauti kwako.
Yuko wapi Lawrence Masha?
Na wewe utapotea kama yeye.
wakuu habari za punde ni kwamba zitto kabwe atahamia nccr mageuzi, na kwamba atagombea ubunge kigoma kaskazini kwa chama hicho. Kwa hiyo basi atakua ametimiza kazi yake ya kuivuruga cdm na mafisadi watashangilia. Ila cdm itaendelea kuwepo na kuendelea kufanya kazi uzuri.
Na hilo fungu la kufanya uchaguzi tena litatoka wapi au ndio kuchezea pesa ya wananchi,kwa hilo sheria za uchaguzi zinasemaje iwapo Zitto atakiacha solemba CDM,kwa maoni yangu CDM wamtose Zitto,kwani keshakuwa kero kwa uongozi wa CDM,ajue CDM kaikuta na itakuwepo asijione yeye ndio mwanzo na mwisho,CDM ni zaidi ya ZittoWakuu habari za punde ni kwamba Zitto Kabwe atahamia NCCR mageuzi, na kwamba atagombea ubunge kigoma kaskazini kwa chama hicho. kwa hiyo basi atakua ametimiza kazi yake ya kuivuruga cdm na mafisadi watashangilia. ila cdm itaendelea kuwepo na kuendelea kufanya kazi uzuri.
Umenena kama real great thinker
Zitto ana uhuru wa kufanya lolote lile, kuwa msaliti, fisadi, kujiunga CCM, kubaki chadema, hatakuwa wa kwanza, wala taarifa hiyo haitakuwa nja uzito wa kusimamisha jua lisiendelee kuzunguka dunia!
Cha muhimu ni kuwa tunahitaji katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, kuvitafuta hivi au kuvipigani hakujalishi Zito atakuwa upande wetu au la! tuwaze makubwa jamani!![/Q
Ni kweli mkuu. Zito si Mungu ambaye habadiliki. Kama uko CHADEMA kumfuata zito imekula kwako. Imeondoka miamba ilokuwa upinzani na waliodhaniwa kuwa wao ndio jiwe kuu la pembe katika upinzani. Tusiwasahau kina Lamwai, Kabourou nk. Kama kina Kaborou zituksa kwenda anakoona kwamfaa. Huenda kaahidiwa uenyekiti kama Mrema!
Wakuu habari za punde ni kwamba Zitto Kabwe atahamia NCCR mageuzi, na kwamba atagombea ubunge kigoma kaskazini kwa chama hicho. kwa hiyo basi atakua ametimiza kazi yake ya kuivuruga cdm na mafisadi watashangilia. ila cdm itaendelea kuwepo na kuendelea kufanya kazi uzuri.
aende kwa amani akiendelea na mchezo wake tuta mhaleluya
Zito of late amekuwa a controversial figure, na amekuwa mtu anayetaka kuonyesha misimamo yake tofauti na msimamo wa chama. Hili ni jambo la ajabu ukizingatia kuwa yeye ni kiongozi katika chama. Misimamo ya chama inakuwa reflected kupitia maamuzi ya chama na maamuzi ya viongozi wake. Sasa Zito anapoamua hivi na chama kinaamua vile hilo ni suala la mafahari wawili hawakai zizi moja. Ni dhahiri fahari mmoja hana budi kuondolewa atafute zizi lake. Zito anataka aonekane kama yeye na sio kuwa chama ndio kionekane. Mtu wa aina hii hatawasaidia chadema kwani wanahitaji kujenga chama imara mpaka huko vijijini. Ni kwa njia hiyo tu ndio wataweza kuchukua dola. Umaarufu wa Zito peke yake tena unaotokana na decions zina seek cheap popularity hautawasaidia chadema sana Zito atazidi kuwa chanzo cha migogoro chadema. Now the question is how to deal with this problem. Kumfukuza Zito is one way of dealing with it. The other way is stripping him those positions he is holding in the party so that when he diarhoea through his mouth he will do so as an individual and not a chadema officialKutokana na kichefuchefu (haswa baada ya kusema anamtambua JK ni amiri jeshi mkuu na alama ya bunge na hivyo si vizuri kutoka bungeni na kwa kiburi kabisa kusema anasubiria hatma yake chamani kutokana na uamuzi wake huo) ambacho mh. Zitto Kabwe ameendelea kuleta ndani ya CHADEMA wana JF wenzangu nilikuwa ninatoa mapendekezo kuwa huyu jamaa ni wa kuogopwa kama ukoma, na ni kidudu hatari kuliko KIRUSI CHA UKIMWI kwa wana upinzani, wapigania haki na kwa wananchi wa Tanzania waliodhulumiwa haki zao kwa muda mrefu na chama tawala cha CCM. Kwangu mimi namwona ni msaliti mkubwa wa Watanzania na upinzani. Hivyo ni nilikuwa napendekeza aondolewe CHADEMA haraka kwani amepandikizwa na CCM. Nakishauri CHADEMA kimvue uanachama ili kunusuru upinzani wa ukweli ambao umebaki peke yake CHADEMA. Je wana JF wenzangu mnaonaje? Je aendelee kubaki CHADEMA au aondolewe. Ushauri utakaopatikana hapa ukiambatana na sababu za msingi, naomba CHADEMA waufanyie kazi.
Kwani zito ni nani mbona utafikiri ni kama Mbowe nanataka kuihama chadema, zito ni kama mbunge kati ya wabunge wale 45 wengine wa chadema sioni ajabu kuhamia NCCR maana watu hawakuipenda chadema kwa ajili ya zito kabwe, na wale watu mil. 2.2 hawatoki kigoma wote kwa hiyo anauhuru kwa kuhamia NCCR au CCM akipenda ni chaguo lake.
Watu wanachopenda kwa chadema ni Ubora wa Sera na si kwamba ukihamia NCCR/CCM ndo itakuwa kama chadema hiyo isahau.
Embu angalia kitendi cha mwenyekiti wa chama Mbowe mwaka huu kutogombea na kumpisha Dr Slaa huwezi kuta kwenye chama kingine. mfano NCCR, wakati mbowe kwa nafasi ya umwenyekiti anampa tafu Slaa, Mbati kajichimbia Kawe hata kumpa tafu Rungwe hataki sasa kigoma imetoa wabunge wanne wa NCCR ukimwuliza Mbatia hawajui hata kwa majina.
Kwa hiyo issue ni Sera ya chama inakubalika kwa wasomi, na wananchi wa kawaida?
Ni hayo tu
Kwani zito ni nani mbona utafikiri ni kama Mbowe nanataka kuihama chadema, zito ni kama mbunge kati ya wabunge wale 45 wengine wa chadema sioni ajabu kuhamia NCCR maana watu hawakuipenda chadema kwa ajili ya zito kabwe, na wale watu mil. 2.2 hawatoki kigoma wote kwa hiyo anauhuru kwa kuhamia NCCR au CCM akipenda ni chaguo lake.
Watu wanachopenda kwa chadema ni Ubora wa Sera na si kwamba ukihamia NCCR/CCM ndo itakuwa kama chadema hiyo isahau.
Embu angalia kitendi cha mwenyekiti wa chama Mbowe mwaka huu kutogombea na kumpisha Dr Slaa huwezi kuta kwenye chama kingine. mfano NCCR, wakati mbowe kwa nafasi ya umwenyekiti anampa tafu Slaa, Mbati kajichimbia Kawe hata kumpa tafu Rungwe hataki sasa kigoma imetoa wabunge wanne wa NCCR ukimwuliza Mbatia hawajui hata kwa majina.
Kwa hiyo issue ni Sera ya chama inakubalika kwa wasomi, na wananchi wa kawaida?
Ni hayo tu