wa ukae
JF-Expert Member
- Aug 11, 2008
- 2,764
- 2,203
Alishindwa nini kulipua akaunti ya Stanbic!?? mnafiki tu huyu!!
Wewe kila kitu unataka afanye zitto? Yeye amethubutu amefikia hapo mwambie kiongozi mkuu wa upinzani bungeni awalipue hao wa Akaunti ya stanbic ndio maana zitto anaonekana shujaa!!!!!!