Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,877
kwaiyo kama mwanamke hana mwanaume ni msagaji?Cha ukoboaji???
kwaiyo kama mwanamke hana mwanaume ni msagaji?Cha ukoboaji???
AsanteMawasiliano yanapungua, yeye anajidai yuko busy, kubwa zaidi mkiwasiliana anaongea kwa kifupi au mkitaniana anatania utani unaofanana na kweli ili akuumize
Hakuna nilipotaka ushauriKwahyo ulivyotaka tukushauli ni uongo?
Unamtafutia sababu? Kwa nini usimuache kistaarabu?Huwa natafuta sababu ndogo tu ili anijibu vibaya na habari inakuwa imeishia hapo ila ni kwa mchepuko si wa Ubavu wangu.
Utakuwa natatizo si bure yaan we upo kwenye uhusiano badala ya kufikiri na kutafuta njia ya kudumisha penzi lenu na kiriimarisha wewe uanze kuchunguza kuchokwaHeshima mbele...
Hivi ni dalili gani ambazo mwanaume huzionyesha ambazo mwanamke ukishaziona tu, uanze kukusanya kila kilicho chako na kujiandaa kisaikolojia kwamba penzi linakaribia ukingoni na unaelekea kuachwa?
Kwenu wanaume... mke au mpenzi wako ukianza kumchoka huwa unajikuta unafanya au hufanyi nini?
Kistaarabu hatuwezi achana tutaendelea tamanianaUnamtafutia sababu? Kwa nini usimuache kistaarabu?
Kwa nini? PoleSijawah kumchoka MTU wao ndo wanatafutaga sababu ya kuachana nami nikishajua Basi nakuruhusu uende kiroho safi
Hujasoma vizuri. Hakuna uchunguzi hapoUtakuwa natatizo si bure yaan we upo kwenye uhusiano badala ya kufikiri na kutafuta njia ya kudumisha penzi lenu na kiriimarisha wewe uanze kuchunguza kuchokwa
Hii ni hatari sana
Nature Yangu unajua kwenye kupenda hatufanan me najijua nilikuwa napenda mtu mnooo yani but kwa sasa nishajifunzaKwa nini? Pole
Ni bora ukamwambia mtu imetosha tuachane kuliko kumtafutia kisa. Sio vizuriKistaarabu hatuwezi achana tutaendelea tamaniana
Mara nyingi wanaopenda kwa moyo wote huishia kuumizwa sana. Wale wasiojali, wanaoyachukulia mapenzi poa ndio hufurahia.Nature Yangu unajua kwenye kupenda hatufanan me najijua nilikuwa napenda mtu mnooo yani but kwa sasa nishajifunza
Usikilize wimbo wa Ben P.. Moyo mashine utanielewa namaanisha nini,katika mapenzi huwezi mwambia mwenzio kirahisirahisi kuwa tuachane.Ni bora ukamwambia mtu imetosha tuachane kuliko kumtafutia kisa. Sio vizuri
Nimejifunza kitu hapa. Ila hiyo sentensi ya mwisho sijaielewaAnakuwa mbahili kwa kiwango cha phd...dhidi yako..... hapo...na hana 7bu ya maana ya kukunyima.....tafutaga shangazi kaja mapema.....
Halafu,unatumia ndizi,carot au za bandia kujikuna?achaneni na wanaume jamani.kuna maisha bila wanaume pia
Asante sana kwa mchango mzuri. Nitautafuta huo wimbo.Usikilize wimbo wa Ben P.. Moyo mashine utanielewa namaanisha nini,katika mapenzi huwezi mwambia mwenzio kirahisirahisi kuwa tuachane.