Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

Akili za mjinga huwaza ujinga.

Mkuu,ujinga wangu ni nini? Kwani wafuasi wa Chama tawala si wanadai na kuamini kuwa Zitto ndiyo kiongozi bora kushinda viongozi wote wa Chadema? Ila cha ajabu kwenye chama chao hawamuhitaji. Kweli Zitto ni zaidi ya Kikwete.
 
Inamtesa sana kufukuzwa na lebo ya usaliti haitamtoka kamwe na ndiyo sababu MACCM pamoja na kummwagia masifa million kidogo lakini hawatathubutu kumkaribisha kwenye chama chao cha wahuni kwa kujua huyu kalelewa CHADEMA tangu akiwa teenager hadi sasa mtu mzima na walimuamini na kumpa wadhifa wa juu pamoja na kuwa na umri mdogo lakini bado akawasaliti. Je, tukimkaribisha CCM ni kipi kitakachomzuia kuendeleza usaliti wake? Wakamtolea nje sasa anahangaika kutafuta mahali pa kuendeleza usaliti wake.



Alijiona yeye ni bora kuliko shibuda mpaka eti apewe barua.
Kumbe hakujua shibuda keshafukuzwa, Chadema hatuna muda wala hatuwezi tumia ruzuku ya kununulia karatasi na wino kuandika barua.
 
Mkuu,ujinga wangu ni nini? Kwani wafuasi wa Chama tawala si wanadai na kuamini kuwa Zitto ndiyo kiongozi bora kushinda viongozi wote wa Chadema? Ila cha ajabu kwenye chama chao hawamuhitaji. Kweli Zitto ni zaidi ya Kikwete.

kamanda , huyo mshikaji hajakuelewa , tusameheane jamani , si mnajua vita havina macho .
 
Zitto ameisha kisiasa saiv tena nahisi atakuwa anapiga kelele tu, lakin kama atajiunga na CUF ataendelea kuwa mwiba mkali Zaidi otherwise hivyo vyama vyengine madam vimeingia sura ya kwamba vinafadhiliwa na ccm itachukua muda sana watu kumuelewa watu watamchukulia ni msaliti tu.
 
Amekuoneni wapumbavu, ni nini ambacho hakukisema bungeni wakati anaaga bunge aje kutusumbua tu sisi tumepatana kuibana kq.
 
Zitto[/MENTION] hebu waache kidogo pro-Chadema wapumzike.

Umewafanya wamesahau kabisa habari za UKAWA.

Inawezekana anakwenda kutangaza kugombea ubunge Chalinze kwa kuwa amesema atakuwa bungeni Novemba huku akiwa amega kwao kuwa hagombei tena ubunge.
 
Zitto ameisha kisiasa saiv tena nahisi atakuwa anapiga kelele tu, lakin kama atajiunga na CUF ataendelea kuwa mwiba mkali Zaidi otherwise hivyo vyama vyengine madam vimeingia sura ya kwamba vinafadhiliwa na ccm itachukua muda sana watu kumuelewa watu watamchukulia ni msaliti tu.

Usiwe na pressure mkuu,hii ni mwanzo huyo ndo Zito
 
Lol! kwi kwi kwi kwi Kiherehere cha Zitto msaliti.

Mshaurini atulir kwanza. Huyu jamaa kihere.here cha nini? Nadhani sasa ni muda mwafaka wa kukutana na Maswi ili zile ngumi zipigwe.
 
wao walikuwa na mkakati mnzuri tatizo lao walifeli kuhifadhi,yaani unahifadhi nyanga zako za mkakati halafu unaeka kwenye laptop na unaenda nayo kwenye mkutano ambao walengwa wamo ndani,ukiwa na mikakati weka barriers zote ili adui asijue

Viongozi wakuu wa ACT na ambao wanategemewa!
 
ccm wanajaribu kumtumia kibaraka wao lakini hamna kitu...zitto should have known it better...hushangai akina slaa hawasumbuliwi na wewe na huna baya la kuwasema?
 
Pamoja na mapungufu ya mwigamba lakini nadhani ndie mwenye akili kuliko wasaliti wengine , maana alisema , nanukuu ' nilijua huu MKAKATI UKIFELI TUTAFUKUZWA KWENYE CHAMA '
Hivi yule MM2 alishapatikana?
 
Clouds Fm kupitia CCM walikuwa wanataka kurusha Live press hiyo lakini Rais Obama amesema CNN watarusha press hiyo.
Kweli Zitto ni zaidi ya Kikwete lakini cha ajabu CCM hawamtaki
 
Back
Top Bottom