lady Jay
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 530
- 659
Ahhh wapi..unatongozwa na bdo unawaona kama takatakaPunda bila fimbo haend ,
Na kwa wanawake ni hvo hvo bila wanaume wanawake hawawez kabsa kustay ,
Assume ww tu hapo umekaaaa miez minne uko busy road au kazn Hanna hata boy yoyte anae kuapproach vp utajisiaje ,,? Hautakimbilia kioo kwenda kujiona view yako uko