zitto ameongea vizuri sana... tatizo humu jamvini tunataka mambo ya upinzani yaende kama mechi ya kinondoni muslim na tambaza
na hayo ya kupingana yangetokea ccm kesho ungesikia mtu katolewa chamani
Me nadhani chadema ni chama cha demokrasia so demekrasia inatakiwa ipewe kipaumbele in everything including kukiendesha na sio tu kuipigania hiyo democracy kwa ajili ya wananchi. ME nadhani zitto alikua na haki ya kidemocrasia kufanya vile but cha msingi ni kwanini! So if posible angeombwa azitaje hizo sababu na zikipimwa zikaonekana ni za msingi hamna shida ataendelea kuwa kiongozi wetu but if nat ndo tuzijadili na iangaliwe azabu ya kumpa thats it..!
4me im taking zito kama changamoto kwenye chama so inazidi kuimarisha chama, hatutaki chama kama sisiem cha ndio mzee ndio mzee hapana lazima kuwe na watu wanaotuchalenge sisi kwa sisi ili tuzidi kuimarika kwani me ni muumini mkubwa sana wa ile usemi usemao wagombanao ndo wapatanao...! Kama mtu na mkewe wanagombana bwana sembuse viongozi wa chadema..! tuendeleze mapambano mambo madogomadogo kama haya yasiturudishe nyuma...!
Hivi CHADEMA haina msemaji? Manake hizi kauli za mtu mmoja mmoja ndizo zinazoleta mgawanyiko. Pamoja na kwamba CHADEMA walipiga kura, suala hilo ni suala la ndani ya chama ambalo halikupaswa kuzungumzwa na mtu mmoja mmoja bali na msemaji wa chama tena kwa protokali...! Haikupaswa Zitto kuja na kusimama kwenye TV na kuanza kujielezea yale ambayo walishaamua kwa pamoja, na haswa kwa nia ya kujisafisha au kufanya wengine waonekane walikosea...!
With this background, bado nahoji sana credibility ya Zitto na aina ya Siasa anazofanya...! Amekua anajisahau sana na kuleta siasa za ki-ulaya kwa kufikiri kujitangaza ovyo ovyo misimamo yake (kwenye facebook, twitter etc) itamfanya aonekane ni bora zaidi.
Kauli kama hizi ambazo zinaonyesha wazi wazi mgawanyiko wa CHADEMA (kwa nia ya kujitangaza ili aonekane yeye alikua na msimabo bora zaidi ya wengine) zinapunguza credibility badala ya kuongeza credibility ya CHADEMA...! Hapo tu ndio Zitto pamoja na umahiri wake anapojisahau...! It will cost him in a long run...!
:whoo:Guys huyu jamaa karibu kila wakati anaingia geti la Rostam: Kwale street so naamini kuna jambo tu hapa...soon ataleta mgogoro ndani ya chama
Kiranga - tatizo sio CDM haina utamaduni wa kukubali kutofautiana mawazo. utamaduni upo sana na ndio maana wakafikia hata kupiga kura kwa ishu hii. Tatizo ninaloliona ni kule kwa Zitto kutangaza TBC kuwa hukukubaliana sasa unamtangazia nani? hii ina maana yeye Zitto ndiye hana utamaduni wa kukubali wenziwe wakiwa tofauti na yeye, anajifanya yeye ndo kila kitu. Mimi naona ni bora tukapoteza jimbo lake hilo kuliko kuipoteza CHADEMA. Life without CHADEMA in TZ I can't imagine! Viongozi wakuu wamchukulie hatua haraka (au kama muungwana aombe msamaha) la sivyo fukuza tu hiki ni kirusi hatari....:angry:Kumfukuza Zitto itakuwa ni kukubali kwamba CHADEMA haina utamaduni wa kukubali tofauti ya mawazo chamani.
Kwa chama kinachotaka kuleta demokrasia zaidi Tanzania, ambacho jina lake linabeba neno demokrasia, jambo hili litakuwa baya sana.
zitoo ni nani katika chama mpaka apingane na wakuu wake hakuna demokrasia katika hili huyu ni msaliti na chama kichukue hatua dhidi yake faster au wananchi tuchukue hatua???????msaliti na auawe uchi na aibu imrudie mamaake.;;;
wao wanataka katiba mpya/tume huru ya uchaguzi, nyinyi mnataka nini hasa?
Hizo siri za chama ndo zinatufikisha kubaya siri siri mpaka lini? Mbona mkiambiwa mikataba ni siri ya serikali mnalalamika weeeeee.
Siri siri siri ndo mdudu gani huyo jamani??
Zitto anaweza kusema tu kwamba hakuweza ku walk out kabla ya kuwasiliana na wapiga kura wake kujua wanavyofikiri kuhusu hilo, hii sababu tosha kwangu. Wawakilishi wanatakiwa wafanye matakwa ya wananchi, sio kuwaamulia wananchi.
Wabunge ukaa kama kamati na kukubaliana...... kichama. wewe vipi? nyie ndo wachafuzi wa hali ya hewa?
mkuu leo asubuhi kwenye jambo tz tbc1 ndi alichosema kwamba mimi sikuchaguliwa na slaa/mbowe bali na wanakigoma kwa hiyo ridhaa yao ilikuwa yamhimu sana ili kuwalk out.zitto anaweza kusema tu kwamba hakuweza ku walk out kabla ya kuwasiliana na wapiga kura wake kujua wanavyofikiri kuhusu hilo, hii sababu tosha kwangu. Wawakilishi wanatakiwa wafanye matakwa ya wananchi, sio kuwaamulia wananchi.