Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

Concept of Money applies, unaiba kwa wingi na unasaliti kwa vipande vya fedha, unatumia mapato yote kurejesha heshima uloharibu kwa ajili ya kutafuta pesa. BACK TO SQUARE ONE.
 
Kuna watu hawaijui CHADEMA, wanadhani wako huru kutoa mawazo yao kumbe hali sivyo ilivyo.
Ukishaingia CHADEMA haki yako ni kukaa kimya tu hata kama unaona mambo sivyo. Ukithubutu tu basi wewe Msaliti. Nimeona Msigwa naye ananyemelewa kuitwa msaliti baada ya kupost picha kwenye FB akiwa na Lowassa.
Hicho chama unatakiwa uwe bubu,ufuate matakwa ya Mbowe,nae anafuata matakwa ya Mtei.
 
IMANI ya WANA ACT Tanzania

Nasadiki kwa Bwana Mmoja, Zitto Kabwe, aliyekulia CDM, tangu ujana wake, Zitto aliyetoka kwa Zuberi
, Jembe kwa Jembe, Mtu kweli kwa mtu kweli, kiongozi kwa kuzaliwa sio kupikwa, ambaye CDm imejengwa naye, akashuka toka CDM, kwa ajili ya kuijenga ACT, na kwa ajili ya demokrasia.

Akauza utu kwa vipande vya fedha, akawa MSALITI.

(Hapo wanainama kidogo)

Akahukumiwa pia, kwa ajili ya ACT, na kwa ajili ya wanunuzi wake. Akafukuzwa chamani, kama ilivyoandikwa. Siku ya 9 akang'atuka ubunge, akapaa ACT, amewekwa kwenye Uenyekiti, na kutokea huko atakuja kuikoa nchi kiuchumi na kidemokrasia, nao utawala wake hautakosa haki,

nasadiki kwa kitila, bwana mshauri wa ajabu, atokaye kwa Zito na Mwigamba, anayeabudiwa na kutukuzwa, pamoja na zito na Mwigamba, aliyenena kwa vinywa vya magazeti.

nasadiki kwa Act moja, penda haki, demokrasia na ya kijamaa...
 
Ulichoandika wala akieleweki.
 
Hivi Yericko Nyerere yupo wapi?maana huyu huwa ana kimbelembele sana

Mimi na act wapi na wapi?

Genge la wasaliti waijua imani yao?

IMANI ya WANA ACT Tanzania

Nasadiki kwa Bwana Mmoja, Zitto Kabwe, aliyekulia CDM, tangu ujana wake, Zitto aliyetoka kwa Zuberi
, Jembe kwa Jembe, Mtu kweli kwa mtu kweli, kiongozi kwa kuzaliwa sio kupikwa, ambaye CDm imejengwa naye, akashuka toka CDM, kwa ajili ya kuijenga ACT, na kwa ajili ya demokrasia.

Akauza utu kwa vipande vya fedha, akawa MSALITI.

(Hapo wanainama kidogo)

Akahukumiwa pia, kwa ajili ya ACT, na kwa ajili ya wanunuzi wake. Akafukuzwa chamani, kama ilivyoandikwa. Siku ya 9 akang'atuka ubunge, akapaa ACT, amewekwa kwenye Uenyekiti, na kutokea huko atakuja kuikoa nchi kiuchumi na kidemokrasia, nao utawala wake hautakosa haki,

nasadiki kwa kitila, bwana mshauri wa ajabu, atokaye kwa Zito na Mwigamba, anayeabudiwa na kutukuzwa, pamoja na zito na Mwigamba, aliyenena kwa vinywa vya magazeti.

nasadiki kwa Act moja, penda haki, demokrasia na ya kijamaa...
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ni B, A-Kesho atakuwa na waandishi wa habari

ZZK anapoteza muda wake na resources,watu wengi tumeshapata habari juu ya Zito kukisaliti chama na tulikuwa tunamtegemea sana kwa ukombozi wa nchi hii kupitia CHADEMA na UKAWA kwa ujumla.Zile pesa alizokuwa anapewa ndo zinaanza kutumika.
 
Ulitarajia wewe nani usimpangie Zitto afuate fikra zako, naona pro-Chadema mnalia lia ovyo tu.

Mkuu kama mnamjali hivyo kwa nini msikaribishe kirusi hicho kwenye chama chenu cha CCM? Mnalalamika badala ya kushukuru!!?!
 
Hivi Yericko Nyerere yupo wapi?maana huyu huwa ana kimbelembele sana

Umemuona sasa anadhihaki sala y Nasadiki inayoheshimiwa na Wakatoliki?

IMANI ya WANA ACT Tanzania

Nasadiki kwa Bwana Mmoja, Zitto Kabwe, aliyekulia CDM, tangu ujana wake, Zitto aliyetoka kwa Zuberi
, Jembe kwa Jembe, Mtu kweli kwa mtu kweli, kiongozi kwa kuzaliwa sio kupikwa, ambaye CDm imejengwa naye, akashuka toka CDM, kwa ajili ya kuijenga ACT, na kwa ajili ya demokrasia.

Akauza utu kwa vipande vya fedha, akawa MSALITI.

(Hapo wanainama kidogo)

Akahukumiwa pia, kwa ajili ya ACT, na kwa ajili ya wanunuzi wake. Akafukuzwa chamani, kama ilivyoandikwa. Siku ya 9 akang'atuka ubunge, akapaa ACT, amewekwa kwenye Uenyekiti, na kutokea huko atakuja kuikoa nchi kiuchumi na kidemokrasia, nao utawala wake hautakosa haki,

nasadiki kwa kitila, bwana mshauri wa ajabu, atokaye kwa Zito na Mwigamba, anayeabudiwa na kutukuzwa, pamoja na zito na Mwigamba, aliyenena kwa vinywa vya magazeti.

nasadiki kwa Act moja, penda haki, demokrasia na ya kijamaa...
 
IMANI ya WANA ACT Tanzania

Nasadiki kwa Bwana Mmoja, Zitto Kabwe, aliyekulia CDM, tangu ujana wake, Zitto aliyetoka kwa Zuberi
, Jembe kwa Jembe, Mtu kweli kwa mtu kweli, kiongozi kwa kuzaliwa sio kupikwa, ambaye CDm imejengwa naye, akashuka toka CDM, kwa ajili ya kuijenga ACT, na kwa ajili ya demokrasia.

Akauza utu kwa vipande vya fedha, akawa MSALITI.

(Hapo wanainama kidogo)

Akahukumiwa pia, kwa ajili ya ACT, na kwa ajili ya wanunuzi wake. Akafukuzwa chamani, kama ilivyoandikwa. Siku ya 9 akang'atuka ubunge, akapaa ACT, amewekwa kwenye Uenyekiti, na kutokea huko atakuja kuikoa nchi kiuchumi na kidemokrasia, nao utawala wake hautakosa haki,

nasadiki kwa kitila, bwana mshauri wa ajabu, atokaye kwa Zito na Mwigamba, anayeabudiwa na kutukuzwa, pamoja na zito na Mwigamba, aliyenena kwa vinywa vya magazeti.

nasadiki kwa Act moja, penda haki, demokrasia na ya kijamaa...
Haaaaa haaaa......! Hii ndio ile Kanuni ya Imani kwa Wakatoliki!
 
Kilaza

unaposema ' tukio muhimu na la kihistoria ' una maana gani ? Zitto yupi mwenye kufanya tukio muhimu ? lipi ambalo hulijui kumhusu ? nani asiyejua anachotaka kusema ? Kama wanaomtuma wameishindwa cdm huyu anayetumwa ataweza nini ? kwetu Kyela huyu wala hawamjui kabisa ! hizi ni kelele za manzese darajani tu.
 
Last edited by a moderator:
Zitto ameshajimaliza kisiasa huko ACT kuna ugomvi wa kugombea uenyekiti wa chama ngoja tuone hii movie ya Zitto itaishia wapi.
 
Zitto...hakuna haja ya kuongeaongea....ulisema majaji wanakisasi na wewe kwa sababu ya escrow...umetaka kuitoa serekali madarakani takribani mara mbili...umesema maisha yako hatarini...nakushauri achana na ya nyuma na songa mbele..ILI MBEGU IOTE NI LAZIMA IFE KWANZA nimeona umeandika hivyo nami nakubaliana na wewe.
 
Umemuona sasa anadhihaki sala y Nasadiki inayoheshimiwa na Wakatoliki?
Ndo ujue sasa CHADEMA ina watu wa aina gani,yaani kashindwa kuwa creative hadi kaenda kukopy sala ya wakatoliki na kuweka ujinga wake,ila mwisho wao ni kabla ya uchaguzi,tena hii hii ukawa ndo itawasambaratisha
 
Back
Top Bottom