Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,977
- 10,073
Haaaaa haaaa......! Hii ndio ile Kanuni ya Imani kwa Wakatoliki!
mkuu hiyo ni dhihaka dhidi ya Kanuni ya Imani ya Wakatoliki. Ashukuru tu Wakatoliki hawana Fatwa, angekuwa amehukumiwa huyu.
Haaaaa haaaa......! Hii ndio ile Kanuni ya Imani kwa Wakatoliki!
hoja za kijinga kutoka kwa mjinga.Ndo ujue sasa CHADEMA ina watu wa aina gani,yaani kashindwa kuwa creative hadi kaenda kukopy sala ya wakat kuweka ujinga wake,ila mwisho wao ni kabla ya uchaguzi,tena hii hii ukawa ndo itawasambaratisha
nimecheka sana Zitto kwani alikuwa ni nani?Nasikia Dunida mzima kesho itasimama wakati Zitto anahutubia mamillion ya watu na huko Marekani kesho ni siku ya mapumziko kwa ajili ya kufatilia hotuba ya Zitto.
wewe huna jipya nimekuzoea,kila siku unaandika huu huu mstari,kajipange upya walau uongeze nyama nyama ili uelewekehoja za kijinga kutoka kwa mjinga.
Nyie mna mawazo finyu kweli,mnafikiri mkimchukia basi wote tunamchukia?Zitto wala sio msaliti Viongozi wa Chadema ndo wasaliti wakiongozwa na Mbowe
Huyu kijana ana matatizo. Sijaona umuhumu wa hizi hotuba mara waraka wake wakati hana ushahidi wa kimaandishi wa kufutwa chama. Ana haraka gani, si asubiri apewe barua ya mkufukuza? Sasa ana aga hadi bungeni wakati hakuna ushahidi wa kimaandishi kuwa kafutwa chama, ni nini maana yake? Aliyemshauri kampoteza.
Mbowe hatopata usingizi kabisa..
Heshima yako mkuu Zitto mwache akajimalize kisiasa huko ACT alijiona yeye yupo juu ya chama .Watu wanaojiona wao ndiyo wao ndivyo walivyo, si ajabu atatangaza rasmi kuhamia ACTUSALITI/ACTCCM. Naona hili la kufukuzwa CHADEMA inamtafuna kupita kiasi. Alijiona yeye ndiyo yeye ndani ya CHADEMA hivyo pamoja na usaliti wake CHADEMA wasingweza kumchukulia hatua zozote zile sasa IMEKULA KWAKE.
Zitto hawezi kumtukana mtu ni mtu mwenye akili sana kuliko kiongozi yeyote wa chadema!Matusi ni kazi ya lema
Wanamaanisha kuwa hiyo kesho kwa mara ya kwanza viongozi wote kutoka kwenye nchi za super power watahudhuria hiyo press hapo Serena. SkyNews na CNN watarusha live tukio hilo. Kweli Zitto ni mwanasiasa bora kushinda wote hapa Duniani.
Zito ni sawa na sabuni ataisha tu kafanya kigoma hajatosha bungeni kwenye mitandao na vyombo vya habari kibao umaarufu wake haujagika wa mrema kiko wapi?????
wao walikuwa na mkakati mnzuri tatizo lao walifeli kuhifadhi,yaani unahifadhi nyanga zako za mkakati halafu unaeka kwenye laptop na unaenda nayo kwenye mkutano ambao walengwa wamo ndani,ukiwa na mikakati weka barriers zote ili adui asijuePamoja na mapungufu ya mwigamba lakini nadhani ndie mwenye akili kuliko wasaliti wengine , maana alisema , nanukuu ' nilijua huu MKAKATI UKIFELI TUTAFUKUZWA KWENYE CHAMA '
Heshima yako mkuu Zitto mwache akajimalize kisiasa huko ACT alijiona yeye yupo juu ya chama .
haa haa we ni mke wao ama..
Watu wanaojiona wao ndiyo wao ndivyo walivyo, si ajabu atatangaza rasmi kuhamia ACTUSALITI/ACTCCM. Naona hili la kufukuzwa CHADEMA bado linamtafuna kupita kiasi. Alijiona yeye ndiyo yeye ndani ya CHADEMA hivyo pamoja na usaliti wake CHADEMA wasingweza kumchukulia hatua zozote zile sasa IMEKULA KWAKE.
Taratibu zote alikua anazijua sasa sijui anaendelea kulalamika nini?