Zitto is wrong, anapaswa apewe adhabu! Je, ambao hawakumpigia kura Kigoma, wanahaki ya kusema 'sisi hatukumpigia kura'? La, hasha. Ukishaamua demokrasia itegemee kura, HESHIMU KURA.
Ndiyo maana mzee mapesa wa UDP aliadhibiwa na Sitta kwa kosa la kutowaunga mkono wapinzanni wenzake. Je, Sitta alifanya kosa? NO! Red must be red, and bluee must be blue...Tanzania ya leo, HUWEZI KUABURUZA WATU, after all, kila mtu ni kama maua tu hapa duniani. Hakuna cha fisadi wala mzalendo, sharti tuonje kaburi.
Zitto kukaa nyumbani (if it is true) bila kuja bungeni, ni sawa. Lakini kutoa siri za vikao vyao ni kosa.
Jeshini huwa watu hawa wanaitwa VIHEREHERE. Nadhani hajapita JKT? Au ndo ile ya miezi 6?
sawa kabisa,kama yeye alikubali kupiga kura basi anapashwa kuheshimu kura maana ndio uamuzi wa mwisho,au zitto anataka kutuambia waliokuwa hawatakikuingia bungeni waliibiwa kura.hahahaha......................., yeye kama nataka kwenda aende maana maandalizi aliisha yaanza long time nadhani sasa nafasi yake ipo inamsubiri.kidemocracia anahaki ya kukubaliana au kuto kukubaliana, na hakua na haja hata ya kupiga kura,angeonyesha msimamo wake na abaki akiamini anachoamini.sasa amepiga kura alaf hakubaliani na kura ambazo ni msimamo wa chama, sioni alichofanya hapo.