Che Guevara
JF-Expert Member
- May 22, 2009
- 1,236
- 350
Kuna haja BUNGE lichunguze hii tenda ya MWAMBANI na jinsi Ruge alivyopewa.
Kama taratibu za utoaji wa tenda zilikiukwa inatakiwa ifutwe.
Halafu huyu jamaa inaonekana ana influence kubwa sana ya kupata deals.
Pia kumbuka kuwa baadhi ya aliowawekea pesa za Escrow wamefunguliwa mashtaka Mahakamani ila yeye aliyetoa hajashtakiwa.