Zipi ni dalili za mwanaume kukuchoka?

Zipi ni dalili za mwanaume kukuchoka?

Pole mamito.

Wanasemaga ukimwonyesha mtu unampenda sana mwisho wake huwa ni kutendwa. Sasa sijui tupende miti....
hapo sasa .tatzo wanaume wengii ni waongoo...mwngne kabsa anakwambia nna girlfriend au mke kabsa na watoto very comfortably cjui anakuona kama ganda la ndiziii..
Hawa viumbe most of them hawawazi hisia za wenzao...Tamaa Mbele, zipu mbovu...
Mtarogwaaaa
 
Nimepitia maandiko ya mleta uzi vile anavyo reply comments......
Nime gundua tu kwamba mleta uzi bado ni msichana. Hapo ndipo letauzi ameanza kukutana na dhoruba za kukomaza.
Bahati nzuri wazee tuna amini sana katika experience ndio mwalimu mzuri kwenye huba mahaba yakichuja
 
Ila kama ameamua kukwambia ukweli, huna budi kukubaliana na hali halisi. Japo inauma sana hasa kama ulimpenda.
Mwisho wa siku kila mmoja yupo huru kumpenda yule amtakaye.
 
Nimepitia maandiko ya mleta uzi vile anavyo reply comments......
Nime gundua tu kwamba mleta uzi bado ni msichana. Hapo ndipo letauzi ameanza kukutana na dhoruba za kukomaza.
Bahati nzuri wazee tuna amini sana katika experience ndio mwalimu mzuri kwenye huba mahaba yakichuja
Hahaha... Msichana wa miaka mingapi? 20?
 
hapo sasa .tatzo wanaume wengii ni waongoo...mwngne kabsa anakwambia nna girlfriend au mke kabsa na watoto very comfortably cjui anakuona kama ganda la ndiziii..
Hawa viumbe most of them hawawazi hisia za wenzao...Tamaa Mbele, zipu mbovu...
Mtarogwaaaa
Tafuta ambaye mnakaribiana umri,waache hao wenye wachumba au familia.
 
achaneni na wanaume jamani.kuna maisha bila wanaume pia

Hii tabia ya kuwekeza kwa wanaume sijui utakuja kwisha lini? Wanaume wapo siku zote za maisha yako ! Ukimkosa sio kazi kwamba utakosa mshahara!?,sio Chakula kwamba utalala na njaa!,sio pesa kwamba Hutapata mahitaji yako! Wanaume anaye kupenda atakujali ukitimia na kujiamini jisimamie utashangaa atakavyokujali na pia mpende na kumuheshimu uliye nae! Mwanaume ni mwanaume na ndio kichwa cha familia!
 
Heshima mbele...

Hivi ni dalili gani ambazo mwanaume huzionyesha ambazo mwanamke ukishaziona tu, uanze kukusanya kila kilicho chako na kujiandaa kisaikolojia kwamba penzi linakaribia ukingoni na unaelekea kuachwa?

Kwenu wanaume... mke au mpenzi wako ukianza kumchoka huwa unajikuta unafanya au hufanyi nini?
Ni zile zile za mwanamke kukuchoka.
 
Uko sahihi kabisa ndugu
 
Hataki kufanya tendo la ndoa na wewe na akilazimika, humaliza haraka na kukataa kurudia akidai amechoka sana na usimguse kabisa.
Hakupigii mpaka umtafute na kila unapompigia hataki kuongea kwa muda mrefu na anakuwa hana stori interesting zinazogusia uhusiano wenu.
Akikuangalia hatabasamu wala kuonyesha kukufurahia.

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Mimi huwa simchoki,ila akinichoka sina muda wa kudadisi.....
 
Kuwa serious japo kwa dakika chache,umesema..!!!??

Nimewaza tu thread zako namna unavyonung'unika kuwa humpati Mr right wa kuanzisha mahusiano ya uhakika.

Uwe na wakati mwema mdada.
Mwache tu yeye hajui na hapati tunavyopeana mtani. Bila mke/mume maisha hayanogi bwana!!!
 
Heshima mbele...

Hivi ni dalili gani ambazo mwanaume huzionyesha ambazo mwanamke ukishaziona tu, uanze kukusanya kila kilicho chako na kujiandaa kisaikolojia kwamba penzi linakaribia ukingoni na unaelekea kuachwa?

Kwenu wanaume... mke au mpenzi wako ukianza kumchoka huwa unajikuta unafanya au hufanyi nini?
Tutachoka wangapi?
Mapenzi huwa yanakinahisha lakini hayachokeshi kinachotokea ni wanandoa au wapenzi kupata ishara za hisia za mapenzi kukinahi kwa sababu ya kitu kile kile kujirudia kila siku iwe ni mapenzi, chakula au muonekano wa mwenzi wako au hata mazungumzo baina ya wapenzi. Dalili hii ni ishara kwamba mahusiano yanahitaji mabadiliko hivyo kila mmoja anatakiwa kujikagua na kuangalia namna ya kuboresha na kubadili aina ya mapenzi anayotoa kwa mwenzi wake.

Kama kuna mwenye changamoto ya aina hii anitafute inbox nitamsaidia.
 
Mwache tu yeye hajui na hapati tunavyopeana mtani. Bila mke/mume maisha hayanogi bwana!!!
Frankly speaking...

I can't miss you..

Yani mpaka naugua. Kuwa na mwenza raha bhana. Wanaoona kuwa maisha bila mwenza yanawezekana huenda hawajaingia ngomani wakaujua utamu wake...

Full kujizonzomora.
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji120] hata mi.
Kujizonzomora ni lini?
 
Back
Top Bottom