Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

ccm wanajaribu kumtumia kibaraka wao lakini hamna kitu...zitto should have known it better...hushangai akina slaa hawasumbuliwi na wewe na huna baya la kuwasema?
Kuna wakati walisema ana kadi ya CCM na hajawahi kuirudisha.
 
Childsh kila siku Matamko!!! alafu heti nae anautaka urais, Jk ameifanya taasisi ya Urais ionekane rahisi sana, yani ni sawa na kuwa mkuu wa shule ya kata.
 
Habebeki hatakiwi na chama cha wananchi waliowengi. Ccm walimtumia kama toilet paper kujisafishia matango sasa waamue kukaa na mav au wamtupe. Sisi hatutaki uchafu wacha wapo ccm.
 
Zzk chamani
 

Attachments

  • 1426965071425.jpg
    1426965071425.jpg
    13.6 KB · Views: 248
Yaan cjawah kuona mbunge msaliti kama zitto kabwe!!!!aungane tu na waliokir mbele ya cc kuwa ni kwel wamefanya usalit!!!mwigamba,na kitila mkumbo a.k.a leprofesari!!!
 
Zzk ndo kiboko yao watu hawalali cku iz,mtajuta kumfahamu hyo jamaa ngoja awaanike kwnza.
 
TAARIFA KWA UMMA
mwami Zitto Kabwe. Kesho tarehe 22-3-2015 atazungumza na waandishi wa Habari.

Tukio Hilo muhimu na la kihistoria litafanyika SERENA HOTEL kuanzia saa Tano Kamili asubuhi.

Tafadhali fika bila kukosa kupata kujua mustakabali wa siasa za kweli Tanzania.

Imetolewa na idara ya Habari ya Zitto Zuberi Kabwe.

NB.watakaoenda watu-update

Mleta hoja, unajua maana ya 'Mwami? Mbona mnapenda kutukuza watu ninyi?

Vv
 
Inawezekana anakwenda kutangaza kugombea ubunge Chalinze kwa kuwa amesema atakuwa bungeni Novemba huku akiwa amega kwao kuwa hagombei tena ubunge.

Huo wote ni unafiki mkuu. Asivyo na aibu amewafanyi a mpaka wa kwao
 
Zitto nakushauri uende BBC News, DW na Al Jazeera
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom