Kuna wakati nilikuwa nashirikiana na vijana fulani wa Kigoma katika kutatua tatizo lao, sasa mambo yalikuwa kama haya tunakubaliana hivi wao wanakwenda kinyume na makubaliano. Mtu mmoja akanishauri ya kwamba watu wa Kigoma wana kawaida ya kuwa kigeugeu hivyo niachane na shauri lao, sijui kuna ukweli juu ya hili? Maana tabia wakati mwingine zinaweza kutegemeana na asili yetu (mother land).
Nyerereist,Nadhani Zitto aanchojaribu ni kuwafundisha nyie mashabiki wa CHADEMA kwamba msiwe watumwa wa mawazo, mitazamo na miongozo ya wachache. Kwa nini awe mtumwa wa mawazo ya Mbowe na Dr Slaa wakati yeye msomi na mwenye exposure ya siasa ya kimataifa.. Nyie lazima mkubwali kile kitendo kilikua cha kitoto na kilidhihirisha kutokua nna malengo ya muda mrefu ya chama.
Mwongo huna lolote hata huyo zitto anajua kabisa unasema uongo hii ni hali ya kawaida kabisa sio jambo la ajabu watu kutofautiana misimamo hakuna atakaye ondoka chadema propaganda zako zipelekee huko hukoKuanza kutofautiana mapema ni dalili mbaya sana kwa chama makini kama CHADEMA, ambacho kimeaminiwa na wananchi kwa imani kubwa sana. Ukichukulia hali ya kutokuwa na msemaji mkuu wa chama, kama Zitto anaweza akaenda kwenye media na kuongelea mambo ya ndani ya Chama ni hatari sana kwa chama kilicho makini. Chama cha CHADEMA niliamini ni chama makini kisicho hata na doa ya kukosa uadilifu na kuaminiana.
Kauli ya zitto kwa media kuongelea mambo ya chama kwamba waligawanyika katika msimamo wa kutoka nje wakati rais anaongea lina faida kwa nani? Na kusudi lake ni nini? Kwani nini maana ya demokrasia pale kura zinapoamu?, Je kuna haja ya kugoma kufuata maamuzio ya kura? Je Hio ni demokrasia gani? Hakuna tofauti ya kupinga demokrasia huku ukiubili Demokrasia.
Hapa CHADEMA wanajikoroga tena sana tu. Hakuna haja ya kuwa Mwanachama wa chama kisicho kuwa makini kama CHADEMA. Nimekuwa mwanachama wa muda mrefu wa Chadema, Nimeihubiri CHADEMA lakini kwa haya ya akina zitto ni bora kujiweka pembeni.
Hapa tusifanye tunatetea kwa maoni ya kutifautiana kwa mtazamo na kimawazo. Hapa ukweli watu tunaujua kuwa Umakini ndani ya CHADEMA umepotea, Kwa mitazamo hii Tutarajie kusambaratika kwa CHADEMA.
Mimi binafsi naomba kujiondoa Kabisa kuwa mwanachama hai wa CHADEMA mpaka hapo tutakapo kuwa tumekomaa kisiasa. Nahisi kwa vijana makini kujiunga na CHADEMA ni uamuzi wa kurisk mno, kwani uchanga wa chama na kuwa na watu waoga kama Zitto, Mtu ambaye hawezi kuheshimu demokrasia ndani ya chama ni hatari isiyovumilika na watu makini. Hivyo mimi kama mtu makini nahisi kabisa nilikosea kujiunga na CHADEMA ni heri kuwa mtu asiye na CHAMA kiliko kuwa mwanachama wa CHAMA chochote kwa Tanzania yetu hii.
Kwa hili CHADEMA wapoteza tumaini langu kwao.
Nyerereist,
Hivi watu kama hawa katika TANU na CCM Nyerere aliwafanyaje? Aliwafukuza. Therein lies a lesson for you.
Kasyabone,Kuanza kutofautiana mapema ni dalili mbaya sana kwa chama makini kama CHADEMA, ambacho kimeaminiwa na wananchi kwa imani kubwa sana. Ukichukulia hali ya kutokuwa na msemaji mkuu wa chama, kama Zitto anaweza akaenda kwenye media na kuongelea mambo ya ndani ya Chama ni hatari sana kwa chama kilicho makini. Chama cha CHADEMA niliamini ni chama makini kisicho hata na doa ya kukosa uadilifu na kuaminiana.
Kauli ya zitto kwa media kuongelea mambo ya chama kwamba waligawanyika katika msimamo wa kutoka nje wakati rais anaongea lina faida kwa nani? Na kusudi lake ni nini? Kwani nini maana ya demokrasia pale kura zinapoamu?, Je kuna haja ya kugoma kufuata maamuzio ya kura? Je Hio ni demokrasia gani? Hakuna tofauti ya kupinga demokrasia huku ukiubili Demokrasia.
Hapa CHADEMA wanajikoroga tena sana tu. Hakuna haja ya kuwa Mwanachama wa chama kisicho kuwa makini kama CHADEMA. Nimekuwa mwanachama wa muda mrefu wa Chadema, Nimeihubiri CHADEMA lakini kwa haya ya akina zitto ni bora kujiweka pembeni.
Hapa tusifanye tunatetea kwa maoni ya kutifautiana kwa mtazamo na kimawazo. Hapa ukweli watu tunaujua kuwa Umakini ndani ya CHADEMA umepotea, Kwa mitazamo hii Tutarajie kusambaratika kwa CHADEMA.
Mimi binafsi naomba kujiondoa Kabisa kuwa mwanachama hai wa CHADEMA mpaka hapo tutakapo kuwa tumekomaa kisiasa. Nahisi kwa vijana makini kujiunga na CHADEMA ni uamuzi wa kurisk mno, kwani uchanga wa chama na kuwa na watu waoga kama Zitto, Mtu ambaye hawezi kuheshimu demokrasia ndani ya chama ni hatari isiyovumilika na watu makini. Hivyo mimi kama mtu makini nahisi kabisa nilikosea kujiunga na CHADEMA ni heri kuwa mtu asiye na CHAMA kiliko kuwa mwanachama wa CHAMA chochote kwa Tanzania yetu hii.
Kwa hili CHADEMA wapoteza tumaini langu kwao.
Nyerereist,
Hivi watu kama hawa katika TANU na CCM Nyerere aliwafanyaje? Aliwafukuza. Therein lies a lesson for you.
Zitto anaagenda ya siri! Kama kweli anaamini katika demokrasia, basi baada ya kupiga kura na kushindwa angekaa kimya na badala yake awaunge mkono wale walioshinda (waliogomea hotuba ya raisi).
Napenda kuwaambia hapa wana JF, DOGO anajimaliza kisiasa!!! yuko wapi Amani Kaburu?? enzi zile alikuwa machachali sana kuliko zito, lakini leo kashakufa kabisa kisiasa amebaki kupiga magoti kwa CCM immpe chakula
Nilikuwa nampa Nyerereist somo hapo. Siyo kwamba naafiki hatua hiyo na pia natambua kuwa nyakati zilikuwa tofauti. Labda Nyerere angekuwepo kwenye siasa leo angetumia mbinu tofauti.- Mkuu kweli ninakusoma sawa sawa, eti kuwafukuza walio na mawazo tofauti na yako si ndio yamelifikisha hili taifa lilipo sasa, au?
William.
Naona leo Mod kasahau kwenda kusikiliza Wananjenje:-Kuna mod anapita na fagio hapa :lol:
Hapana. You got it wrong. Zitto anazungumza na anaendelea kuwa na haki yake ya kuzunguza. Ni tofauti na enzi za Nyerere. Ndio maana nimekushauri ubadilishe jina.Ndio maana nasema CHADEMA ni photocopy ya CCM 1970's to 1980's.. enzi za zidum fikra za mwenyekiti wa chama. Mbowe na Slaa wakisha sema basi wote mfuate. Thats BS. Wote ambao wamekua wakionyesha kutokubaliana na mitazamo yao wamekua wakiishia kufukuzwa (kama alivyokua anafanya nyerere na chama kimoja),, kwa mfano Kafulila, Dr Kaburu, Chacha wangwe (RIP) bado kidogo, na wengine wengi tu.. Acheni udictator
I dont see an issue (hapa tuna make a mountain out of a mole hill) kutokukubaliana ni kawaida kura zikapigwa wengi wakashinda thats normal lakini i think Zitto angekaa kimya tu there is no need awaambie vyombo vya habari what went behind the scenes