kichwa kikubwa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,273
- 1,708
hizi tshs trilion 54 ni mkopo kutoka taasis ipi ya kifedha? nchi gani? au ni kwa hisan ya nchi gani?
nauliza hiv kwa sabab,bajet ya mwaka mzima ya sirkal ni takriban mara 3 ya fedha za mradi huo.
Na makusanyo\mapato ya kodi ya sirkal kwa mwaka mzima kwa sasa yanafikia tsh trion 12.
sijajua kama benk hiyo south ndo sponser wa mrad huo.