Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

Haya ndio maendeleo wanayo tuletea upinzani, imekua kama vikundi vya taarab.
 
Kuna tangazo hapa kwenye TBC1 la ACT wazalendo, wana uhusiano na ACT ya akina Mwigamba?
 
Kuna tangazo hapa kwenye TBC1 la ACT wazalendo, wana uhusiano na ACT ya akina Mwigamba?
Ndiyo hao waliofukizwa Chadema kisa kupingana mitazamo na fikra na Mbowe pamoja na Slaa, wakaitwa wasaliti lakini cha kushangaza Chadema wamewafukuza lakini bado wanawafuatilia.
 
Huyu Zitto hana tofauti na DC Makonda, kila jambo Press!! (Wanapenda media coverage). Nikawaida utendaji kujitenga na porojo. Hata kama hauna media.

Wanahabari kuweni makini make watawahita hata kwa mambo ya kitahira!
 
Sasa hivi intelijensia yao uchwara imeanza kumsaka
Kuna watu hawaijui CHADEMA, wanadhani wako huru kutoa mawazo yao kumbe hali sivyo ilivyo.
Ukishaingia CHADEMA haki yako ni kukaa kimya tu hata kama unaona mambo sivyo. Ukithubutu tu basi wewe Msaliti. Nimeona Msigwa naye ananyemelewa kuitwa msaliti baada ya kupost picha kwenye FB akiwa na Lowassa.
 
Hizi ni dalili za kuchanganyikiwa! Kila siku matamko! Nawapongeza cdm wako kimya, wanaendelea na shughuli zao!

Kama matamko yangekuwa yana mfanya mtu au kikundi kuchanganyikiwa basi viongozi wa chadema wangekuwa wanaokota makopo.
 
Zitto kesho ni kuongea vitu positive tu,wachane kisomi hao form four fighting for food for four years
 
Back
Top Bottom