Zipi kanuni za kulea nyumba ndogo isikukimbie.

Kijana naona utakua Umeridhika na majibu ya wakubwa ,na wengine wamesema watajibu baadae wako busy na majukumu lakini watakujibu.....
 
Ujuzi wa 6 kwa 6 ndio mcngi wa kuendelea kuwa na wewe kama utazipata G-spot zake hadi akafika kileleni maisha hatokubanduka
 
Jinsi ya kumiliki small house:-

1. Pesa muhimu, ukinunua big house na small house ipate robo eg. Kama nyumba kubwa inaendesha harrier, nyumba ndogo lazima iwe na vits

2. nguvu za kishujaa
lazima shughuli iwe pevu hadi spinal cord iwe inatenguka ili ukiondoka asiwe na hamu ya kuingiza mwingine

3. Uwe Active
lazima uitembelee frequently, ili kupunguza yeye kuwa idle na kutamani kuanzisha mahusiano mengine, after 2 days lazima upite kwake

4. Sikukuu, hakikisha unapita japo masaa 2 ili ajione yuko juu wakati hayupo popote.

5. Uongo wa akili
lazima ujue kucheza na maneno, uwe na uwezo wa kumfanya aone nyekundu kama bluu. Hii huwa inabalansi mitafafurku isiyo ya maana hasa wivu.

6. Ukweli
lazima zjue nafasi yake ni ndogo so asing'ang'ane kushindana na kubwa. Kubwa ni kubwa na itabaki kuwa kubwa.
 
Hiyo bold ndo naiona kwa mara ya kwanza........................

:focus: Acha mpango wa kando

Kiukweli Dena Amsi mpango wa nje ni mpango wa nje maana zipo sababu nyingi sana usifikiri wote wanapenda nyumba ndogo.
 
Jinsi ya kumiliki small house:-

1. Pesa muhimu, ukinunua big house na small house ipate robo eg. Kama nyumba kubwa inaendesha harrier, nyumba ndogo lazima iwe na vits

2. nguvu za kishujaa
lazima shughuli iwe pevu hadi spinal cord iwe inatenguka ili ukiondoka asiwe na hamu ya kuingiza mwingine

3. Uwe Active
lazima uitembelee frequently, ili kupunguza yeye kuwa idle na kutamani kuanzisha mahusiano mengine, after 2 days lazima upite kwake

4. Sikukuu, hakikisha unapita japo masaa 2 ili ajione yuko juu wakati hayupo popote.

5. Uongo wa akili
lazima ujue kucheza na maneno, uwe na uwezo wa kumfanya aone nyekundu kama bluu. Hii huwa inabalansi mitafafurku isiyo ya maana hasa wivu.

6. Ukweli
lazima zjue nafasi yake ni ndogo so asing'ang'ane kushindana na kubwa. Kubwa ni kubwa na itabaki kuwa kubwa.

Kongosho nadhani umejikita katika kila kona na nimekubali. Mimi ni muumini wa makolonjinjo yaani kujituma na kujenga imani la kuwa hawezi kupata vitu adimu mahali popote kuliko hapo.

Hilo linatiwa chumvi na jinsi nitavyokuwa namjenga kisaikolojia aamini mimi ni mimi na wengine feki.
 
Ujuzi wa 6 kwa 6 ndio mcngi wa kuendelea kuwa na wewe kama utazipata G-spot zake hadi akafika kileleni maisha hatokubanduka

Kwa neno moja hayo maujuzi yote unaweza kuyaterm makolonjinjo. Mimi nataka nijikite katika uumini wa nadharia kipindi hali ikiwa arijojo.
 
Kijana naona utakua Umeridhika na majibu ya wakubwa ,na wengine wamesema watajibu baadae wako busy na majukumu lakini watakujibu.....

Naamini watakuja kwa heshima yako lakini naona Kongosho kadondosha nondo sijawahi ona. Duuuuh ngoja niongeze GB za flash yangu ili ninyonye kila kitu.
 
Kwa mara ya kwanza najitupa Chit Chat mnisaidie hili. Sina hakika kama lilishawahi kujadiliwa sana ama laaah lakini lengo hasa ni kutaka kufahamishwa ni jinsi gani unaweza ukailea nyumba ndogo kiasi ambacho haiwezi kukimbia. Nimekuwa nikijiuliza ili nyumba ndogo isikukimbie ni sharti uwe;
  1. Handsome? Mwanaume mwenye mvuto kiasi ambacho siyo rahisi kukimbiwa huku kunako sita kwa sita ukiwa mtaalamu wa kutosha?
  2. Uwe na uwezo wa kuihudumia nyumba ndogo? Kuihudumia kiasi gani sasa?
  3. Uwe na mali kama gari na vitu vidogo vidogo?
  4. .....
Kwa kweli nimekwama naomba mnidadavulie maana sababu za kuwa na nyumba ndogo ni nyingi na kila mtu na yake kulingana na mazingira.

Najua Chit Chat ina wenyewe nami nawaita na kuwaalika ili tujadili hili.

Nawakilisha.
Wakenya wanaita "Mpango wa Kando"!
 
Ukiingia kwenye fani uwe umedhamiria
haya mambo ya nusu nusu
utaharibu nyumba kubwa na ndogo

ila unakuwa bize, lazima ujipange.

Kongosho nadhani umejikita katika kila kona na nimekubali. Mimi ni muumini wa makolonjinjo yaani kujituma na kujenga imani la kuwa hawezi kupata vitu adimu mahali popote kuliko hapo.

Hilo linatiwa chumvi na jinsi nitavyokuwa namjenga kisaikolojia aamini mimi ni mimi na wengine feki.
 
ukitaka usikimbiwe, mfungulie biashara, mnunulie spacio G Edition, mjengee nyumba, mpe fedha za kutosha,shopping kali, Fungu la kutosha benki na la mwisho USIWE NA WIVU, USIMBANEBANE
 
BadiliTabia naona umeshindwa kuniambia nibadili tabia indirect, lakini kwa mambo uliyoniambia basi nitashindwa.

Mimi nataka nyumba ndogo na isinikimbie kulingana na uwezo wangu wa kisaka nyoka mkuu, ukiniambia nimnulilie gari mimi mwenyewe gari mkuu sina, nyumba hapo nadhani wanaofanya hivyo ni mapedesheee.
 
Ukiingia kwenye fani uwe umedhamiria
haya mambo ya nusu nusu
utaharibu nyumba kubwa na ndogo

ila unakuwa bize, lazima ujipange.

Kongosho lecture yako imeeleweka nitajitahidi nisikose mtoto na maji maji ya moto mkuu.
 
ukitaka usikimbiwe, mfungulie biashara, mnunulie spacio G Edition, mjengee nyumba, mpe fedha za kutosha,shopping kali, Fungu la kutosha benki na la mwisho USIWE NA WIVU, USIMBANEBANE

BadiliTabia naona umeshindwa kuniambia nibadili tabia indirect, lakini kwa mambo uliyoniambia basi nitashindwa.

Mimi nataka nyumba ndogo na isinikimbie kulingana na uwezo wangu wa kisaka nyoka mkuu, ukiniambia nimnulilie gari mimi mwenyewe gari mkuu sina, nyumba hapo nadhani wanaofanya hivyo ni mapedesheee.
 
Ukiingia kwenye fani uwe umedhamiria
haya mambo ya nusu nusu
utaharibu nyumba kubwa na ndogo

ila unakuwa bize, lazima ujipange.

Kongosho lecture yako imeeleweka nitajitahidi nisikose mtoto na maji maji ya moto mkuu.
 
Jinsi ya kumiliki small house:-

1. Pesa muhimu, ukinunua big house na small house ipate robo eg. Kama nyumba kubwa inaendesha harrier, nyumba ndogo lazima iwe na vits

2. nguvu za kishujaa
lazima shughuli iwe pevu hadi spinal cord iwe inatenguka ili ukiondoka asiwe na hamu ya kuingiza mwingine

3. Uwe Active
lazima uitembelee frequently, ili kupunguza yeye kuwa idle na kutamani kuanzisha mahusiano mengine, after 2 days lazima upite kwake

4. Sikukuu, hakikisha unapita japo masaa 2 ili ajione yuko juu wakati hayupo popote.

5. Uongo wa akili
lazima ujue kucheza na maneno, uwe na uwezo wa kumfanya aone nyekundu kama bluu. Hii huwa inabalansi mitafafurku isiyo ya maana hasa wivu.

6. Ukweli
lazima zjue nafasi yake ni ndogo so asing'ang'ane kushindana na kubwa. Kubwa ni kubwa na itabaki kuwa kubwa.

LOL.....!!!!!!!!! mara ya mwisho umesali lini weye ati??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom