wewe huna jipya nimekuzoea,kila siku unaandika huu huu mstari,kajipange upya walau uongeze nyama nyama ili ueleweke
Kidume cha maana na mbegu hikoo
Zitto[/MENTION] hebu waache kidogo pro-Chadema wapumzike.
Umewafanya wamesahau kabisa habari za UKAWA.
Hakika Bavicha ,Slaa na Mbowe +Lema na Lissu hawatopata usingizi!
Zitto[/MENTION] hebu waache kidogo pro-Chadema wapumzike.
Umewafanya wamesahau kabisa habari za UKAWA.
Hakika Bavicha ,Slaa na Mbowe +Lema na Lissu hawatopata usingizi!
Big up jembe ZZK.We are together!!
Zitto kesho ni kuongea vitu positive tu,wachane kisomi hao form four fighting for food for four years
Tulieni mzalendo afanye yake.Nyie simmeshamalizana nae.Hakuna jipya. Atazungumzia udini, ukabila na ukanda.
Atawasakama Mbowe, Dr. Slaa, Tundu Lisu na Lema.
Ataibua kashfa za ufisadi dhidi ya Mbowe na Slaa.
Atakipakazia chama tuhuma za ugaidi..
Mwisho atatoa maelezo yatakayothibitisha kuwa MKAKATI WA MABADILIKO ALISHIRIKI KUUANDAA. Na tena vijana waliokuwa wanahujumu chama mitandaoni ilikuwa ni maagizo yako.
Zitto[/MENTION] hebu waache kidogo pro-Chadema wapumzike.
Umewafanya wamesahau kabisa habari za UKAWA.
Hakika Bavicha ,Slaa na Mbowe +Lema na Lissu hawatopata usingizi!
Big up jembe ZZK.We are together!!
Kweli mkuu lazima mzalendo apewe sapoti.Tunakusubiri Zitto,bila wewe vijana tusingeshabikia siasa.
Hakuna jipya. Atazungumzia udini, ukabila na ukanda.
Atawasakama Mbowe, Dr. Slaa, Tundu Lisu na Lema.
Ataibua kashfa za ufisadi dhidi ya Mbowe na Slaa.
Atakipakazia chama tuhuma za ugaidi..
Mwisho atatoa maelezo yatakayothibitisha kuwa MKAKATI WA MABADILIKO ALISHIRIKI KUUANDAA. Na tena vijana waliokuwa wanahujumu chama mitandaoni ilikuwa ni maagizo yako.
Kuna watu hawaijui CHADEMA, wanadhani wako huru kutoa mawazo yao kumbe hali sivyo ilivyo.
Ukishaingia CHADEMA haki yako ni kukaa kimya tu hata kama unaona mambo sivyo. Ukithubutu tu basi wewe Msaliti. Nimeona Msigwa naye ananyemelewa kuitwa msaliti baada ya kupost picha kwenye FB akiwa na Lowassa.
Childsh kila siku Matamko!!! alafu heti nae anautaka urais, Jk ameifanya taasisi ya Urais ionekane rahisi sana, yani ni sawa na kuwa mkuu wa shule ya kata.
Kama unamuombea zitto awe kama mlema basi sahau.Zitto kazi yake ni kupambana na ufisadi afanye ccm afanye cdm ye atasema maana zitto ndo sauti ya wanyonge na ameonesha hilo kwa kukataa POSHO.Ninyi mnasumbuka na kuji-stress bure. Yaani mnaamini kabisa na kutegemea mgongo wa Zitto kupambana na Chadema ili CCM ipande chati dhidi ya Chadema! Kama Kitila na Mwigamba hawakufanya hivyo Zitto atawezaje?
Zitto ana maono makubwa sana, na ili afanikiwe kuyafikia lzm awe na nidhamu ya hali ya juu zaidi ya aliyokuwa nayo Chadema; ugomvi wa Zitto sio dhidi ya Chadema kama chama na ndio maana imeshindikana suluhu.
Kama Zitto akiingia ktk mtego wa kupambana na Chadema basi ataishia kuwa kama Mrema wa TLP na ndio mwisho wake.
Vv
Hizi ndizo hoja muflisi atakazotoa Zitto kesho.
ACT imekufa kabla ya wakati.
Tukio muhimu na la kihistoria!!!!!!