Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

Hicho chama unatakiwa uwe bubu,ufuate matakwa ya Mbowe,nae anafuata matakwa ya Mtei.

Umemuona sasa anadhihaki sala y Nasadiki inayoheshimiwa na Wakatoliki?

Hoja dhaifu za waramba miguu ya zitto ndizo zitakazoletwa kwa wanahabari kesho. UDINI, UKANDA, UKABILA NA UDKTETA.
HAPO HAPO ZITO ATAPEWA UENYEKITI WA MAISHA ACT SAWA NA MREMA NA CHEYO.
 
Childsh kila siku Matamko!!! alafu heti nae anautaka urais, Jk ameifanya taasisi ya Urais ionekane rahisi sana, yani ni sawa na kuwa mkuu wa shule ya kata.
Kama unahisi ni mgumu sana basi uraisi tumpe LEMA mana ndo anaweza MAPAMBANO.
 
Mtangaika sana,mtaandika mengi sana lakini Zitto tulishamfukuza hatuwezi kumrudisha aende kujimaliza kisiasa huko ACT

CHADEMA kuwa na Mbunge kariba ya Zitto ni sawa na kuokota Almasi kariakoo, Zitto 1 ni sawa na wabunge wote wa CHADEMA.
Zitto kilichomponza ni kutaka chama kikaguliwe wakati tunajua fika Dj na Silaha ni wapigaji wazuri wa ruzuku na misaada ya nje. Jingine ni ile nafasi ya Uenyekiti.
 
Habebeki hatakiwi na chama cha wananchi waliowengi. Ccm walimtumia kama toilet paper kujisafishia matango sasa waamue kukaa na mav au wamtupe. Sisi hatutaki uchafu wacha wapo ccm.
Subili aje agombee UBUNGO halafu ndo utasema ny hamumtaki.
 
Concept of Money applies, unaiba kwa wingi na unasaliti kwa vipande vya fedha, unatumia mapato yote kurejesha heshima uloharibu kwa ajili ya kutafuta pesa. BACK TO SQUARE ONE.
Mkuu je wale wanao kiuzia chama fuso chakavu?
Wale wanao kopa kwenye chama bila riba?
 
Kuna watu hawaijui CHADEMA, wanadhani wako huru kutoa mawazo yao kumbe hali sivyo ilivyo.
Ukishaingia CHADEMA haki yako ni kukaa kimya tu hata kama unaona mambo sivyo. Ukithubutu tu basi wewe Msaliti. Nimeona Msigwa naye ananyemelewa kuitwa msaliti baada ya kupost picha kwenye FB akiwa na Lowassa.
Majuzi hapa Ben saanane alitoa mawazo yake ..ameitwa msaliti na amepigwa marufuku na Crashwise na CHADEMA KWANZA asikanyage ofisi za ufipa...namuonea huruma Salary slip
 
Last edited by a moderator:
Kaitwa fisi...teh teh teh
Hahahahaha kuna vyama vina watu lakini chadema ni vituko sana yani huwa nikiangalia igizo la futuhi nawakumbuka Bavicha...
Namuonea huruma Salaryslip..
 
Nyie si hamtafuni maneno wala kutikisa masikio, sasa kwa huyu mbona kama mnatikisa masikio kulikoni?

Kwa hiyo huyo msaliti bado yupo CHAMANI?
amekongoroka vibaya sana ! tumemuweka karantini .
 
Nyie mna mawazo finyu kweli,mnafikiri mkimchukia basi wote tunamchukia?Zitto wala sio msaliti Viongozi wa Chadema ndo wasaliti wakiongozwa na Mbowe

Ufipani hakukaliki leo,balaaa

Zzk ndo kiboko yao watu hawalali cku iz,mtajuta kumfahamu hyo jamaa ngoja awaanike kwnza.

Chadema, mtalalama sana na humuhumu siku mbili au tatu zimepita mlikuwa mnasema anachelewa kuondoka, leo hana jipya; nyie chadema ni watu vigeugeu kweli! ndiyo mmekwisha hivyo!

Tunakusubiri Zitto,bila wewe vijana tusingeshabikia siasa.

1 Msaliti Zitto atamuattach Mbowe.
2. Atashangilia kuwa na nashabiki wasiofika hata robo ya wale wa Mrema.
3. Ukanda, ukabila, na matamko ya wafuasi wake mitandaoni yatatawala hoja zake.
 
TAARIFA KWA UMMA
mwami Zitto Kabwe. Kesho tarehe 22-3-2015 atazungumza na waandishi wa Habari.

Tukio Hilo muhimu na la kihistoria litafanyika SERENA HOTEL kuanzia saa Tano Kamili asubuhi.

Tafadhali fika bila kukosa kupata kujua mustakabali wa siasa za kweli Tanzania.



NB.watakaoenda watu-update

Huyu ana stress na kamwe haziwezi kuisha kwa kujifanya hauna stress. Ni lazima akubaliane na ukweli kwamba yuko stressed. Ili kuondoa stress ni lazima au mkweli kwa nafsi yake na njia rahisi kama anataka kunusuru maisha yake ni kuangua kilio mbele za watu hiyo itamsaidia sana kumalizana na hili swala. Ukijifanya uko ngangari kama anavyojifanya sasa itamla ndani kwa ndani na baadaye ikija kujitokeza nje itakuwa too late. Stress mbaya sana watu walimpotosha hakukuwa na sababu ya kujiuzuru ubunge wakati hakuna mtu aliyekuwa anamfatilia cdm wala hawana time naye anahangaika tu mwenyewe.

Uponyaji wake mwingine ni kuwatukana tu wabaya wake itamsaidia kupunguza stress akijifanya mstaarabu kama watu wanavyomdanganya itakula kwake. Awatukane halafu atundike daruga la siasa akamalizie PhD yake aanze kufundisha mambo ya gas maana nasikia serikali wanataka kufungua chuo kikuu cha gas!

Achukua huu ushauri kwa mstakabali wa afya yake. Afya ni muhimu sana maana ukiwa nayo unaweza kufanya chochote. Acheni kumvimbisha kichwa huyu yuko stressed!
 
1 Msaliti Zitto atamuattach Mbowe.
2. Atashangilia kuwa na nashabiki wasiofika hata robo ya wale wa Mrema.
3. Ukanda, ukabila, na matamko ya wafuasi wake mitandaoni yatatawala hoja zake.
Unahangaikaaa! Slaa na Mbowe walimchafua wakashindwa sembuse wewe? nikukumbeshe tu bado msaliti M2 hajatimuliwa.
 
CHADEMA kuwa na Mbunge kariba ya Zitto ni sawa na kuokota Almasi kariakoo, Zitto 1 ni sawa na wabunge wote wa CHADEMA.
Zitto kilichomponza ni kutaka chama kikaguliwe wakati tunajua fika Dj na Silaha ni wapigaji wazuri wa ruzuku na misaada ya nje. Jingine ni ile nafasi ya Uenyekiti.

Uenyekiti wa maisha sasa ameupata ACT.. SACCOS YAKE NA KITILA. HANG'OKI KAMA MREMA.
 
Back
Top Bottom