AmejiondoaAttention seeker .......just a publicity stunt,,,,,,,,,,,kesho atasema amejiondoa au amefukuzwa ?""""""
Alipewa utemi na wazee wa KIGOMA tena kasulu baada yakutaka kuvuliwa uanachama akaenda mahakamani.Mkutano alio ufanya kasulu ndo wazee walimkabidhi UTEMI.suala lingine utemi mkoa wa kigoma haupo wa RUSIMBI pekee.kuna koo nyingi sana zilizotoa utemi mfano WAKARANGA,WALIMA,WASINDI hizi zote zilitoa koo katika maeneo yao hasa huko MANYOVU.Unapoziunganisha koo zote zilizopo mkoani kigoma ndo hutapata kabila la WAHA.Kwahiyo alipewa UTEMI na WAZEE wa kigoma bila kuangalia katokea ukoo gani.Ndo mana Mbowe alipewa utemi na WASUKUMA haliyakuwa ye ni Mchiga.Kuna vigezo huangaliwa nje ya ukoo unaotoka.[/QUOTyako, ,Kijana naona unahama hama kutoka Kalinzi kwenda Kasulu. Kazi ya upambe ni ngumu sana, karibu kuwa na mawazo huru. Yaani kwa kuwa Mbowe alipewa utemi na Wasukuma basi Zitto naye alipewa utemi Kasulu (sio Kalinzi tena)! Kitu usichokijua ni vema kuwa kimya; ni heri kuwa Mbinga kulikoni kuwa upumbavu.
Kasulu, ukoo wa Kitemi ni UPI? Kihistoria hakuna mtemi wa Kigoma, bali watemi wa maeneo kadhaa. Huko Kasulu Mtemi wa mwisho ni Theresa Ntare, utajua ni wa mlango UPI?
Unapoleta suala LA Utemi wa Mbowe Usukumani, ndio mambo Yale Yale ninayopinga-siasa za upambe na kusaka tonge. Jihadhari na hizo siasa Poti, utaishia kuwa mpambe wa Wanasiasa. Binafsi sina ugomvi na Zitto, na natamani sana ayafikie maono yake, lkn Nina wasiwasi na wapambe wa aina yako, sioni kama mnaweza kumsaidia mdogo wangu.
Zitto, naamini yuko hapa, ni vema asimamie masuala na sio kupambana na Chadema.
Vv
Ufipani hakukaliki leo,balaaa
Hivi ACT imeanza juz juz sasa ina matawi sehem nying tu, office, vifaa n so on. hiz hela wamepata wap? na kwa ruzuku ip? nan ameifadhil? na hela kapata wp? yy ni mjamaa na posho bungen alkua hachukyi? whr did those money from?NAWASILISHA
Alipewa utemi na wazee wa KIGOMA tena kasulu baada yakutaka kuvuliwa uanachama akaenda mahakamani.Mkutano alio ufanya kasulu ndo wazee walimkabidhi UTEMI.suala lingine utemi mkoa wa kigoma haupo wa RUSIMBI pekee.kuna koo nyingi sana zilizotoa utemi mfano WAKARANGA,WALIMA,WASINDI hizi zote zilitoa koo katika maeneo yao hasa huko MANYOVU.Unapoziunganisha koo zote zilizopo mkoani kigoma ndo hutapata kabila la WAHA.Kwahiyo alipewa UTEMI na WAZEE wa kigoma bila kuangalia katokea ukoo gani.Ndo mana Mbowe alipewa utemi na WASUKUMA haliyakuwa ye ni Mchiga.Kuna vigezo huangaliwa nje ya ukoo unaotoka.[/QUOTyako, ,Kijana naona unahama hama kutoka Kalinzi kwenda Kasulu. Kazi ya upambe ni ngumu sana, karibu kuwa na mawazo huru. Yaani kwa kuwa Mbowe alipewa utemi na Wasukuma basi Zitto naye alipewa utemi Kasulu (sio Kalinzi tena)! Kitu usichokijua ni vema kuwa kimya; ni heri kuwa Mbinga kulikoni kuwa upumbavu.
Kasulu, ukoo wa Kitemi ni UPI? Kihistoria hakuna mtemi wa Kigoma, bali watemi wa maeneo kadhaa. Huko Kasulu Mtemi wa mwisho ni Theresa Ntare, utajua ni wa mlango UPI?
Unapoleta suala LA Utemi wa Mbowe Usukumani, ndio mambo Yale Yale ninayopinga-siasa za upambe na kusaka tonge. Jihadhari na hizo siasa Poti, utaishia kuwa mpambe wa Wanasiasa. Binafsi sina ugomvi na Zitto, na natamani sana ayafikie maono yake, lkn Nina wasiwasi na wapambe wa aina yako, sioni kama mnaweza kumsaidia mdogo wangu.
Zitto, naamini yuko hapa, ni vema asimamie masuala na sio kupambana na Chadema.
Vv
UTEMI ni kutafuta tu attention ya kisiasa
Zitto[/MENTION] hebu waache kidogo pro-Chadema wapumzike.
Umewafanya wamesahau kabisa habari za UKAWA.

tumemjua sema kwa umri wake tumeacha ajimalize mwenyewe.
Wanafadhiliwa na MACCM Mkuu kwa ajili ya kutumiwa ili kuisaliti CHADEMA.
![]()
Mbinu dhaifu.Nilitarajia aende moja kwa moja Act.
Kwani anaenda kueleza nini ambacho hatukijui?
Anatafuta huruma ya watanzania.....
Zitto ni mtu makini huwa hakosei ana wazidi akili viongozi wote wa chadema.
Zitto ni zaidi ya Kikwete...lakini CCM hawamtaki.
Zitto ni mtu makini huwa hakosei ana wazidi akili viongozi wote wa chadema.
Uenyekiti wa maisha sasa ameupata ACT.. SACCOS YAKE NA KITILA. HANG'OKI KAMA MREMA.