Wewe huna hoja Jasusi wa taarabu,, kama ni tofauti na enzi za nyerere kwa nini wote mna-muattack toka alipotoa mawazo yake yasiyo ya kinafiki?? At the end of the day inabidi na nyie muwanyooshee kidole hao waliotoa hilo wazo la kitoto la kutoka nje wakati mkuu wa nchi anaanza kuongea. Watanzania hatuko hivyo. Wanaume hatuko hivyo. Ninatoa wito kwa mkuu wa kambi ya upinzani bungeni ajiuzulu wa sababu ameonyesha hana Leadership quality, na pia ajiuzulu Uenyekiti wa chama kwa sababu yeye kama baba ameshindwa kuwaongoza vyema watoto wake. hafai
Posts 420
Thanked twice!