Hapana. You got it wrong. Zitto anazungumza na anaendelea kuwa na haki yake ya kuzunguza. Ni tofauti na enzi za Nyerere. Ndio maana nimekushauri ubadilishe jina.
Kenyattaist linakufaa zaidi.
- Well, wakuu haya ndio tulisema mapema kwamba Chadema wametafuta unwanted political National attention ambayo ndio njia rahisi sana kutumika kwa siasa zetu Africa kwenye kuwajibu, bila kujali tatizo la kweli huu sasa ni mwanzo tu. I mean CCM kuna ambayo hawakubaliani lakini sio kwenye mazito kama haya, huwa wote wanakubaliana halafu sometimes wengine wanakuja kutudanganya huku public, kumbe wote ni wamoja tu!
- Chadema mnahitaji kuamka kwamba this is not very good, hasa inapotoka kwa kiongozi wenu wa pili wa upinzani, bungeni!
William.
unaongeza chumvi hakuna anayemuattack watu wanatoa maoni na jinsi wanadhani kwa bishana kwa hoja sio nguvu ya hoja wewe unatoa propaganda zisizo na kiunoWewe huna hoja Jasusi wa taarabu,, kama ni tofauti na enzi za nyerere kwa nini wote mna-muattack toka alipotoa mawazo yake yasiyo ya kinafiki?? At the end of the day inabidi na nyie muwanyooshee kidole hao waliotoa hilo wazo la kitoto la kutoka nje wakati mkuu wa nchi anaanza kuongea. Watanzania hatuko hivyo. Wanaume hatuko hivyo. Ninatoa wito kwa mkuu wa kambi ya upinzani bungeni ajiuzulu wa sababu ameonyesha hana Leadership quality, na pia ajiuzulu Uenyekiti wa chama kwa sababu yeye kama baba ameshindwa kuwaongoza vyema watoto wake. hafai
Kwako linaonekana wazo la kitoto. Lakini matokeo yake utayaona tutakapopata katiba mpya na kuundwa kwa tume mpya ya uchaguzi. CCM bila kushinikizwa hawawezi na hawana nia ya kuunda katiba mpya. Na hapo sijui utasemaje. Badilisha jina upesi kwani unatupa kichefuchefu.Wewe huna hoja Jasusi wa taarabu,, kama ni tofauti na enzi za nyerere kwa nini wote mna-muattack toka alipotoa mawazo yake yasiyo ya kinafiki?? At the end of the day inabidi na nyie muwanyooshee kidole hao waliotoa hilo wazo la kitoto la kutoka nje wakati mkuu wa nchi anaanza kuongea. Watanzania hatuko hivyo. Wanaume hatuko hivyo. Ninatoa wito kwa mkuu wa kambi ya upinzani bungeni ajiuzulu wa sababu ameonyesha hana Leadership quality, na pia ajiuzulu Uenyekiti wa chama kwa sababu yeye kama baba ameshindwa kuwaongoza vyema watoto wake. hafai
munapenda sana kuchukulia jambo moja kama ndio tathimini ya mambo yote ya chasema yanavyotakiwa yawe kwa vile kila mtu anaona yeye ndio mtathimini wa kila jambo chadema inafanya watu wanajia mbalimbali za kupeleka ujumbe au kupinga jambo kwenu nyie mungeona la maana kama wangeitisha maandamano nvhi nzima munasemaje pale tume yenyewe inapokiri kutoa takwimu za kura zisizo sahihi watu waa ajabu sana nyakati za ndio mzee zilikwisha chadema wako sa hihi na njia muafaka kabisa wanastahili pongezi kwa ujasiri wao hilo la zitto ni mambo yao ya ndani wewe na mimi hatuwezi kufikia hitimisho kwa hiyo nakushauri usidhani wanatafuta cheap popularity kupishana mawazo hata mume na mke huwa wanapishana baba na mwana pia ndio dynamics za maisha
Sasa kama ni amateur politics wakati majority rules kwa nini wanasema wengi wape? The majority ruled na Kabwe hakukubaliana nao na alitaka (the other side, for whatever reasons) wajue kuwa hakuwa mmoja wa majority.Nadhani tatizo sio kwamba Zitto ana tatizo na viongozi/wamiliki wakuu wa CHADEMA,, nadhanitatizo ni kwamba njia waliyoitumia hakuipenda aliiona ya kitoto sana (Amateur Politics). Hata katika maisha ya kila siku nyumba, mtu anaeondoka wakati baba/mama anaanza kutoa maelekezo mara nyngi hua tunampeleka hospitali kwa uchunguzi kama ana akili timamu. So wale walifanya mambo ya kitoto, na zitto akaamua kutokua mnafiki na kufanya jambo la kuwafurahisha wachache.
Kwako linaonekana wazo la kitoto. Lakini matokeo yake utayaona tutakapopata katiba mpya na kuundwa kwa tume mpya ya uchaguzi. CCM bila kushinikizwa hawawezi na hawana nia ya kuunda katiba mpya. Na hapo sijui utasemaje. Badilisha jina upesi kwani unatupa kichefuchefu.
Tunataka uwazi katika siasa za vyama vingi na kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake.
Hon Zito, we always believe that you are in a wrong camp - Tafakari juu ya uongozi wa chama chako!
Top leadership ni Wanasiasa uchwara!
acid umenikumbusha mbali mechi ya kinondoni muslim na tambaza duh, wakati huo ha aha aha aha aha aha aha aha aha aha aha aha aha aha aha aha aha.zitto ameongea vizuri sana... Tatizo humu jamvini tunataka mambo ya upinzani yaende kama mechi ya kinondoni muslim na tambaza
na hayo ya kupingana yangetokea ccm kesho ungesikia mtu katolewa chamani
Sasa kama ni amateur politics wakati majority rules kwa nini wanasema wengi wape? The majority ruled na Kabwe hakukubaliana nao na alitaka (the other side, for whatever reasons) wajue kuwa hakuwa mmoja wa majority.
Bila katiba hakuna maendeleo. Waulize wenzetu nchini Kenya. They have crossed that threshold and look and see how forward they are going to be moving. We are stuck in the old undemocratic process where you cannot even question the ruling of NEC, even if they choose a madman to lead us. Watu wenye akili timamu hishinikiza katiba katika process ya kuleta maendeleo.Watu wenye akili timamu wanashinikiza maendeleo, sio maandishi (Katiba).. Wanachotaka kufaidika chadema ni kwamba wapate kura nyingi za kuwawezesha kufanya biashara ya ruzuku vizuri, ila hawana mpango wa kupigania na ku-suggest njia nzuri/strategies nzuri za kuwakomboa kimaisha wananchi. Tuweke maendeleo mbele, mambo ya katika hayanaharaka kulinganisha na matatizo tuliyonayo. Maswala ya katiba always hua ni wanasiasa Optimist na waroho wa madaraka.
Watu wenye akili timamu wanashinikiza maendeleo, sio maandishi (Katiba).. Wanachotaka kufaidika chadema ni kwamba wapate kura nyingi za kuwawezesha kufanya biashara ya ruzuku vizuri, ila hawana mpango wa kupigania na ku-suggest njia nzuri/strategies nzuri za kuwakomboa kimaisha wananchi. Tuweke maendeleo mbele, mambo ya katika hayanaharaka kulinganisha na matatizo tuliyonayo. Maswala ya katiba always hua ni wanasiasa Optimist na waroho wa madaraka.
Bila katiba hakuna maendeleo. Waulize wenzetu nchini Kenya. They have crossed that threshold and look and see how forward they are going to be moving. We are stuck in the old undemocratic process where you cannot even question the ruling of NEC, even if they choose a madman to lead us. Watu wenye akili timamu hishinikiza katiba katika process ya kuleta maendeleo.
Kabwe amefanya hivyo kwa sababu he is politically rich, na that means hao wengine unaowaita majority wamekubali maagizo ya mwenyekiti kwa sababu bado hawana jina kisiasa. That also means, kama wote wangekua na uwezo wa kusimama na kubishana na mwenyekiti, basi wasingeshiriki upuuzi ule