Reina princess
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 1,322
- 1,503
- Thread starter
- #81
Wakati mwingine anaweza akawa hana jamaniUkimuomba hela anakupa muda huo huo hakuzungushi
Wakati mwingine anaweza akawa hana jamaniUkimuomba hela anakupa muda huo huo hakuzungushi
Unamaanisha anajibu kwa dharau?kukujibu atakavyo
Maisha Bila mwanaumeachaneni na wanaume jamani.kuna maisha bila wanaume pia
AHAHAAAAHii naona thread ya wasioa na kuolewa tu ,mi mzee wa wake wanne wacha niendeleze zamu za kugegeda !zamu ya nani leo?zamu ya muke mudogo! Alamsiki!
Tupo. Wewe uko wapi?Hivi humu amna wabongo wanaoishi ughaibuni kama Australia canada norway n.k
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii naona thread ya wasioa na kuolewa tu ,mi mzee wa wake wanne wacha niendeleze zamu za kugegeda !zamu ya nani leo?zamu ya muke mudogo! Alamsiki!
Hapo anatamani uondoke. Kweli moyo kichaka.Afu wakati mwingine ukifika tyuu ghetto anakuwa busy usipime... Yaani hii yote kukuchanganya na kukuacha solemba ... Yaani hapana kaa na wewe na kuzungumza iyo nafasi hakupi ng'o... Ñ anatamanii uondoke mapema coz unaonekana kero kwake...
Moyo unabeba mambo mengi Sana... Ukiona ivyo jifunze kusoma nyakati huyo si wako tena ...Hapo anatamani uondoke. Kweli moyo kichaka
Asante...yaan nahisi kuwachukia..achaneni na wanaume jamani.kuna maisha bila wanaume pia
WACHUKIE KABISAAsante...yaan nahisi kuwachukia..
Ndo maana nikataka kujuzwa hizi dalili. Zingine haziko wazi ila ukiwa makini kuangalia unajua wapi umesimama.Moyo unabeba mambo mengi Sana... Ukiona ivyo jifunze kusoma nyakati huyo si wako tena ...
Kuwa muwaziii mammiii !! shemela haelewekiii ryt... Ila msikilizie sometime huwa wapo kwa mood so akikaa sawa mambo yatarudi kama mwanzo sawa eehNdo maana nikataka kujuzwa hizi dalili. Zingine haziko wazi ila ukiwa makini kuangalia unajua wapi umesimama.
Wanawake wanawahitaji wanaume, vivyo hivyo kwa wanaume. TunahitajianaPunda bila fimbo haend ,
Na kwa wanawake ni hvo hvo bila wanaume wanawake hawawez kabsa kustay ,
Assume ww tu hapo umekaaaa miez minne uko busy road au kazn Hanna hata boy yoyte anae kuapproach vp utajisiaje ,,? Hautakimbilia kioo kwenda kujiona view yako uko
Nawachukia...isingekua Dhambi...mapenzi ya jinsia moja...ningekua na mpnz wa kike..ila men pyeeeeeWACHUKIE KABISA
Usiwachukie. Wote tunahitajianaAsante...yaan nahisi kuwachukia..