Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

Status
Not open for further replies.
Zito ni mwanasiasa mzuri lakini hana hekima kabisa. Na jambo hilo litamgharimu sana. Ukilogwa uondoke chadema ndo mwisho wako kisiasa. Kabourou, yuko wapi? na CCM watakutumia kama toilet paper. Kuwa mtu makini na uwe tayari kutunza siri za chama
 
Hana maadili ndio maana anazungumza kila siri ya chama
ilkuwa ni haki kunyimwa nafasi ya kuongoza kambi ya upinzani
 
huyu kijana MWEPESI ana zengwe,sio mtu mzuri kwenye CDM; aangaliwe sana! he talked non-sense on TBC1 as if he knows everything. Thanks to EL+RA=UFISADI for bringing this matter to ppl
 
ZITTO ni kijana asiye na maadili na ni mjinga anashindwa kujua chama ndo kimemfanya ajulikane...Huyu ni wa kufukuza tu aende huko CCM
 
Zitto ni **** kutokwanzon. Kumbuken hata wakat wa uzinduz wa campaign pale Jangwan hakuwepo. Akiwa masomon Ujeruman aliongea pumba nyingi sana. Mnakumbuka ushabiki wake wa Dowans? At his age, he still behaves lik an overgrown school boy.
The earlier the better, aende zake. Chadema bila zitto shwari
 
who iz zitto by the way?
no one iz above CHADEMA,
sasa kama zitto anataka kwenda CCM. bora aende zake.
mimi binafsi si mshabiki wa ZITOO, mimi ni mshabiki wa CHADEMA. ata akiondoka Chama kitabakia pale pale.
pumbavu zakee*****>>>>>>>......
 
Nyinyi munapenda Zitto aseme yes sir! kila wakati? Anayo haki ya kukataa kuunga mkono kitu kama hawafikiani nacho na huo sio usaliti.

Usaliti ni ile kujidai umekubali kumbe rohoni mwako hupendi kile kinachofanyika.

Jaribuni kufikiri nje ya boksi jamani!
we binti tumia akili kama umeamua kugombea uongozi jua kuna mambo hata kama hukubaliani nayo ni lazima kumalizia kwenye vikao vya chama na si kuropoka kwenye media. zito hana nia nzuri na chadema na ninafikiri anatumika vibaya na mafisadi.
sisi wapinzani tunafikiri jinsi ya kumkomboa mtanzania masikini aliyedhulumiwa na mafisadi walioiteka nchi sasa yeye hata katikati ya vita hatujafika antembelea hammer,je huyu ni mwenzetu? anahitaji kufuatiliwa na viongozi wa juu wa cdm.hakuna tabu kumpoteza msaliti hata kama ana wa2 wengi nyuma yake.
tanzania imekombolewa na wenye moyo na itaendelezwa na wenye moyo.
 
Wala msishituke kwani aangalie ushindi alioupata mwaka huu huko Kigoma Kaskazini. Namba za Zitto Kabwe zinahesabika. Atachoka mbaya!!!

Na huo ushindi bila Dkt Slaa kwa jinsi alivyogelea hapa katikati kwenye DOWANS nk. nijuavyo misimamo ya watu wa kigoma angeogelea kwenye tope. Mlio karibu mshaurini Zitto ajaribu kutafakari kwa nini watu wengi wanahisi anatumiwa. Watanzania sasa wanapenda haki kuliko propaganda na mafisadi halisi hawazidi 5%
 
Kama mimi ni muumini wa chadema manake nitakuwa nimeamua kutokana nakujua kwamba chadema inasimamia nini sitaingia chadema kama msukule
kama umekuja jamvini mimi nikutafsirie katiba maana yake nini basi hapo napenda nikwambie akili yako uchwara inakusumbua kwa sababu hujengi hoja ndio nyie ukiambiwa huu ni mkono wa kulia utaita kushoto kwa sababu ya mazoweq mulio lELEWA VIBAYA KWAMBA JAMII YA KITANZANIA INAYOKUWA NA MAONO NA IMANI TOFAUTI NA KWAKO HAWAFAI UMEPOTOKA SANA NADHANI DHANA YAKO NI YA KUJIKINGA ZAIDI ZAIDI YA KUKABILI HOJA NAKUMBUKA NIKIWA CHEKECHEA KULIKUWA NA WATOTO WALIKUWA NA TABIA KAMA YAKO

Nashukuru umekiri kwamba wewe ni muumini wa CHADEMA ndio maana huwezi kukubali ukweli hata kwa dakika moja,, endelea kuiboresha Club Bilcanas na ninakutakia kila la kheri. Huna uwezo wa ku-debate, mie nimejenga hoja vizuri na nikakuuliza swali, badala ya kunijibu umenitukana. Na ndio ubovu wa akili walio nao Chadema na viongozi wenu kwa ujumla,, You cant discuss maswala badala yake mnadiscuss na kutaja majina ya watu kila saa. Nitakupa mfano wakati wa uchaguzi ulitokea mvutano kwenye magazeti;

Samwel Sitta; Nadhani Dr slaa anasema uongo, sera ya kusomesha watu bure haitekelezeki. Akatoa sababu zake 1, 2, 3
Dr Slaa; Mwambieni Sitta anyamaze lazivyo nitamlipua na yeye maana nayajua madudu yake.

Sasa hebu fuatilia siasa za kisasa watu wanaendeshaje kwa kuchukulia mifano ya nchi tunazoiga neno democrasia (UK, USA), ukishafuatilia utajua nani ni kichwa kidogo. Fumbuka mdongu. Usiwe mtumwa hadi kwenye mawazo.
 
Duuh, hata mimi nilipigwa na butwaa nilipomuona Kabwe anatoa matamshi yale kwenye taarifa ya habari za TBC1. Wasipochukua hatua kali dhidi yake, Chadema inaweza kuwa kama ni bwawa la kambale -- kila mmoja ana sharubu na anajiona ni mkubwa. Inakuaje chama kifanye uamuzi wa kutoka nje wakati Rais anaongea halafu Kabwe anaamua kuupinga uamuzi huu kwa kukaa nyumbani? Na mbaya zaidi, kwa nini ameamua kuvujisha siri za vikao vya ndani vya chama?

Au ana mpango wa kuleta mtafaruku ndani ya Chadema kama ule ulioikumba NCCR-Mageuzi hapo zamani?

Nimewaza sana, sipati majibu ya maswali haya. Ni lazima uongozi wa chama uchukue hatua kali dhidi ya Kabwe na yeye binafsi aombe radhi Watanzania hadharani kwa kitendo chake. Vinginevyo ajitoe tu katika Chadema na kujiunga na CCM akajimalize huko kabisa.
 
Zitto, as an indivudual, amekuwa akiwavuruga sana CDM. Isitoshe, amewahi kuandika humu mtandaoni mambo ya ajabu yaliyotuacha wengi wetu midomo wazi. Lakini kwa umakini wa CDM wamekuwa wakimchulia kama "a storm in a cup of coffee" hivyo kumu-ignore mara zote.
Lakini ukweli ni kwamba anakwaza, anakera pamoja na kusikitisha wengi.
 
labda niulize... huyu nyoka ndio kwaanza kaingia chadema

yule mkubwa aliye ccm amekaa miaka mingapi ndani ya chama? maana aliua hata akina kolimba
 
Kitendo cha Naibu Katibu mkuu wa CDM Zitto Kabwe kusema yeye anapinga msimamo wa chama chake wa kutoka nje wakati Rais anajiandaa na hotuba inaonyesha huyu bwana ni mtu asiyefuata maadili na uwajibikaji katika chama ( ethics and code of conducts).

Kumekuwepo na sintofahamu kuhusu msimamo wa Zitto kabwe katika masuala mengi mara anasema hagombei ubunge, mara naenda kinondoni,geita,kahama! hana msimamo!!

Mara hii CDM imekuja na mipango ambayo wengine tunaiona ni mizuri mana hawawezi kwenda mahakamani kupinga matokeo ambayo dhahiri yaliibiwa na hata huyu Zitto anajua hilo.
Kitendo chake alichosema TBC, kwamba ni haki yake ni kweli lakini kama kiongozi wewe ndio unaongoza mapambano, hatutegemei tena uje kuwambia askari wako kwamba adui ana jeshi kubwa ama amejipanga sana tusimshambulie!!

kwa hiyo kauli yako Zitto ingekuwa jeshini wewe unafanya haya huku mkiwa mstari wa mbele askari wako wangekugeuka.

Unatajwa kama rafiki wa Rostam na mafisadi wengineuko nao jirani sana, sasa wewe hufai kuwa kiongozi cdm, mana mtazamo wako na cdm ni tofauti sasa hamia ccm ama tawi la nccr basi ukamalizie siasa zako pale maana kisiasa huo ndio mwisho wako.

Kuwa mstarabu kwa kujiuzulu mana wewe ni mamluki hufai.
 
Sasa kama ni amateur politics wakati majority rules kwa nini wanasema wengi wape? The majority ruled na Kabwe hakukubaliana nao na alitaka (the other side, for whatever reasons) wajue kuwa hakuwa mmoja wa majority.

Ulichosema hapa ni sahihi. Na kama baada ya kupiga kura stil alibaki na msimamo wake, kulikuwa na maana gani ya kupiga kura. Vitu vingi anataka his way o no way. Unapojoin chama uwe tayari kukubaliana na maamuzi ya wengi kama tu hayahusiani na ufisadi.
Chadema pamoja na demokrasia wanayoiexerciz wamwangalie sana Zitto, ana shombo ya ukibaraka. Anaonekana anakiburi nani arrogant. Mambo mengi amekuwa akipingana na Chama ie issue ya Kafulila. Anataka kujipendekeza kwa JK wakati huo awe Chadema. Huo umaarufu anao kwa kwa kuwa yupo CDM. Afate mkumbo wa Kaburu!
 
huyu ni wa kufukuza aende huko CCM ana akili za kijinga sana...
 
Zito ni mmoja wa wapinzani wanaoheshimika sana ktk jamii.lkn sasa naanza kumtilia mashaka ana nia gani.<br />
Mi naona kama hayuko comfortable ndani ya chadema ni bora ajitoe mapema.sitaki kuamini kuwa anatumiwa na ccm ila inaonekana ana tamaa sana ya madaraka.anatamani awe kiongozi wa chadema wakati umri wake bado unamruhusu kuvuta subira.<br />
Akiendelea hivi ni bora chadema wamtimue maana atakivuruga chama na kuinufaisha ccm.
<br />
<br />
Umenena Zitto is furstrated! Wants to go up but kila kona wameziba, machungu yakukosa ukiranja wa upinzani bungenu huo
 
Zitto anakosa uelewa wa mambo fulani, hata kama atasema mawazo yake yako sawa lakini, he has to know what is believed to be Party's Confidential Information and what is not. Hata kama si confidential lakini lazima aelewe na kuwa na uhakika wakati mwingine kabla ya kuanza kuongea.

Ni vizuri kujua impact za maneno utakayosema kabla ya kuyasema kwa kujaribu hata kuongea na wenzako kabla ya kuanza kuonyesha jinsi gani unavyoweza. Zitto siku nyingi nilimtilia mashaka jamani, lakini kwa vile yuko chadema tukabidi tuweke mambo kapuni tukiamini taratibu tutaelewana. Anyway, Zitto si wa kupuuza sasa inabidi mambo yawekwe hadharani kama noma ndani ya noma naiwe sasa.
 
Tunaipenda Tanzania na wala sio Chadema.inauma kuona mafisadi wanakula nchi kila kitu kimechukuliwa na wahindi,wachina na wazungu kwa kisingizio cha uwekezaji sisi tumebaki tunatoa macho. jitihada za kuikomboa hii nchi zinapodumazwa na mpuuzi kama Zitto kABWE inatakiwa aondoke awe kwa mafisadi wenzake kule ccm.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom