Zipi ni dalili za mwanaume kukuchoka?

Zipi ni dalili za mwanaume kukuchoka?

Mmh usiniambie wapi tena nikaangalie so mzibwabwe kashamwagwa?
That awkward moment when Mugabe finds out Mange was right, she is not his type ,,,,..... Vipi huko John Cena Na Emma Nkonoki a.k.a kichwa Wana hali gani?????? Walisema mu-ghana ni baby sitter vipi leo ana mbabyseat daddy???? Uwiiiiii Mugabe kanyang'anywa mume haraka hivyo why????
.
.
Haki vile nna raha Naona Muwest kaamua....... Acha niseme ukweli mu-west ni mzuri mnooooooooooooo, mi mwenyewe Naona wivu, kazuri haswaaaaa , hapa Baba Kenzo kaopoa totoz ... Na nimemwambia bora yeye Yani nimemwambia Kwa mdomo wangu yeye namkaribisha kwenye familia kwanza atatusaidia Mie Na baba Kenzo tuelewane Na wanangu hawatonyolewa tena. Yani kapata blessings Za Mke mkubwa mwenye talaka 3
.
.Nnaraha tu Leo... John Cena I told you , you ain't his type....... ... Did you even last a month????
.
.
Uwiiiii sasa mghana atani block snapchat Jamani nikianza kurusha video........ .
.
Don't block me Mughana I love you. Just wanted to have a good laugh at John Cena... Welcome to the family babyyyyyyyy....... .
.
.
Nyambaf alidhani atapata Mzungu kirahisi hivyo? Bora angeniomba vizuri nimwachie maana Nilikuwa Nishaamua kuondoka... Ila akajifanya mshenzi cheza Na mpare Mimi? Weeeeeeeeee Mbona hanae Sasa ?????aendeleeee kuuza Kwa wazimbabwe wenzie
 
Haonyeshi kujari kwako hakupigii simu wala kukutext na ukimpigia anaweza akapokea akakujib kwa ukali na unaweza kumtext na asikujibu
Aisee...

Na je kama haonyeshi wivu kabisa. Yani hata umbusu mwanaume mwingine mbele yake yeye poa tu... Nayo dalili au maumbile tu
 
Muda wa kukutana au?
Muda unagusa kila sehemu ikiwa ni pamoja na kukutana , mnaweza msikutane pia lakini akatenga muda japo wa robo saa kwa siku kwa ajili ya kukujulia hali ,kuuliza ratiba yako ya siku ilikuwaje ? Did you make anyone smile today ? Why do you think this went wrong bla bla bla

Kama alikua mtu wa kufanya hayo ila baada ya muda akawa hafanyi hayo jiulize tu instincts zako zitakuambia ukweli
 
1.Kutoona wivu pindi ukichepuka
2.Kutotaka kufanya mapenzi na wewe
3.Hasira na ubabe wa mara kwa mara usiokuwa na sababu.
4.Kununa bila sababu
5.Kujali na kushobokea wanawake wengine kuliko wewe
6.Kupunguza upendo
7.Kuchelewa kurudi nyumbani
8.Kupunguza mawasiliano
 
That awkward moment when Mugabe finds out Mange was right, she is not his type ,,,,..... Vipi huko John Cena Na Emma Nkonoki a.k.a kichwa Wana hali gani?????? Walisema mu-ghana ni baby sitter vipi leo ana mbabyseat daddy???? Uwiiiiii Mugabe kanyang'anywa mume haraka hivyo why????
.
.
Haki vile nna raha Naona Muwest kaamua....... Acha niseme ukweli mu-west ni mzuri mnooooooooooooo, mi mwenyewe Naona wivu, kazuri haswaaaaa , hapa Baba Kenzo kaopoa totoz ... Na nimemwambia bora yeye Yani nimemwambia Kwa mdomo wangu yeye namkaribisha kwenye familia kwanza atatusaidia Mie Na baba Kenzo tuelewane Na wanangu hawatonyolewa tena. Yani kapata blessings Za Mke mkubwa mwenye talaka 3
.
.Nnaraha tu Leo... John Cena I told you , you ain't his type....... ... Did you even last a month????
.
.
Uwiiiii sasa mghana atani block snapchat Jamani nikianza kurusha video........ .
.
Don't block me Mughana I love you. Just wanted to have a good laugh at John Cena... Welcome to the family babyyyyyyyy....... .
.
.
Nyambaf alidhani atapata Mzungu kirahisi hivyo? Bora angeniomba vizuri nimwachie maana Nilikuwa Nishaamua kuondoka... Ila akajifanya mshenzi cheza Na mpare Mimi? Weeeeeeeeee Mbona hanae Sasa ?????aendeleeee kuuza Kwa wazimbabwe wenzie
Kaanzishe uzi celebrity forum, tuje kupiga umbea huko.
 
Hahahahhh mange ni mwehu naona atapumua sasa maana uyo alikua kiboko yake
 
Back
Top Bottom