Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

Huyu kijana ana matatizo. Sijaona umuhumu wa hizi hotuba mara waraka wake wakati hana ushahidi wa kimaandishi wa kufutwa chama. Ana haraka gani, si asubiri apewe barua ya mkufukuza? Sasa ana aga hadi bungeni wakati hakuna ushahidi wa kimaandishi kuwa kafutwa chama, ni nini maana yake? Aliyemshauri kampoteza.
 
Mkuu nasikia ule uzi wako uliowapa ushauri Chadema ndiyo imekuwa tiketi yako ni marufuku kufika Ufipa tena wewe ni msaliti.

Kapigwa marufuku kukanyaga ofisi za ufipa na kijana wa Mbowe CHADEMA KWANZA.
 
Last edited by a moderator:
Taarifa kwa vyombo vya habari

Chama cha ACT-Tanzania kitakuwa na mkutano na waandishi wa habari kesho jumapili Machi 22 saa 5:00 asubuhi katika hotel ya Serena Ukumbi wa Kivukoni 4.

Nia na malengo ya mkutano huo kuwatumbulisha wanachama wapya waliojiunga hivi karibuni.

Tunaomba kukaribisha uwakilishi kutoka katika chombo chako kwa ajili ya kuwasikiliza na kuwatambua wanachama hao.

Natanguliza shukrani

Abdallah Khamis

Afisa Habari

0755/ 0655 549 154 na 0777-008686
 
Zito ni sawa na sabuni ataisha tu kafanya kigoma hajatosha bungeni kwenye mitandao na vyombo vya habari kibao umaarufu wake haujagika wa mrema kiko wapi?????
 
Kama kawaida Mwampamba & co ndio watakao kuwa waandaaji na wasimama mlangoni. Kesho posho imeingia maana Mwigulu noma sana amewasahau sahau vijana wake.
 
Kunawatu ndani ya chadema watapagawa na mipango hii ya zitto lazima watafutane tu.
 
Mbinu dhaifu.Nilitarajia aende moja kwa moja Act.
Kwani anaenda kueleza nini ambacho hatukijui?

ndio maana umealikwa huende ukamsikilize hicho ambacho wewe unahisi ukijui. acha speculation ndugu!
 
Hizi ni dalili za kuchanganyikiwa! Kila siku matamko! Nawapongeza cdm wako kimya, wanaendelea na shughuli zao!
 
Back
Top Bottom