Zitto amlipua Rugemarila wa Escrow

Zitto amlipua Rugemarila wa Escrow

Huu ni mradi gani? Naona ni wa pesa mingi sana! Karibu mara tatu ya bajeti ya mwaka 2014/15 (c. tzs 19.8tr).
 
Kwani zzk hakuwa mbunge wakati zabuni hiyo unapita? Kwa hiyo nae alikaa kimya tuuu? Aache ubwege wake. Alisubiri hadi aingie act ndo aseme?
 
10492609_917325201621511_2134497307764507791_n.jpg
 
Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto kabwe, ameshutumu watuhumiwa wa Akaunti ya Tegeta Escrow kupewa kazi(zabuni) ya ujenzi wa bandari ya Mwambani mkoani Tanga bila kufuata taratibu.

Zitto amesema Rugemarila amepewa zabuni hiyo yenye thamani ya shilingi trilioni 54 bila kufuata taratibu za zabuni ikiwa ni pamoja na zabuni hiyo kutangazwa.

Kwa taarifa zaidi tembelea: Mtanzania-Gazeti la Kiswahili la kila siku

My take:
Hivi hii nchi ina laana?

Kama tuhuma hizi ni za kweli,viongozi wa nchi hii mko wapi na mnafanya nini maofisini?!
Aibu kwa waliohusika.
 
Mtu anaeibua madhambi kama haya bado tu mnasema ni mfuasi wa CCM? Ni mwendawazimu pekee ndiye atawaza hivyo.

Safi sana Zitto. Huu ndio uzalendo.
 
Zitto ni mnafiki sana majukwaani anawaponda lakini nyuma ya pazia anavuta
upuuz mtupu
 
Mtu anaeibua madhambi kama haya bado tu mnasema ni mfuasi wa CCM? Ni mwendawazimu pekee ndiye atawaza hivyo.

Safi sana Zitto. Huu ndio uzalendo.

Hizo ni futuhi za zitto na wakina Rugemaira,
 
Mtu anaeibua madhambi kama haya bado tu mnasema ni mfuasi wa CCM? Ni mwendawazimu pekee ndiye atawaza hivyo.

Safi sana Zitto. Huu ndio uzalendo.
mkuu achana na bavicha maana ukiwasikiza hata vijiweni wanaongea kama sugu vile au Lema aka master plan of bavicha.
 
Mkuu Hizo trilion 54 mbona kama ni uongo?

Au ni katika harakati za kumfanya CEO wa ACT awe Juu?
 
Hizo ni futuhi za zitto na wakina Rugemaira,
safi sana bavicha member naona umechangia point kwi-kwi-kwi, vijana wa kitz bhana kazi ipo. pole zito ila endelea kupambana usikatishwe tamaa na sampuli kama hii ya binadamu
 
Back
Top Bottom