Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erotica~~~~!

Mie nina swali moja tu kwa huyu mrembo wetu Erotica...Hivi ni mwanaume gani huku JF unayemzimia ambaye ukimuona tu mapigo ya moyo wako yanaenda mbio kama transfoma ya bwawa la mtera?

unauliza maji mtera? ni bishanga of course? unacheza na mihela wewe?
 
ulishawai kumpenda mkaka zen yeye akawa hakupendi wewe kama ndio uliikabilije hiyo hali...dont tell me ulimbaka ulishawai kutembea na mkaka humpendi kisa maslahi..?

naheshimu maamuzi ya mtu. nimewahi penda wakaka ambao walinikataa
kwa madai ya kutembea na watu wengi sana. na kwamba eti mie mcharuko,
wengine wapo hapa hapa jamvini kama Ndahani na Cool Gentleman.

Asante Zinduna, huu ni ubunifu mzuri sana. Erotica siyo kuwa mimi sikupendi, nakupenda sana tu na nakuombea kila siku. Kinachonifanya nikukatae ni tabia yako ya kuwa VOCHA. Uache kuwa "VOCHA" inayokwanguliwa na kila mtu mdada. Na tena unakuwa unakwanguliwa na wateja wa kila mtandao: VODA; AIRTEL; TIGO; ZANZEL; SASATEL; na TTCL. Ni noma aisee.
 
Last edited by a moderator:
babu Asprin ni mtaalam sana wa kukagua. ila hana huo ubavu kwa sasa

kisha zeeka. itakuwa sawa na kuchukua kamba kutumia kucheza pool.

mie nilijivunja mwenyewe. niliposikia inauma kutoka nikaanza taratibu kwa kutumia

vidole taratibu. ilinichukua miez 6 kidole cha kati kukubali chote.

nimekuvulia kofia!
 
Asante Zinduna, huu ni ubunifu mzuri sana. Erotica siyo kuwa mimi sikupendi, nakupenda sana tu na nakuombea kila siku. Kinachonifanya nikukatae ni tabia yako ya kuwa VOCHA. Uache kuwa "VOCHA" inayokwanguliwa na kila mtu mdada. Na tena unakuwa unakwanguliwa na wateja wa kila mtandao: VODA; AIRTEL; TIGO; ZANZEL; SASATEL; na TTCL. Ni noma aisee.
umejuaje mkuu?
 
umejuaje mkuu?

Mwenyewe anasema. Sasa hivi ana mimba ya mapacha na hajui ya nani kati ya wanaume alio Do nao. 4 walitumia mpira moja ndo hakutumia. 2 walikuwa waswahili, moja mchina, 2 wazungu. Ila kuna mchina namfahamu aliniuma sikio kuwa alipata pale bila mpira. So, ni lazima hao twins watakuwa wa kichina. Na jamaa ni mfupi kama Omolo na isitoshe macho yamesinzia, so piga picha ya hao watoto wakizaliwa.

Ilibidi ajipe ban baada ya facts hizi kupatikana.
 
Erotica ushawah kujaribu 3some? kama ushawahebu tupe uzoefu ama ushawishi km kuna m2 anataka kujaribu awe amepata darasa!
 
Last edited by a moderator:
Erotica ushawahi kumwambia mwanaume ukweli kama hajakufikisha?if yes, ulimwambiaje?
 
Last edited by a moderator:
noooooo. mimba nilichoropowa mara moja tu. na sio mwaka huo. usinikumbushe machungu

kumbuka nina mimba sasa. mama akiwa sad watoto watakuwa sad. chonde chonde gfsonwin asikukute.
Zinduna wewe ni kungwi ama umesahau sasa tunapaswa kumfunda kikoa Erotica siyo kumuiterview wakati ana hali mbaya. sasa kesho jumapili tukutane pale nyumbani kwake ili tumchukue twende naye kwa Mama Ngina tukamfunde sawa?

wafuatao walete vifaa vifutavyo kwa ajili ya kumfunda kikoa Erotica siku ya kesho
sweetlady, Preta charminglady@jestina@mwali black woman@cacico@remmy hawa walete kila mtu khanga pea mbili na vitenge vya wax pea moja hii ni lazima.
Smile Yummy AshaDii hawa walete nguo za ndani pichu skini taiti gagulo na madela Mama Ngina Zinduna mtafutieni shanga na mashine ya kunyolea na night dress. sawa kesho asubuhi wote tufike pasi kukosa
 
Last edited by a moderator:
Jamani Kipindi bado kinaendela, Erotica yuko break kidogo, kaenda kutabawali!
 
Last edited by a moderator:
napenda kumuuliza hii kitu anatumia ?
314097_404677006234057_412612014_n.jpg

mia
 
alifanya makusudi,na siku hiyo alibondwa ile mbaya,si unamwona alivyo na nundu? ulifikiri alianguka kwenye ngazi? chezeya boflo na figanniga wakikufumania.

Bishanga mbona wewe mwongo? Boflo huwa tunafanya pale wote tukikosa wapenzi,

huyo figganigga mzee wa mia ndio kwanza yupo kwenye process ya kuomba mchezo.

but haiwezekani coz nipo mimbad.
 
Last edited by a moderator:
Asante Zinduna, huu ni ubunifu mzuri sana. Erotica siyo kuwa mimi sikupendi, nakupenda sana tu na nakuombea kila siku. Kinachonifanya nikukatae ni tabia yako ya kuwa VOCHA. Uache kuwa "VOCHA" inayokwanguliwa na kila mtu mdada. Na tena unakuwa unakwanguliwa na wateja wa kila mtandao: VODA; AIRTEL; TIGO; ZANZEL; SASATEL; na TTCL. Ni noma aisee.
Cool Gentleman nishakuona since jana unanitafuta. situmii hio mitandao unayotaja,

utakuwa unanifananisha. usichukulie sabb wewe watumia yote hiyo basi wote twatumia.
 
Last edited by a moderator:
Mwenyewe anasema. Sasa hivi ana mimba ya mapacha na hajui ya nani kati ya wanaume alio Do nao. 4 walitumia mpira moja ndo hakutumia. 2 walikuwa waswahili, moja mchina, 2 wazungu. Ila kuna mchina namfahamu aliniuma sikio kuwa alipata pale bila mpira. So, ni lazima hao twins watakuwa wa kichina. Na jamaa ni mfupi kama Omolo na isitoshe macho yamesinzia, so piga picha ya hao watoto wakizaliwa.

Ilibidi ajipe ban baada ya facts hizi kupatikana.

teh teh teh. Cool Gentleman....... mwaaaaaaaah!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom