Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erotica~~~~!

Zinduna wewe ni kungwi ama umesahau sasa tunapaswa kumfunda kikoa Erotica siyo kumuiterview wakati ana hali mbaya. sasa kesho jumapili tukutane pale nyumbani kwake ili tumchukue twende naye kwa Mama Ngina tukamfunde sawa?

wafuatao walete vifaa vifutavyo kwa ajili ya kumfunda kikoa Erotica siku ya kesho
sweetlady, Preta charmingladyJestina@mwali black woman@cacico@remmy hawa walete kila mtu khanga pea mbili na vitenge vya wax pea moja hii ni lazima.
Smile Yummy AshaDii hawa walete nguo za ndani pichu skini taiti gagulo na madela Mama Ngina Zinduna mtafutieni shanga na mashine ya kunyolea na night dress. sawa kesho asubuhi wote tufike pasi kukosa

gfsonwin kungwito mwaaaaaaaah. mie nina raha watoto wangu hawatakosa kitu.

na watakuwa na afya bora. zile notes za jana zote nimekalili. mwaaaaaaaah.
Preta asikose, nimemumiso so much. sidhani hata kama anajua nina mapacha nimebeba.
 
Last edited by a moderator:
napenda kumuuliza hii kitu anatumia ?
314097_404677006234057_412612014_n.jpg

mia

figganigga come this way...... mwaaaaaah. uje na hio kitu hata nusu glass saizi nina mimba.
 
Last edited by a moderator:
Mwenyewe anasema. Sasa hivi ana mimba ya mapacha na hajui ya nani kati ya wanaume alio Do nao. 4 walitumia mpira moja ndo hakutumia. 2 walikuwa waswahili, moja mchina, 2 wazungu. Ila kuna mchina namfahamu aliniuma sikio kuwa alipata pale bila mpira. So, ni lazima hao twins watakuwa wa kichina. Na jamaa ni mfupi kama Omolo na isitoshe macho yamesinzia, so piga picha ya hao watoto wakizaliwa.

Ilibidi ajipe ban baada ya facts hizi kupatikana.
Sasa erotica baada ya dossier yake kuanikwa hivi nani atamuoa?
 
Zinduna wewe ni kungwi ama umesahau sasa tunapaswa kumfunda kikoa Erotica siyo kumuiterview wakati ana hali mbaya. sasa kesho jumapili tukutane pale nyumbani kwake ili tumchukue twende naye kwa Mama Ngina tukamfunde sawa?

wafuatao walete vifaa vifutavyo kwa ajili ya kumfunda kikoa Erotica siku ya kesho
sweetlady, Preta charminglady@jestina@mwali black woman@cacico@remmy hawa walete kila mtu khanga pea mbili na vitenge vya wax pea moja hii ni lazima.
Smile Yummy AshaDii hawa walete nguo za ndani pichu skini taiti gagulo na madela Mama Ngina Zinduna mtafutieni shanga na mashine ya kunyolea na night dress. sawa kesho asubuhi wote tufike pasi kukosa
Ntakuja kupiga chapo,hasa mtakapokuwa mnatumia vinyoleo.......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom