Zitto amlipua Rugemarila wa Escrow

Zitto amlipua Rugemarila wa Escrow

Nataka unjibu, nini kimekufanya uiamini hiyo Habari ilhali huna imani na Zitto.
Kafulila wengi tulikuwa na imani nae, pia kipindi alichoibua ile Kashfa, Reaction ya ma CCM ilidhirisha kabisa kuwa yameguswa Sehemu stahiki,tuliona jinsi AG alivyotumia maneno ya Kejeli katika kupinga.
Pia watu weledi walikaa,wakasililiza hoja za Pande zote na kupima there after.
Sasa hili la Zitto, wewe nini kimekufanya uamini Mpaka kuja kulianzishia Thread,je wengine tukisema kuwa ni Namna tu ya kutaka kupumbaza watu nwasiojijua kwa Sababu tu Mjasiliamali Ruge hana Platform ya kujitetea tutakuwa tunakosea ?
THINK BIG

Hii habari ya Zitto siokama nimeiamimi asilimia 100.Hebu soma comment yangu kwenye uzi wenyewe chini ya maneno "my take".

Kwa maneno mengine, soma comment yangu hapo kwenye "my take" kwenye uzi wenyewe uone kama nimemuami asilimia 100.

Ningekuwa nimemuamini asilimia 100, nisingeanza ku-comment kwa kusema "kama tuhuma hizi ni za kweli....."
 
Mkuu Salary Slip nchi hii haina laana, bali watendaji ndo wamejitoa akili. Ila iko siku watakuja jutia madudu wanayofanya leo.

1. Watanzania tunadanganyika kwa urahisi sana! Na Zito yote anayoyafanya ni kwa kujua kwamba nchi hii inalo kundi kubwa la watu wanaomuamini kwamba ni mzalendo. Ni kwamba anajua hamsomi sana sana vichwa vya habari za magazeti na mnaamini moja kwa moja bila kufikiria zaidi na kufanya uchambuzi. Tatizo ni kubwa.

2. Watanzania tupende kusoma ili tuweze kujadili mambo kwa weledi. Zito aliyoyafanya kwenye Escrow ni kwa kutambua kwamba hatupendi kusoma. Kuthibitisha kutopenda kusoma kwetu, Mtanzania mmoja Bw. Salim Khatri, kwa kujitolea, alijihusisha kusoma taarifa zote yaani ile ya CAG na PAC amekuja na uchambuzi wa kina kuhusu hizo taarifa na akabainisha jinsi ZITO KABWE alivyo handisi taarifa ya PAC.

3. Huo uchambuzi wa kitaalam wa Bw. Khatri, uliwekwa wazi kwa Wahariri Wakuu wa vyombo vya habari nchini kwenye Semina ulioandaliwa na VIP Engineering & Marketing Ltd., kwa kushirikiana na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF). Semina hiyo ya siku mbili ilifanyika kwenye hoteli ya Stella Maris mjini Bagamoyo, tarehe 3 - 4 Aprili, 2015.

4. Wakati wa Semina hiyo Bw. Khatri, akiwa patia wahariri wakuu fursa ya kuuliza maswali. Wahariri waliuliza maswali yao na kujibiwa. Hitimisho la Mada hiyo washiriki wote walikubali kwamba ZITO KABWE alihandisi taarifa yake kwa manufaa yake. Hii ni bila kujali taharuki aliyolisababishia taifa na kuhatarisha kuiangusha serikali.

5. Wiki moja baadaye, Zito katika hali ya kutahayari, bila kutafuta ukweli, akaamua kumshambulia binafsi Bw. James Rugemalira wa VIP. Baadhi ya magazeti yameandika uzushi wa Zito kwa kuhusisha waliyoyasema wahusika wa MWAPORC, kwani Wahariri wa magazeti hayo walikuwa wanazo taarifa za kina kuhusu mradi huo na wahusika wake. Wapo pia walioziandika habari za Zito kama kabisa hawana wajualo!

6. Juzi iliwekwa hapa JF taarifa ya uchunguzi ya Bw. Khatri, kutuonyesha UONGO wa taarifa ya PAC. Badala ya watu kuisoma kwa makini ili waichambue na kuikosoa, kwa kutojua wakatenda dhambi ya kukataa kusoma. Ninashindwa kuamini kwamba mtu ambaye hajasoma taarifa anavyoweza kusimama na kuikataa! Msemo wa Mao "no research no right to speak" hapa unakuwa na maana kubwa sana.

7. Watanzania wenzangu ninawasihi tuache uvivu wa kusoma. Hii ndiyo sababu kubwa ya kukimbilia kwenye umbea na kuhadaika kwa wepesi kwa watu aina ya Zito. Mkiisoma Kazi aliyoifanya Bw. Khatri, ninaamini mtaona jinsi wanasiasa wadanganyifu na wasaliti wa nchii wanavyo iangamiza nchi yetu na Zito akiwa ni mmoja wao.

8. Kazi ya Bw. Khatri, inadhihirisha kwamba Bunge linatumiwa na wanasiasa wabaya, walaghai, wazandiki na mafisadi kuihujumu nchi. Kazi ya Khatri, inaweza kuwa ndiyo mwanzo wa kukomesha huu uhuni ambao waheshimiwa wanatumia pesa zetu ili kuihujumu nchi.

9. Tusipokuwa makini, tujue kwamba tunajikaanga kwa mafuta yetu. Zito anatahayari badala ya UONGO wake alioufanya akiwa M/Kiti wa PAC kuhusu Ripoti Maalum ya Akaunti ya Tegeta Escrow kugundulika. MWAPORC haujawahi kuwa mradi wa Serikali kama alivyowaeleza Wahariri Wakuu kule Bagamoyo. Zito ana tapatapa za mwizi arobaini zimetimia. Wanasema, "you can fool some of the people all the time but you cannot fool all the people all the time". Watanzania, someni taarifa ya Bw. Khatri, kama kuikataa iwe ni kwa hoja na siyo milio kama niliyoisoma hapa JF.

Mungu Ibariki Tanzania!
 
Last edited by a moderator:
Zitoo anatumika kulinda mafisadi. Wanajua kabisa kuwa kwa sasa hana credibility ya kutoa hoja ya kuaminika kutokana na usaliti, ukigeugeu wa misimamo yake juu ya masuala mbalimbali yaliyotokea hapa nchini. Kwa hiyo wanajua kabisa pia kuwa hoja ikianzishwa na Zitoo na mwenyewe kuishikia bango haitakuwa na madhara maana thamani ya uaminifu wake wa weza kukadirika.
Ruge anaweza kulipia uaminifu wa Zitoo.
 
1. Watanzania tunadanganyika kwa urahisi sana! Na Zito yote anayoyafanya ni kwa kujua kwamba nchi hii inalo kundi kubwa la watu wanaomuamini kwamba ni mzalendo. Ni kwamba anajua hamsomi sana sana vichwa vya habari za magazeti na mnaamini moja kwa moja bila kufikiria zaidi na kufanya uchambuzi. Tatizo ni kubwa.

2. Watanzania tupende kusoma ili tuweze kujadili mambo kwa weledi. Zito aliyoyafanya kwenye Escrow ni kwa kutambua kwamba hatupendi kusoma. Kuthibitisha kutopenda kusoma kwetu, Mtanzania mmoja Bw. Salim Khatri, kwa kujitolea, alijihusisha kusoma taarifa zote yaani ile ya CAG na PAC amekuja na uchambuzi wa kina kuhusu hizo taarifa na akabainisha jinsi ZITO KABWE alivyo handisi taarifa ya PAC.

3. Huo uchambuzi wa kitaalam wa Bw. Khatri, uliwekwa wazi kwa Wahariri Wakuu wa vyombo vya habari nchini kwenye Semina ulioandaliwa na VIP Engineering & Marketing Ltd., kwa kushirikiana na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF). Semina hiyo ya siku mbili ilifanyika kwenye hoteli ya Stella Maris mjini Bagamoyo, tarehe 3 - 4 Aprili, 2015.

4. Wakati wa Semina hiyo Bw. Khatri, akiwa patia wahariri wakuu fursa ya kuuliza maswali. Wahariri waliuliza maswali yao na kujibiwa. Hitimisho la Mada hiyo washiriki wote walikubali kwamba ZITO KABWE alihandisi taarifa yake kwa manufaa yake. Hii ni bila kujali taharuki aliyolisababishia taifa na kuhatarisha kuiangusha serikali.

5. Wiki moja baadaye, Zito katika hali ya kutahayari, bila kutafuta ukweli, akaamua kumshambulia binafsi Bw. James Rugemalira wa VIP. Baadhi ya magazeti yameandika uzushi wa Zito kwa kuhusisha waliyoyasema wahusika wa MWAPORC, kwani Wahariri wa magazeti hayo walikuwa wanazo taarifa za kina kuhusu mradi huo na wahusika wake. Wapo pia walioziandika habari za Zito kama kabisa hawana wajualo!

6. Juzi iliwekwa hapa JF taarifa ya uchunguzi ya Bw. Khatri, kutuonyesha UONGO wa taarifa ya PAC. Badala ya watu kuisoma kwa makini ili waichambue na kuikosoa, kwa kutojua wakatenda dhambi ya kukataa kusoma. Ninashindwa kuamini kwamba mtu ambaye hajasoma taarifa anavyoweza kusimama na kuikataa! Msemo wa Mao "no research no right to speak" hapa unakuwa na maana kubwa sana.

7. Watanzania wenzangu ninawasihi tuache uvivu wa kusoma. Hii ndiyo sababu kubwa ya kukimbilia kwenye umbea na kuhadaika kwa wepesi kwa watu aina ya Zito. Mkiisoma Kazi aliyoifanya Bw. Khatri, ninaamini mtaona jinsi wanasiasa wadanganyifu na wasaliti wa nchii wanavyo iangamiza nchi yetu na Zito akiwa ni mmoja wao.

8. Kazi ya Bw. Khatri, inadhihirisha kwamba Bunge linatumiwa na wanasiasa wabaya, walaghai, wazandiki na mafisadi kuihujumu nchi. Kazi ya Khatri, inaweza kuwa ndiyo mwanzo wa kukomesha huu uhuni ambao waheshimiwa wanatumia pesa zetu ili kuihujumu nchi.

9. Tusipokuwa makini, tujue kwamba tunajikaanga kwa mafuta yetu wenyewe. Zito anatahayari badala ya UONGO wake alioufanya akiwa M/Kiti wa PAC kuhusu Ripoti Maalum ya Akaunti ya Tegeta Escrow kugundulika. MWAPORC haujawahi kuwa mradi wa Serikali kama alivyowaeleza Wahariri Wakuu kule Bagamoyo. Zito ana tapatapa za mwizi arobaini zimetimia. Wanasema, "you can fool some of the people all the time but you cannot fool all the people all the time". Watanzania, someni taarifa ya Bw. Khatri, kama kuikataa iwe ni kwa hoja na siyo milio, muhemko na kelele kama niliyoisoma hapa JF.

10. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete alivyo washauri msome taarifa ya CAG hakumsikiliza kwa sababu ya uvivu wenu wa kusoma. Sasa chukua tatua soma ripoti zote tatu mrejee hapa siyo kwa milio, mihemko na makelele. Jengeni hoja.

Acha kuweweseka kama ku.ku mwenye kideri.....habari ya mujini ni ACT - Wazalendo!
 
Ngvu za police kwa watu wote zingekuwa kama zile zilizoelekezwa kwa mchungaji fulani hivi, nchi hii ingekuwa imefika mahali pazuri sana kwenye suala la uwajibikaji!
 
tatizo mtu kajitolea,mtuhumiwa anagharamia tunajua kosa alilofanya zitto alichagua watuhumiwa akaacha wahalifu wengine lakini vip sio wasafi kama unavyotaka kutuaminisha
 
Mbona unapata shida sana kuupika uongo. Tulizeni mawowowo yenu sindano iguse mfupa.
 
Kwa hiyo yule mama wa kihaya alivyokubali kuhusu mgao wa Escrow alikua anazuga na kwamba hakuchukua mgao aka hela ya mboga?
 
Kama vile kutaka kuudanganya umma wa Watanzania kwamba alifukuzwa CHADEMA ili asitetee maslahi ya Watanzania, na kuficha ukweli halisi kwamba alifukuzwa kwa sababu ya usaliti wake wa kutumika na MACCM ili kuisambaratisha CDM.

Mbona hilo LA ulaghai like wazi
 
Yale yaliosemwa kuhusu kuhongwa wahariri huko Bagamoyo na Rugemaile ndie kazi yake imesha anza hapa. Ila hamtoweza kumshusha Zitto wala wazalendo wengine kwahila zenu. MUNGU ataendelea kusimama upande wa wanyonge. Ingekuwa inaingia akilini kama bwana Rugemaila asingekuwa amewahonga mawaziri kama Ngeleja, Tibaijuka,Chenge n.k na badala yake pesa zile akaenda kuwapa mayatima na ombaomba kwote nchini lakini huyu ametumia pesa zake kuhonga na leo kapewa mradi wa kujenga bandari wa MWAMBONI~TANGA.Kuungana ni jambo jema...na tunawatakia kila la kheri UKAWA...sisi hatugombani na mtu bali na umaskini. Chama chetu ni cha wanyonge...tukikuta mnyonge na tajiri wanapigana sisi tutamsaidia mnyonge kwanza baadae ndio tutauliza nani mchokozi (makofii). Kuna watu wanasema hawa wakina zitto wamekuja kugawa kura za upinzani....nataka niwahakikishie wana Morogoro ACT haijaja kugawa kura za upinzani....Mwaka 2010 asilimia 42 tu ya watu waliojiandikisha ndio walipiga kura....ina maana 58% ya waliojiandikisha hawakupiga kura na inamaana hawakuwa na chama chochote kile.ACT imekuja kukonga nyoyo na kuwashawishi hawa 58% hivyo hatugawi kura za mtu yoyote."

Hayo ni baadhi ya maelezo ya Ndugu Kabwe katika hotuba yake ya Jana kwa wana morogoro.

Nionavyo.
Mwacheni Zitto afanye siasa zake Watanzania wataamua.
 
Last edited by a moderator:
Kazi ya zile laki 6 za bepari wa kihaya zinaanza kazi, nendeni mkaombe msaada pale ufipa muongeze nguvu, maana pale bajeti ya bundle imeongezwa mna kazi sana, Zitto kandamiza mafuta mpaka wazae mwaka huu
 
Last edited by a moderator:
ni suala la muda tu...ukweli utajidhihirisha jinsi huyu bwana zzk alivyo hatari kwa siasa za nchi hii,yuko radhi kuwasaliti hata wale waliomleta kwenye siasa za tanzania.
ili tu awaridhishe hao ccm waliomtuma usaliti
 
Zitoo anatumika kulinda mafisadi. Wanajua kabisa kuwa kwa sasa hana credibility ya kutoa hoja ya kuaminika kutokana na usaliti, ukigeugeu wa misimamo yake juu ya masuala mbalimbali yaliyotokea hapa nchini. Kwa hiyo wanajua kabisa pia kuwa hoja ikianzishwa na Zitoo na mwenyewe kuishikia bango haitakuwa na madhara maana thamani ya uaminifu wake wa weza kukadirika.
Ruge anaweza kulipia uaminifu wa Zitoo.

Zito siyo tu kwamba analinda mafisadi, yeye anashirikiana na mafisadi wakubwa kuiibia na kuihujumu nchi hii. Ni mtu hatari sana! Lakini anawadanganya watu kiurahisi wanamsifia kwamba ni mzalendo. Zito hana lolote. Anayepinga aje na hoja hapa, baada ya kusoma hizo taarifa tatu CAG, PAC na ile ya Salim Khatri.
 
Tatizo linaloumiza nchi hii ni ukosefu wa uwadirifu we we Malta Mazda pia sio mwadilifu na NJAA inakufa
 
ACT Ni kama Ugonjwa wa bonde la ufa, ulikuja na kuondoka wenyewe, sisi bado tupo pale pale...

CCM Imetwaa,Jina la ACT Lilaaniwe Milele.
 
Nashangaa kitu kimoja tu kwa Watanzania.

1. Anayeleta mada mwenyewe hajasoma eti amesikia. Wameshiba ulitaka wawailishe nini zaidi ya kurudisha fadhila;
2. ZZK anabeba lawama wapi kama ni kamati ilifanya uchambuzi wa taarifa zote; na
3. Unasemaje Watz hatusomi kama we hujasoma.

Hapa we sio mwakilishi wa wote bali wa akili na fikira zako.
 
Mkuu hiyo figure ni kweli au? maana hizo pesa ni sawa na budget ya tanzania kwa miaka mitatu.

Ni sahihi, ni USD($) 33bn,itakua ni kutanua bandari ya tanga na kuongeza urefu wa kina mpka mita 24,watajenga bandari huru na heavy haul standard gauge railway mpaka bahari ya Atlantic, kwa hiyo itakua railway pekee itakayo unganisha bahari ya Hindi na Atlantic
 
Back
Top Bottom