Zitto afunga mjadala kuhusu yeye kugombea urais

Zitto afunga mjadala kuhusu yeye kugombea urais

AMA KWA HAKIKA KILA CHENYE MWANZO HAKIKOSI KUWA NA MWSHO,

WHAT I SEE NI KWAMBA ZUBERI KABWE MATUNGURI ZAMA ZAKE ZINAEKEKEA UKINGONI SASA

ALIKUA ANA HAJA GANI KULIZUNGUMZA HILO??
1.NANI KAMWAMBIA ANAMUHITAJI YEYE KUWA RAIS WA NCHI HII??

2.
kipi sasa kinachomfanya awe kimya ni kwa kuwa keshaona hakubaliki baada ya kupima upepo??
3.kama kaamua kukaa kimya kwa sasa kinachomfanya aamini akija baadae kuitangaza nia hiyo atakubarika baada ya uchafuz wote huo alioufanya kwa chama chetu??

mimi nadhani sasa inatosha yeye akageukia rasmi taaluma yake ya ulozi,ila ikulu yetu hatuwez kuwapa wapiga ramli hata siku moja
zitto zuberi kabwe matunguri asahau ndoto zake hizo za alinacha
 
kwa kuwa wewe ni mwana ccm hayo ndio maneno yenu.ila sisi wana chadema tunamuona mtu safi

mimi sio CCM ila nimesema fact! habu fuatilia ishu ya Zito kutamka kuwa atagombea urais. haikuanza hivi karibuni. amekuwa akiitoa...inapoleta mjadala katika chama chake mara anaibuka na kauli za kupoza moto...kunakuwa kimya..then baada ya muda anaibuka tena na kauli hiyo hiyo! hapo wewe huoni ukigeugeu wa Zito? i like CDM a lot lakini na-hate watu wanaotengeneza migogoro ndani ya CDM
 
kwa kuwa wewe ni mwana ccm hayo ndio maneno yenu.ila sisi wana chadema tunamuona mtu safi

WANACHADEMA GANI WANAEMUONA ZITTO NI MSAFIM KAMA SIO NYINYI MASALIA??

usafi wa mshirikina unapatikana vipi??
 
Hongera kaka, maana haina haja ya papara kama utateuliwa basi ridhaa utapata, chama na mshikaamano ni silaha thabiti kwa ukombozi wa nchi. Hima wapenda mabadiliko, mikakati thabiti 2013 inatakiwa kuwekwa ili kujipanga na serikali za mitaa na 2015 kuondoa ufedhuli wa wanyonyaji wenye rangi nyeusi (WEUSISIManyonyaji).Zitto rudi kundini na endelea kuweka na kusaidiana na wapambanaji wengine katika kupanga mikakati na dira thabiti ya kuikomboa nchi.
 
Kusema hataongelea suala hili si kufunga mjadala.

To the contrary.

Ni kuchochea mjadala.

Kama asingetaka mjadala asingeuanzisha in the first place.

Is this how he envisioned handling the presidency? By inconsistent diction?

Hardly presidential.
 
mimi sio CCM ila nimesema fact! habu fuatilia ishu ya Zito kutamka kuwa atagombea urais. haikuanza hivi karibuni. amekuwa akiitoa...inapoleta mjadala katika chama chake mara anaibuka na kauli za kupoza moto...kunakuwa kimya..then baada ya muda anaibuka tena na kauli hiyo hiyo! hapo wewe huoni ukigeugeu wa Zito? i like CDM a lot lakini na-hate watu wanaotengeneza migogoro ndani ya CDM
tunawaelewa wala amuwezi kutubabaisha.wewe kwa hayo unayoyasema ni ccm damu,kama kweli wewe ni mwana chadema niambie kadi yako ni namba ngapi na umeikatia wapi?na watu kama nyinyi ndio mnaandika majina ya uongo
 
Akitoa ufafanuzi kwenye page yake ya FB muda mfupi uliopiita Zitto ameweka wazi sasa amefunga mjadala kuhusu kugombea urais 2015

275673_100000321189166_1444157301_q.jpg
Zitto Kabwe

¨Ngoja niweke wazi kabisa. Ninaulizwa sana kuhusu suala la Urais 2015 baada ya kauli za wanachama waandamizi wa CHADEMA kunukuliwa kuzungumzia suala hilo. Jibu langu kwa wote wenye kutaka kusikia kauli yangu ni kwamba 'katika moja ya maazimio yangu ya mwaka mpya 2013 ni kutoongelea kabisa suala la Urais 2015. Hivyo sitaongelea suala hili. Sitasema kitu kuhusu suala hili mpaka baada ya Katiba mpya kupatikana na chama changu kuweka utaratibu na mchakato wake¨




ANYWAY,,
WITHOUT A FURTHER DO,,TUJIULIZE KWA UMAKIN WA HALI YA JUU SANA,,
YEYE KASEMA MIONGONI MWA MAADHIMIO YAKE YA MWAKA HUU NI KUTOLIZUNGUMZIA HILO JAMBO,KWANI HAPO KAFANYA NINI??

utakuja kuona tatizo la watanzania tulio wengi ni kukosa tafakuri ya kina na kupenda ushabiki usio na tija na bendera fuata upepo,kipi anachopongezwa zitto hapo??
juzi alikuja kupiga ramli hapa jamvin na kuomba msamaha wake wa kinafiki me nilipoanzisha mjadala wa kumtaka aje afanye clarification ya ile radhi na msamaha wake mods wakautoa ule mjadala ulikopotolea wala hakujulikaniki
kila tunaloliona na kuliskia tutafakari kwanza
wakati wengine wapo kupigania haki za walalahoi wengine kama zitto wapo hapo kupigania matumbi yao by any means necessary ikiwezekana hata kwenda kwa sangoma kwenda kuloga
HOLDING ONTO SOMEONE WHO IS NOT ADDING ANY POSITIVE VALUE TO OUR PARTY LIKE ZITTO IS NOT LOYALTY TO OUR CHADEMA,ITS A SIGN OF FEAR,HYPOCRISY AND STUPIDITY
AACHWE TUH ZITTO AJIFIE ZAKE,SI KAAMUA MWENYEWE KUJIUA NA KUNYWA SUMU??
leo anatuomba sisi maziwa ili iweje??
 
zzk msimamao kitu cha maana sana leo hili kesho hili nini ndugu yangu,kipi tukiamini hili linatudhihirishia kuwa bado huja komaa kisiasa bado kidogo na hautatufaa kwa nafasi kubwa na nyeti kama hiyo la badaye sana.
wewe sio mwana chadema ila unajifanya mwana chadema kumlaumuZeto kwa kutaka kutuchanganya sisi wana chadema. sisi wana chadema kabwe zito anatufaa na aliyosema ndio msimamo wa wana chadema wote. kinyume cha hayo ni uccm
 
Pole samson kwa yaliyokukva pale makao makuu, hayo hamtaki yaongelewe humu kwakuwa yanatoa picha halisi ya chama chenu na hasa utendaji wa babu,haya ila demokrasia ina pande mbili,tamu na chungu sa usizuie chungu ifike mitandaon kwakuwa tamu zenu zinafika,mbona ya ccm yanafika na mnayashabikia,mwaka wenu huu ati,tutayajua mengi,asante kwa masalia.

Joe---Hakuna familia ambazo hazigombani!! Hakuna aliyemkamilifu! Hakuna makundi ambayo hayatofautiani, mfano Chadema ni familia kubwa na sio wote wenye lengo zuri na chama kama wewe!! Yajulikane mengi au yasijulikane itasaidia kuleta familia pamoja na kukabiliana na madhaifu yaliyotokea/yaliyopo na kuwajua vema ambao hawatafaa kuwa ndani ya chama.

ya sisiemu bado hayajafika, yakiletwa madudu yote yaliyo ndani ya CCM chama kinakufa kabla ya 2014 na hata hao wanachama wachache walionao watawakimbia.
 
Akitoa ufafanuzi
kwenye page yake ya FB muda mfupi uliopiita Zitto ameweka wazi sasa
amefunga mjadala kuhusu kugombea urais 2015

275673_100000321189166_1444157301_q.jpg
Zitto
Kabwe

¨Ngoja niweke wazi kabisa. Ninaulizwa sana kuhusu suala
la Urais 2015 baada ya kauli za wanachama waandamizi wa CHADEMA
kunukuliwa kuzungumzia suala hilo. Jibu langu kwa wote wenye kutaka
kusikia kauli yangu ni kwamba 'katika moja ya maazimio yangu ya mwaka
mpya 2013 ni kutoongelea kabisa suala la Urais 2015. Hivyo sitaongelea
suala hili. Sitasema kitu kuhusu suala hili mpaka baada ya Katiba mpya
kupatikana na chama changu kuweka utaratibu na mchakato
wake¨



Coongrats Zitto

Kaka, respect you
 
wewe ndio mnafiki maana nani alokwambia Slaa ndio anatosha mie naona watu wengi wanakurupuka na Zitto na kwa ujinga wenu mnafanya CDM ionekane inampiga vita. Nyie sio CDM kumbe toeni opinion zenye kujenga chama na sio unafiki tuuuu, acheni demokrasia ichukue mkondo wake. Zitto hafurahishwi na haya ya kujipendekeza kwenu.
 
Inakuwaje anasubiri katiba wakati aliazimia kugombea uraisi kabla hata Kikwete hajalazimishwa akubali mchakato wa Katiba mpya? (2010) Kigoma kwenye kampeni za Ubunge.

Je na yeye alikuwa ni mmojawapo wa wengi ambao hawajawahi kuiona na kuisoma Katiba yetu ya sasa? Kitu ambacho siamin hata kidogo.

Kweli ni vigumu kuelewa malengo ya ZZK.
 
Umeonaee!.. Ni mkweli Saaaana ndiyo maana anasifiwa tu humu mtandaoni!.. Atagombea urais kupitia chama chake! .. CHAUMA!.... Alibadili uamuzi wa kugombea ubunge GEITA na kwingineko!.. Akishinda Kafulila waziri mkuu, Mchange Spika, na masalia woote vyeo viwiliviwili!
sometimes jokes zinakubaliwa ktk issue makini ndo maana wengine wameipenda big up ila ukweli unasisima nao pia mtu huyohuyo kaupenda .
 
WANACHADEMA GANI WANAEMUONA ZITTO NI MSAFIM KAMA SIO NYINYI MASALIA??

usafi wa mshirikina unapatikana vipi??
Mbowe na Slaa ndio maana wanatangaza hadharani hawana chuki wala mgogoro katika top management ambayo zitto ni mmoja wapo. wenzenu Mbowe na Slaa wanamgwaya nyie watoto walito ndio kila kukicha mnatokwa mapovu mitandaoni kumponda zitto mkiongozwa na Ben Saanane, yeriko nyerere cjui nyerere wawapi huyu na malimbukeni wengine wa siasa
 
Back
Top Bottom