Zipi ni dalili za mwanaume kukuchoka?

Zipi ni dalili za mwanaume kukuchoka?

1.Kutoona wivu pindi ukichepuka
2.Kutotaka kufanya mapenzi na wewe
3.Hasira na ubabe wa mara kwa mara usiokuwa na sababu.
4.Kununa bila sababu
5.Kujali na kushobokea wanawake wengine kuliko wewe
6.Kupunguza upendo
7.Kuchelewa kurudi nyumbani
8.Kupunguza mawasiliano
Mfano mmeenda mahali, kaanza kushobokea wanawake kwa utani tu. Je si sahihi?
 
Aisee...

Na je kama haonyeshi wivu kabisa. Yani hata umbusu mwanaume mwingine mbele yake yeye poa tu... Nayo dalili au maumbile tu
Apana hiyo ni dalili pia achana nae uyo atakutesa utamsahau tu mtu mmekutana ukubwani kama ridhiki yako ataludi tu mbona wanaume wapo wengi mpenzi utamsahau tu najua inauma lkn hakuna jinsi
 
Apana hiyo ni dalili pia achana nae uyo atakutesa utamsahau tu mtu mmekutana ukubwani kama ridhiki yako ataludi tu mbona wanaume wapo wengi mpenzi utamsahau tu najua inauma lkn hakuna jinsi
Eti kuna wanaume wengine hawanaga wivu.... Teh
 
Back
Top Bottom