Neutral Figure
JF-Expert Member
- Mar 8, 2015
- 537
- 201
Hakuna mwanasiasa mjinga kama Zitto..chama hakitangazwi na magazeti...zitto unaishi zama za kufikirika sana..
Kinatangazwa na nini? Ama kweli we ni thumni
Hakuna mwanasiasa mjinga kama Zitto..chama hakitangazwi na magazeti...zitto unaishi zama za kufikirika sana..
ACT hakiwezi kuwa chama kikuu Tanzania.
Na zaidi ya Ayatollah sidhani kama kinaweza kushinda kiti kingine cha ubunge.
Nahisi anachokifanya ndio Majukumu ya kiongozi mkuu wa chama, nasubiri kuona mwenyekiti anatekeleza majukumu yapi?
ACT hakiwezi kuwa chama kikuu Tanzania.
Na zaidi ya Ayatollah sidhani kama kinaweza kushinda kiti kingine cha ubunge.
Kinatangazwa na nini? Ama kweli we ni thumni
...bhahahhaaaa we umejitwisha tikiti maji, hujui chama cha siasa kinatangazwaje, bhaahaaaaaa....!!!
Now this is sillyZitto Kabwe ambaye ni Kiongozi mkuu wa ACT Tanzania usiku huu amefanya mkutano na wahariri wakuu wa vyombo vya habari Tanzania.
Mkutano na wahariri umeenda sambamba na chakula cha jioni katika hoteli moja katikati ya jiji.
Zitto ametumia nafasi hiyo kuwaomba wahariri wamsaidie kuitangaza ACT Tanzania ili kiwe chama kikuu cha upinzani na kilete mapinduzi ya kweli katika siasa za Tanzania
Mwenyekiti wa Act ana kazi gani?