Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

Huyu ana stress na kamwe haziwezi kuisha kwa kujifanya hauna stress. Ni lazima akubaliane na ukweli kwamba yuko stressed. Ili kuondoa stress ni lazima au mkweli kwa nafsi yake na njia rahisi kama anataka kunusuru maisha yake ni kuangua kilio mbele za watu hiyo itamsaidia sana kumalizana na hili swala. Ukijifanya uko ngangari kama anavyojifanya sasa itamla ndani kwa ndani na baadaye ikija kujitokeza nje itakuwa too late. Stress mbaya sana watu walimpotosha hakukuwa na sababu ya kujiuzuru ubunge wakati hakuna mtu aliyekuwa anamfatilia cdm wala hawana time naye anahangaika tu mwenyewe.

Uponyaji wake mwingine ni kuwatukana tu wabaya wake itamsaidia kupunguza stress akijifanya mstaarabu kama watu wanavyomdanganya itakula kwake. Awatukane halafu atundike daruga la siasa akamalizie PhD yake aanze kufundisha mambo ya gas maana nasikia serikali wanataka kufungua chuo kikuu cha gas!

Achukua huu ushauri kwa mstakabali wa afya yake. Afya ni muhimu sana maana ukiwa nayo unaweza kufanya chochote. Acheni kumvimbisha kichwa huyu yuko stressed!

Uo ushauli ungempa Babu SLAA analiwa mke nawalinzi wake ungemsaidia sana.
 
Zitto kaanzisha CHAUMA kimemshinda na sasa anahamia kwenye chama kilichomshinda kabla ya wakati - ACT.
Sindo msherekee sasa kama kimemshinda kabla yawakati lakini bungeni atarudi kupitia chama hicho hicho kilichomshinda kabla wakati tena kupitia jimbo la UBUNGO.
 
Huyu kijana ana matatizo. Sijaona umuhumu wa hizi hotuba mara waraka wake wakati hana ushahidi wa kimaandishi wa kufutwa chama. Ana haraka gani, si asubiri apewe barua ya mkufukuza? Sasa ana aga hadi bungeni wakati hakuna ushahidi wa kimaandishi kuwa kafutwa chama, ni nini maana yake? Aliyemshauri kampoteza.

Mkuu umekariri kwamba ushahid lazima uwe wa maandishi, hata sauti na video za Tundu Lisu pia zinaweza kutumika kama ushahid
 
Kwa hiyo unaungana na mleta hoja kuwa Zitto ni Mwami? Kama ndivyo, Zitto ni Mwami kivipi? Ni vema kumpata heshima yake lkn ni kosa kumtukuza kiasi asichostahili.

Vv
Kila kabila hutoa UTEMI kulingana na vigezo vyake so wazee wa Kigoma waliona anastahili heshima hiyo ya utemi ikabidi wampe.Na kama sijasahau jina lake la utemi ni MTEMI RUYAGWA.
 
Ingekuwa wanaCHADEMA wamesahau kabisa habari za UKAWA zile chaguzi za marudio Serikali za mitaa kule Sumbawanga, Shinyanga, geita na hapa Dar es salaam CCM ingetumia mwanya huo kushinda lakini kilichotokea unakijua na haujawahi kuchangia chochote thread zilizoleta matokeo hayo.

Chadema haina sera, pesa wala mpango mkakati wa kumkomboa mwananchi au hata kuingia ikulu. Ushindi mdogo unatokana na wananchi kukosa alternative ni hayo tu kwa sasa
 
ImageUploadedByJamiiForums1426971813.575042.jpg
 
Kila kabila hutoa UTEMI kulingana na vigezo vyake so wazee wa Kigoma waliona anastahili heshima hiyo ya utemi ikabidi wampe.Na kama sijasahau jina lake la utemi ni MTEMI RUYAGWA.

Wazee wa kabisa gani hao walioona Zitto anastahiki utemi na ikabidi wampe? Wabwali au Waha? Na ni wa mlango gani hao, maana pande unayozungumzia Utemi uko kwa Wajiji tena kwenye uko wa Rusimbi. Dadavua zaidi, usituletee porojo na siasa za upambe na kupamba watu.

Yatosha kumwita Zitto Mheshimiwa kama
Wabunge na wakuu wetu waluvyotuamuru tuwaite.

Vv
 
Ulitarajia wewe nani usimpangie Zitto afuate fikra zako, naona pro-Chadema mnalia lia ovyo tu.

Na wewe si CCM?ZITO anakuuma nini? kinachokufanya ushangilie ni nini? Mbona wakati anaikomalia ESCROW mlimtukana?
 
IMANI ya WANA ACT Tanzania

Nasadiki kwa Bwana Mmoja, Zitto Kabwe, aliyekulia CDM, tangu ujana wake, Zitto aliyetoka kwa Zuberi
, Jembe kwa Jembe, Mtu kweli kwa mtu kweli, kiongozi kwa kuzaliwa sio kupikwa, ambaye CDm imejengwa naye, akashuka toka CDM, kwa ajili ya kuijenga ACT, na kwa ajili ya demokrasia.

Akauza utu kwa vipande vya fedha, akawa MSALITI.

(Hapo wanainama kidogo)

Akahukumiwa pia, kwa ajili ya ACT, na kwa ajili ya wanunuzi wake. Akafukuzwa chamani, kama ilivyoandikwa. Siku ya 9 akang'atuka ubunge, akapaa ACT, amewekwa kwenye Uenyekiti, na kutokea huko atakuja kuikoa nchi kiuchumi na kidemokrasia, nao utawala wake hautakosa haki,

nasadiki kwa kitila, bwana mshauri wa ajabu, atokaye kwa Zito na Mwigamba, anayeabudiwa na kutukuzwa, pamoja na zito na Mwigamba, aliyenena kwa vinywa vya magazeti.

nasadiki kwa Act moja, penda haki, demokrasia na ya kijamaa...

Hivi mbona unapenda umaarufu kwa mgongo wa zitto.
Wewe mwanaume tafuta mafanikio kwa miguu yako
 
Kwa hili la kwenda act intelejensia ya chadema ipo juu sana yaani walianza kuunda chama ndani ya chama!!!ndo mana wanaolia wengi ni maccm chadema mpango wa mungu!!!
 
Wazee wa kabisa gani hao walioona Zitto anastahiki utemi na ikabidi wampe? Wabwali au Waha? Na ni wa mlango gani hao, maana pande unayozungumzia Utemi uko kwa Wajiji tena kwenye uko wa Rusimbi. Dadavua zaidi, usituletee porojo na siasa za upambe na kupamba watu
Yatosha kumwita Zitto Mheshimiwa kama
Wabunge na wakuu wetu waluvyotuamuru tuwaite.

Vv

Alipewa utemi na wazee wa KIGOMA tena kasulu baada yakutaka kuvuliwa uanachama akaenda mahakamani.Mkutano alio ufanya kasulu ndo wazee walimkabidhi UTEMI.suala lingine utemi mkoa wa kigoma haupo wa RUSIMBI pekee.kuna koo nyingi sana zilizotoa utemi mfano WAKARANGA,WALIMA,WASINDI hizi zote zilitoa koo katika maeneo yao hasa huko MANYOVU.Unapoziunganisha koo zote zilizopo mkoani kigoma ndo hutapata kabila la WAHA.Kwahiyo alipewa UTEMI na WAZEE wa kigoma bila kuangalia katokea ukoo gani.Ndo mana Mbowe alipewa utemi na WASUKUMA haliyakuwa ye ni Mchiga.Kuna vigezo huangaliwa nje ya ukoo unaotoka.
 
Attention seeker .......just a publicity stunt,,,,,,,,,,,kesho atasema amejiondoa au amefukuzwa ?""""""
 
Back
Top Bottom